Vikao vya ukoo sio kabisa ukiwa huna pesa

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Hapa nazungumzia yale makabila ambayo undugu una uzito mkuwa, kuna wale ambao mambo ya undugu hayanaga uzito wala sio shida.

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo ukinyoosha mkono utaambiwa subiri kwanza wenzako (wenye mawe) wachangie

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo ukiongea utaambiwa unakatisha maongezi usubiri upewe ruhusa, muda huo wenye nazo wanaongea kwa uhuru

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo, kikao kinaweza kuendelea bila uwepo wako na ukachukuliwa una kiburi warakusema "huyo mwacheni dawa yake inachemka, ukiwa na pesa kikao kinakusubiri na ukichelewa utadhaniwa kuna dharura muhimu imekupata na bado utapewa updates.

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo hata ukitoa wazo linapewa uzito mdogo, ni kama vile basi tu wamekuruhusu kuongea kwa kukuona unaweza kuanza kulalamika hupewi nafasi, ukimaliza kutoa point utaambiwa "haya asante anaefuata", ila wazo hilo hilo likitolewa na mwenye pesa linaanza kupewa uzito

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo utapewa soda pendwa Mirinda, Na hio Mirinda mtoto wa mwenye pesa akililia atakupokonya na huruhusiwi kumzuia, Muda huo wale wenye mizigo wameandaliwa juice natural za matunda, grand malt, n.k.

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo inabidi uchague sehemu ya kukaa kwa hesabu kali sana, huwa kkuna kawaida ya michango kuchangishwa, ukikaa huko mbele ama karibu na wenye mizigo wao wakianza kuchanga milioni mbili mbili, moja, laki 8, unaefuata utakuwa wewe mwenye uwezo wa elf 50 utaishia kuaibika kwa kusema ukweli ama kugharamika kwa kuchangia kuzidi uwezo wako pengine hata kukopa,
 
balaa kwenye michango,,"kaka wa Masaki anachangia m2".
"dada wa kimara atachangia m1.5".

enhe na wewe Anko Bright utatoa kiasi gani kaka"wakati huo unaulizwa unawaza nauli ya kukutoa hapo kurudi geto umkabe nani baada ya kikao ili akupe,,😭
Hapo nikupe siri inabidi ukae mbali na wenye mizigo, michango ikianza usiwe karibu inabidi waanzie kwa wale wanaokaa nao viti vya karibu mnaofanana ama kuwazidi kipato, wao utawaona wanameza aibu zote za kuchangia michango ya elf 50 baada ya hapo mnaofata inakuwa kawaida kuchangia hata 80 😂 😂
 
Hapo nikupe siri inabidi ukae mbali na wenye mizigo, michango ikianza usiwe karibu inabidi waanzie kwa wale wanaokaa nao karibu mnaefanana ama kuwazidi kipato wakukinge, wao ndio waanze kuchangia michango ya elf 50 alafu wewe unaongeza hata 20 😂 😂
hatari sana.

kuna ule muda wa vinywaji,wale ndugu watumishi wa BOT,TRA,TANAPA wanaulizwa watakunywa vinywa gani,ila wewe choka mbaya huulizwi unaletewa tu mirinda orange na ishafungiliwa kabisa,,😅😂
 
Hata biblia yenyewe imethibitisha hili kwa kisema...
Mhubiri 9:16
[16]Ndipo niliposema, Bora hekima kuliko nguvu; walakini hekima ya maskini hudharauliwa, wala maneno yake hayasikilizwi.
Kumbe ilianza toka zamani
 
Hapa nazungumzia yale makabila ambayo undugu una uzito mkuwa, kuna wale ambao mambo ya undugu hayanaga uzito wala sio shida.

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo ukinyoosha mkono utaambiwa subiri kwanza wenzako (wenye mawe) wachangie

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo ukiongea utaambiwa unakatisha maongezi usubiri upewe ruhusa, muda huo wenye nazo wanaongea kwa uhuru

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo, kikao kinaweza kuendelea bila uwepo wako na ukachukuliwa una kiburi warakusema "huyo mwacheni dawa yake inachemka, ukiwa na pesa kikao kinakusubiri na ukichelewa utadhaniwa kuna dharura muhimu imekupata na bado utapewa updates.

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo hata ukitoa wazo linapewa uzito mdogo, ni kama vile basi tu wamekuruhusu kuongea kwa kukuona unaweza kuanza kulalamika hupewi nafasi, ukimaliza kutoa point utaambiwa "haya asante anaefuata", ila wazo hilo hilo likitolewa na mwenye pesa linaanza kupewa uzito

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo utapewa soda pendwa Mirinda, Na hio Mirinda mtoto wa mwenye pesa akililia atakupokonya na huruhusiwi kumzuia, Muda huo wale wenye mizigo wameandaliwa juice natural za matunda, grand malt, n.k.

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo inabidi uchague sehemu ya kukaa kwa hesabu kali sana, huwa kkuna kawaida ya michango kuchangishwa, ukikaa huko mbele ama karibu na wenye mizigo wao wakianza kuchanga milioni mbili mbili, moja, laki 8, unaefuata utakuwa wewe mwenye uwezo wa elf 50 utaishia kuaibika kwa kusema ukweli ama kugharamika kwa kuchangia kuzidi uwezo wako pengine hata kukopa,
Hii inawahusu watu wa Musoma na wachagga.
Wamakonde hawanaga ukoo.
 
Ndio maana kila siku tunasema walokole huwa ni choka mbovu, huku mmevaa tai na suruali ya kitambaa.
Kutwa kuchwa humu na udini, wakati hata hela ya kula ni mgogoro
Tafuta hela kijana
Hata hao wakinga wenzako waliojaa Kariakoo wanatulipa hela za kodi kwenye magorofa yetu Wazaramo.
 
Hapa nazungumzia yale makabila ambayo undugu una uzito mkuwa, kuna wale ambao mambo ya undugu hayanaga uzito wala sio shida.

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo ukinyoosha mkono utaambiwa subiri kwanza wenzako (wenye mawe) wachangie

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo ukiongea utaambiwa unakatisha maongezi usubiri upewe ruhusa, muda huo wenye nazo wanaongea kwa uhuru

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo, kikao kinaweza kuendelea bila uwepo wako na ukachukuliwa una kiburi warakusema "huyo mwacheni dawa yake inachemka, ukiwa na pesa kikao kinakusubiri na ukichelewa utadhaniwa kuna dharura muhimu imekupata na bado utapewa updates.

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo hata ukitoa wazo linapewa uzito mdogo, ni kama vile basi tu wamekuruhusu kuongea kwa kukuona unaweza kuanza kulalamika hupewi nafasi, ukimaliza kutoa point utaambiwa "haya asante anaefuata", ila wazo hilo hilo likitolewa na mwenye pesa linaanza kupewa uzito

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo utapewa soda pendwa Mirinda, Na hio Mirinda mtoto wa mwenye pesa akililia atakupokonya na huruhusiwi kumzuia, Muda huo wale wenye mizigo wameandaliwa juice natural za matunda, grand malt, n.k.

Usipokuwa na pesa kwenye kikao cha ukoo inabidi uchague sehemu ya kukaa kwa hesabu kali sana, huwa kkuna kawaida ya michango kuchangishwa, ukikaa huko mbele ama karibu na wenye mizigo wao wakianza kuchanga milioni mbili mbili, moja, laki 8, unaefuata utakuwa wewe mwenye uwezo wa elf 50 utaishia kuaibika kwa kusema ukweli ama kugharamika kwa kuchangia kuzidi uwezo wako pengine hata kukopa,
Aisee
 
Ukitoa wazo au mpango basi uwe unaweza kuubackup kwa vitendo, hasa kifedha. Siyo kujidai kutoa mawazo halafu unategemea wengine watekeleze.
 
Back
Top Bottom