ukoo

Odesa International Airport (Ukrainian: Міжнародний аеропорт «Одеса») (IATA: ODS, ICAO: UKOO) is an international airport of Odessa, the third largest city of Ukraine, located 7 km (4.3 mi) southwest from its city centre.

View More On Wikipedia.org
  1. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Mila za jadi na mizmu ya ukoo

    Nilipokuwa mdogo kiroho miaka 10 iliyopita,nilikuwa nikishiriki mila za jadi zilizohusisha kutambikia mizimu na kuomba kwa mizimu na kupekela sadaka kwa mizimu. Sadaka kwa mizimu zilikuwa ni mnyama wa kuchinja kuku,mbuzi,kondoo n.k chochote cha kuchinja damu imwagike Pombe ya kienyeji mbege...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Zipi ni faida na athari za kuwa kwenye magroup ya Whatsapp ya ukoo

    Katika makala ya leo, Ni vyema tukaeleweshana kwa kina faida na athari za kuwa kwenye magroup ya Whatsapp ya ukoo. Najua wengi tumezoea kujiunga na magroup ya shule, kazini na biashara ambapo faida zake ni nyingi sana. Kwenye haya magroup unaweza kuona tangazo la kazi, unaweza kupata...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ni kama mpira hata Messi unahitaji pasi, familia / ndugu / ukoo wakiungana hufanikiwa zaidi kuliko jeshi la mtu moja

    Sio lazima wanafamilia / ndugu / wana ukoo wote wawe wamekusanyika sehemu moja, No !! Inaweza kuwa Mzazi, Dada, Kaka, Last born, Baba mkubwa na mtoto wake kila mtu ana biashara yake ila kuna baadhi ya mambo wanafanya na kufaidika pamoja 1. Ununuzi kwa Wingi Kundi la Familia / Ndugu / Ukoo: Kwa...
  4. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Ujuaji mwingi wa Waafrika kuhusu mambo ya imani ndio unafanya wao kuwa watumwa kwa watu wengine

    Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote. Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho. Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni nyota yako imeharibiwa au dhambi zako lakini unashangaa kuna tajiri mmoja yupo ana dhambi zaidi yako...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Maagano ya Ukoo Yalitoka Wapi

    Maagano ya Ukoo Yalitoka Wapi Chanzo cha maagano ya ukoo kwa kifupi Katika biblia, Yohana 8:36 inasema, “Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli” Hebu tujiulize, ni kwa nini Bwana Yesu alipokuwa anakata roho pale msalabani, alisema neno moja tu. Alisema “imekwisha” (Yohana 19:30)...
  6. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Watu wanakufa wameacha legacy, wenyewe wanakufa wameacha kisilani. Hata kama ni ngazi ya ukoo!

    Na kalaga baho Nongwa Wazee sina neno kubwa leo, nimekumbuka sana uwepo wa advanced marginalised Community nchini. Niliwah kuandika habari zao humu ndani kwamba, hao watu wametokea katika makalio ya dunia. Yani huko ndugu zangu kila kisanga kisanga, wamakonde wanaitaga "ng'anya". Huko ukikaa...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imetimia miaka kumi tangu nianzishe ukoo wangu, maendeleo ni mazuri

    Kuna uzi humu wa jamaa ambaye amezinguana na wazazi wake kwa miaka mitatu. Mimi yakiwahi kunikuta, ni baada ya kukaa ughaibuni kwa miaka kadhaa na kurudi nchini mikono mitupu. Dunia ina rangi nyingi sana, hakuna rangi sukuona, ndugu walinitenga sana, upendo wa wazazi sikuuona kabisa. Mwaka...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Simba alikuwa hatulii kama ‘Mwanangu Lissu’, ndio maana nikasema apewe jina hilo

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili. Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Usipige kelele ndoa ngumu fanya fammy mapping utabeba mizigo isiobebeka aka misukule ya ukoo..

    NAHII SIO KWENYE NDOA TU HATA WEWE UNAETESEKA NA MAGONJWA MAISHA MAGUMU NENDA KAANGALIE CHUNGUZA WAZAZI WAKO BABU ZAKO WALIISHI MAISHA GANI WAPI WALIWAHI KUKOSEA TUBU KWA AJILI YAOOOO KUNA FAMILIA ZINATESEKA NA LAANA ZA UKOO MABABU KWA MABABU YAAN KWA SASA LABDA WANA VIZAZI VYA SABA HAKUNA WA...
  10. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Imagine ukoo mzima sina ndugu hata mmoja Dar! Ni huzuni ilioje

    Jamani kama una ukoo kama wangu ambao ukoo mzima hamna ndugu hata mmoja Dar basi una safari ndefu sana. Yamenikuta mara 1000 haya majanga Kuna biashara naifanya na ninapata wateja wengi wa Dar lakini nashindwa kufanikisha kwasababu sina ndugu wa kumuagiza kunichukulia mizigo yangu na...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wako wapi ndugu wa ukoo wa Mtume Mohamad SAW ?

    Usiniulize kuhusuYesu,huyo tumuweke kiporo kwanza. Mtume Mohamad SAW ni wa juzijuzi tu,sasa napenda kujua nduguze walipo yaani ukoo wake,bila shaka bado wapo, hatuwezi pata hata majina na picha zao?
  12. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania Jina la ukoo lina nguvu kubwa sana kiroho

    Jina la ukoo lina nguvu sana. Jina la ukoo Sio jina kama unavyoliona. Ni damu ya uzao. Hata kama umezaa na mtu na ukabadilisha jina la mtoto kisa baba yake HATOI matumizi au kisa umehangaika na MIMBA pekeako. Kumbuka damu ya mtoto NDIO imelala na jina hilo. Vyote vinavyohusiana na mtoto huyo...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Vikao vya ukoo sio kabisa ukiwa huna pesa

    Hapa nazungumzia yale makabila ambayo undugu una uzito mkuwa, kuna wale ambao mambo ya undugu hayanaga uzito wala sio shida. Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo ukinyoosha mkono utaambiwa subiri kwanza wenzako (wenye mawe) wachangie Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo ukiongea...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kama unatoka ukoo huu jukumu la kutengeneza ukoo mwingine tajiri linakuhusu

    Dhana kuwa mambo hufuata watu ndani ya ukoo ina ukweli wake na mifano yake ipo wazi tu, tukiachana na mfanano wa vinasaba pia hata mazingira huchangia hali hiyo japo kwa ulimwengu wa kiroho watalaam wanasema kuna roho huwa zinatembea ndani ya ukoo fulani. Ulimwengu wa kitajiri na maskini kuna...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa sisi Watibeli, ukoo unatoka kwa Mwanaume au mwanamke aliyemtibeli

    Kwema Wakuu! Ikiwa wewe sio Mtibeli lakini ikatokea ukaoa binti ya Tibeli basi Elewa kuwa M/Watoto watakaozaliwa kwenye ndoa yenu watakuwa ni Watibeli. Kwa sisi Watibeli, katika suala la uzao. Mwanaume na mwanamke ni Sawa. Kwetu Mwanamke na mwanaume ni Sawa ikiwa wote ni Watibeli. Lakini ikiwa...
  16. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafadhali jamani aisee! Kwa mujibu wa ukoo wa marehemu mimi ndiye mrithi sahihi wa mke wa marehemu

    Wajameni mimi ni mswahili kabisa na sifa moja ya mswahili ni ustaarabu na uadilifu aisee na wala sihitaji ugomvi na mtu yoyote ile aisee siku moja kabla ya msiba wa ndugu yetu tulikaa kikao na nikachaguliwa moja kwa moja kuwa mrithi sahihi wa mke marehemu mzungu wa nywele si mnaelewa...
  17. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Kwanza wa Ukoo wa "WANYONGE" Walioko Tanzania

    1 kwanza kabisa nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano Wa Tanzania.Nipo na Christopher Kweka tunawasalimu. 2 Imekuwa ni siku Nyingi sana Tangu kuonana na nyinyi ukoo wangu nikaona si vyema kwakuwa kuna malalamiko nimesikia kati yenu mkizozana kuhusu elimu ya yule na kisomo cha Huyu,Mara...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu za giza na mizimu ya ukoo

    Habari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu. Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtoto akilelewa na Mama pekee au upande wa Mamaake apewe majina ya Ukoo wa mamaake

    MTOTO AKILELEWA NA MAMA PEKEE AU UPANDE WA MAMAAKE APEWE MAJINA YA UKOO WA MAMAAKE. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Nawaamrisha Binti wote wa Tibeli, Wajomba, na Babu na Bibi ambao binti zenu walizaa watoto kisha wakatelekezwa, wakaachwa, na Baba zao. Mkawalea ninyi wenyewe. Huku Baba zao...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kwa kusajili watoto kwa majina ya Ukoo wako?

    Single Mothers Mnashindwa nini kawakataa Baba watoto wa vichakani kuwa huyu simjui na simfahamu na sina mtoto. Unashindwa nini kumroga na kumpeleka kaburini haraka sana kibwengo msumbufu asiye na faida na mleta sumu kwenye maisha yako? Ebu imagine single mother umezaa mtoto wa kichakani baba...
Back
Top Bottom