ukosoaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ariana Grande amechoshwa na ukosoaji wa muonekano wake

    Mwanamuziki na mwigizaji Ariana Grande anapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa shughuli zake za hadharani baada ya kukamilika kwa ziara yake ya Eternal Sunshine Tour, huku mwakilishi wake akisema amechoshwa na uchunguzi na maoni yasiyoisha kuhusu maisha na mwonekano wake. Kwa mujibu wa taarifa...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya ukosoaji na ushauri unaotolewa na Wananchi kwa Serikali ndipo pa kuangaliwa kwa kina.

    Kumekuwa na wimbi kubwa la washauri na wakosoaji wa masuala mbalimbali yanayofanywa na Serikali jambo ambalo linaloteteresha utangamano wa Kitaifa. Tumeshuhudia Wazee ambao kwa kweli ushauri wao ni muhimu wakishauri kwa kukosoa au wakishauri vijana kukosoa pale wanapoona kuna ukakasi...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ametekwa aliyeimba 'Wajinga ndio watatiki' - Kadiri Ukosoaji utakavyoedelea, Ndivyo watu wataendelea kutekwa!

    Watanzania Tushukuru sana Mungu kuingilia Kati hii vita. Nimekua nasema humu Kila Mara, Uhai wa Kisiasa wa Samia na genge lake, utahitaji kuendelea kuwepo Kwa Matukio ya Utekaji na Mauaji Kwanini??. Kwa sababu Watanzania wa Sasa sio wa miaka ya 1990 ,wanajua wanachokitaka hivo wangeendelea...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania UTHABITI na UJASIRI ni pale utakapopokea kiume UKOSOAJI kwa moyo wote kwa kiasi kile kile unavyopokea SIFA

  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Ukosoaji kwa Serikali kunaiua CHADEMA

    Mchungaji Peter Msigwa aliyekihama Chama Cha Chadema hivi karibuni na kuhamia Chama Cha Mapinduzi CCM, wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, akiwa mstari wa mbele kuipigia chapuo CCM huko mkoani Iringa, asubuhi hii amekuja na hoja binafsi wakati huu ambapo Kamati kuu ya Chadema inaketi...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe acha kufokea na kutishia raia walipa kodi kwa sababu ya kutopendezwa na ukosoaji wao

    Bashe fanya kazi yako na timiza wajibu wako, unalipwa kuleta masuluhisho katika sekta ya kilimo. Acha kufokea raia kwamba watu wanakosoa tu bila kuletea masuluhisho kwa hiyo unawanyima huduma za serikali kwa mamlaka yako uliyo nayo. Kwanza huna mamlaka ya kuwanyima huduma raia walipa kodi...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr. Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?

    Wanabodi Juzi September Mosi Imetolewa taarifa ya Ikulu kumhusu aliyekuwa Balozi Dr. Wilbroad Slaa kufutiwa hadhi ya Ubalozi, taarifa hiyo ya Ikulu haikutoa sababu za kumfutia hadhi hiyo ya Ubalozi. Hatua hii imezua mijadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii wengi waki speculates sababu za...
  8. voicer

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wahanga Wakuu Ukosoaji wa Awamu ya Sita

    Kwa kumbukumbu zangu tangu Rais Samia Ameingia Madarakani. Kuna watanzania ambao wamekutana na Rungu lake uso kwa uso. Baada tu ya kutumia haki zao za kikatiba kwa kusema yale waliyoamini kwamba hayakuwa sahihi kutendeka ndani ya JMT. Chini ya utawala wa Mama, Mimi ninaweka oridha ya wale...
  9. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Nape hafai kuwa Waziri wa Habari, kule X/Twitter hataki kukosolewa

    Nape hana sifa kabisa za kuwa waziri wa Habari ni basi tu Taifa limejaaa kubebena tu, Nape ni mtu asio taka kukusolewa kabisa kwa aina yoyote ile, Huyu ni waziri w a habari wa Tanzania. Yaani kule X ni bora hata umkosoe Raisi ila sio Nape ambaye ni waziri wa Habari yeye hana uvumilivu kilinapo...
  10. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wanaohusisha mkataba wa bandari na suala la udini wanafahamu kuwa ukosoaji haujaanza mwaka huu?

    Tokea suala hilo liibuke, takriban miezi miwili sasa, kumetokea makundi makuu mawili. Kundi la kwanza ni la wanounga mkono huo mkataba. Na kundi la pili ni la wanoupinga, wengi wao wakitaka baadhi ya vipengele virekebishwe. Binafsi, nipo upande wa wanaotaka huo mkataba urekebishwe ili uweze...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Xinjiang waendelea kupata maendeleo makubwa licha ya ukosoaji mkubwa wa mara kwa mara wa nchi za magharibi

    Katika siku za hivi karibuni baadhi ya nchi za magharibi zimekuwa zikitumia majukwaa ya siasa za kimataifa, kutoa kauli na maazimio yanayoikosoa China kuhusu Xinjiang. Ukosoaji huo umekuwa ukitumia maneno yaleyale licha ya kuwa wanaotoa maneno hayo wanatambua kuwa hayana mantiki na yanaendelea...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kusema Rais anashauriwa vibaya ni kujaribu kueleza kuwa Rais hana akili; naona ni ukosoaji wa kinafiki

    Kwema Wakuu! Hakuna Jambo ambalo linanikera kama kumsikia MTU akisema Rais anashauriwa vibaya na washauri wake. Watu wengi wanaosema hivyo ni Watu wasioweza kueleza mambo bayana. Ni Watu wakupindisha pindisha maneno. Wasioweza kutamka nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Rais kama kakosea...
  13. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania "Double Standards" ya TEC na Kardinali Pengo linapokuja suala la ukosoaji wa utawala

    Friends and Enemies, In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation. Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo...
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mbowe, Bandari na Ubaguzi: Je, huwezi kufanya ukosoaji bila kuleta ubaguzi wa kikanda?

    Je, hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe. Si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila. Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka...
  15. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Hakuna Demokrasia Inayoweza Kujengwa Bila Ukosoaji Wenye Tija Kwa Wale Walio Madarakani

    HAKUNA DEMOKRASIA INAYOWEZA KUJENGWA BILA UKOSOAJI WENYE TIJA KWA WALE WALIO MADARAKANI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI: Demokrasia ni mfumo wa utawala ambao unategemea uwajibikaji, usawa na uhuru wa kujieleza. Kwa wakati wetu, nchi nyingi duniani zinajitahidi kujenga na kudumisha demokrasia...
  16. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania CCM v/s Maandazi: Ukosoaji na ukosaji katika ukosoaji wetu

    Katika wimbo wake mpya, Mwanamuziki Roma Mkatoliki amekilinganisha Chama Cha Mapinduzi na Maandazi na kudai ikiwa atatakiwa kuchagua, atachagua Maandazi badala ya CCM. Siyo lengo kumjadili Roma kwa vile simfahamu binafsi, bali kujibu hoja ikiwa "Kupitia Dola, Serikali imeua hari ya vijana kutaka...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tanzania haijawahi kupata Kiongozi kwa tafsiri halisia ya Kiongozi

    Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki. Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea. Hoja yangu, hawa viongozi wamekuwa na watu wao wanaowaamini, they have had people whom they...
  18. sammosses

    JamiiForums Tanzania Ukosoaji kwa serikali na majibu ya adhabu ya wakosoaji una tija katika misingi ya utawala bora!

    Tanzania inapitia kipindi kigumu cha mpito katika dhana ya uwajibikaji unao chagizwa na ukosoaji wa serikali na malipo ya wakosoaji toka serikalini. Ibara ya 8 ya katiba ya JMT kwa ujumla wake imetoa uhalali wa madraka ya serikali yatatokana na mamlaka ya wananchi na serikali msingi wake mkuu...
  19. mngony

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru anatoa wapi ujasiri wa kutishia 'usalama' wa viongozi wa juu? Huu ni uhaini sio ukosoaji. Je, ana mahusiano na mataifa ya nje?

    Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni. Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Pakistan yaanzisha sheria ya uhalifu inayolenga ukosoaji mtandaoni

    Serikali ya Pakistan imeanzisha sheria mpya ya uhalifu wa mtandaoni ambayo inaweza kuwafanya watumiaji wa mitandao ya kijamii kufungwa hadi miaka mitano jela kwa kuchapisha "habari za kughushi " kuhusu jeshi, mahakama au maafisa wa umma. Sheria hiyo iliidhinishwa na baraza la mawaziri la Waziri...
Back
Top Bottom