THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,365
- 12,823
Friends and Enemies,
In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.
Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo uongozi wa serikali unapofanya maamuz ambayo Yana ukakasi na yanagusa maslahi ya Taifa, ni jambo zuri na Kwa kias flan linastahili kupongezwa.
Suala ambalo Linazalisha maswali Kwa TEC na PENGO ni kwamba kwanini huwa wanakuwa kimya kwenye Regime zingine za Utawala hasa pale yanapotokea mambo ya ukakasi kwa Taifa pia?
During Benjamin Mkapa Regime tulishuhudia mauaji ya kikatili ya mwembechai,Unibinafsishaji wa mashirika ya umma na kias hata Mkapa mwenyew alikuja kukiri katika kitabu chake kuwa ni miongon mwa maamuzi ya hovyo kuwahi kufanyika katika Utawala wake, hakuonekana PENGO Wala TEC wakitoa kaul wala waraka za aina yoyote.
PENGO na TEC walikuja Kushamiri sana enzi za Regime ya kikwete, kiasi kwamba ilipelekea Kila anachokifanya kikwete kinageuka kuwa bango la waraka zisizoisha wenye macho waliona na bila shaka wenye kumbu kumbu wanakumbuka.
Regime ya JPM ilikua na mabaya na mazuri yake kama vile zilivyokuwa Regime zingine,mfano suala la kuizika demokrasia ndan ya nchi hii na kukandamizi uhuru wa vyombo vya habari na speech, kuminya upinzan kias had kufikia baadhi ya wapinzani kupigwa risasi ndani ya viunga vya bunge na wengine kupewa kesi za uzushi na kufungwa, hatusikia Wala kuona PENGO na TEC wakisimama kuzungumza Wala kutoa Waraka zao.
Sasa kitu kinachofikirisha, pamoja na Nia Yao njema PENGO na TEC Kwa Taifa kwanin wanakuwa selective katika kusimama na wananchi katika REGIME za uongozi ndani ya Taifa hili?
Nini kinawasukuma nyuma ya Criticism zao, uchungu Kwa Taifa lao au Wana ajenda zao za Udini?