ukoo

Odesa International Airport (Ukrainian: Міжнародний аеропорт «Одеса») (IATA: ODS, ICAO: UKOO) is an international airport of Odessa, the third largest city of Ukraine, located 7 km (4.3 mi) southwest from its city centre.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuishi miaka mingi ni ishu ya Asili ya ukoo wenu

    Kwema Wakuu! Kila ukoo unasifa zake. Unabaraka zake. Wapo waliobarikiwa Sura nzuri, wapo waliobarikiwa urefu, nguvu na wengine Akili. Pia wapo waliobarikiwa kuwa na uzao mwingi. Wapo waliobarikiwa asili ya Utajiri. Na wengi asili Yao ni umasikini. Kila kitu kinaenda Kwa Mkondo. Kitu pekee...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Makambako: Katibu wa Baraza la Walei auawa ndani ya eneo la Kanisa Katoliki, kichwa chatenganishwa na kiwiliwili

    Nickson Myamba ambaye ni katibu wa baraza la walei kigango cha Makambako, jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022. === KIONGOZI WA KANISA AKUTWA AMEUAWA KANISANI, KICHWA...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hongereni CHADEMA, mnaishi kama familia kwenye shida na Raha; CCM ukipata janga unaondolewa kwenye ukoo

    Solidarity ilipo Ndani ya wana Chadema nikubwa Sana. Leo nimefanikiwa kufika mahakama aliyofikishwa Mbowe na wenzake. Nimependa kuona Kwamba Hawa ndugu muda wa chakula wanakula pamoja bila kijali chama, mke wa mtuhumiwa kafika mahakama wamemchangia nauli, wakati watuhumiwa wanaondoka saa kumi na...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nipeni ufafanuzi juu ya majina ya ukoo yanayoanza na "Mwa" kutumika Mbeya, Njombe na Iringa

    Hapo zamani kila mtu ambae jina lake lilianzia "Mwa" nilidhani ni mnyakyusa, ila baada ya muda nikajua kwamba watu wenye haya majina wamesambaa makabila mengi ya Mbeya, Iringa na Njombe Wanyakyusa wapo kina Mwakyusa, Wahehe wapo kina mwakatundu (mfano msanii mike tee) Wabena wapo kina...
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mitoto unaihangaikia peke yako ikifika ukubwani inaenda kutafuta ukoo wao...

    Hii kauli nimeisikia jana akilalama mama mmoja katika mazungumzo na wenzie kibarazani. Anadai ametunza mtoto peke yake kwa mahangaiko makubwa, kamsomesha kwa tabu kwa pesa za kuokoteza kwenye vigenge, upatu na misaada ya kaka zake. Lakini ameshangaa sana mtoto alipomaliza chuo na kuanza kupata...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Ki-ndugu na Ki-Ukoo unaitafuna Tanzania

    Kama tunataka maendeleo lazima tuondoe utawala wa kindugu ndugu katika taifa letu. Haya Mambo hayakufanyika Nyerere akiwa Rais baada ya kufa tu ndio yalianza!! Kwani mnafikiri yeye alishindwa kumteua mkewe kuwa Waziri? Lakini alifuata maadili ya kiuongozi. Baada ya Kufa wakaanza kupeana...
  7. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Kisandu sio Ukoo wangu na halikuwa jina Langu kiukoo na ndio maana Ukoo wa Kisandu haufanani kisura nami DJ. Don Nalimison

    Salaam wapendwa katika Malaika wa Mungu na Mungu Mkuu mwenye nguvu. Wengi wamekuwa wakiniuliza Sana kuhusu ubini wa KISANDU inbox, naomba leo ni jibu. Baba yangu Mzazi alipoondoka kurudi kwao Marekani alinikabidhi kwa rafiki yake Abdalah Kisandu pale Kahama, SHINYANGA na hivyo Ukoo wa Abdalah...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukoo wako ni masikini?

    Unmaskini unarithishwa? Unaweza kukomaa bila mafanikio kumbe kuna madesa ya jadi uliyoaminishwa kimyakimya (subliminally) yanakuvuta shati. Mfano, moja ya ukoo nilioufuatilia 1: Ukiwa tajiri utalogwa hadi uwe kama wenzako 2: Waliofanikiwa kidogo wanastrago kuhakikisha kila mwana ukoo...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jinsi mizimu ya ukoo ilivyonifanyisha Mambo ya kustaabisha baada ya kukataa kupokea mikoba ya waungwana.

    Mwaka 2005 nikiwa nimezama kwenye imani kali ya ulokole, hapo nikiwa kiongozi wa Ukwata na pia kiongozi wa kiroho kwa vijana wa mtaani kwetu (nilikuwa napita majumbani, naongea na wazee waniruhusu niwafundishe maadili mema watoto wao ikiwemo kazi za nyumbani na za kitaaluma). Kutokana na tabia...
  10. Saint_Mwakyoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni nini kinachopelekea ukoo kuwa na nguvu na ukoo mwingine kukosa nguvu kwenye jamii zinazotuzunguka?

    Nimelifatilia hili kwa muda mrefu baada ya kuona watu wanavyolalamika na kuteseka haswa wakati wa matatizo ; ugonjwa, kukosa udhamini, kutafuta mtaji nk Naleta hoja hii ili tupate kurekebisha kwa pamoja kuanzia ngazi za familia, ukoo, jamii mpaka nchi kwa ujumla. Karibuni wakuu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Majina ya ukoo hayana wamiliki

    Nimeona clip moja ya Gwajima eti anamwita baba yake miaka 87 na kumlaghai aseme kwamba ana mwamrisha mkwe wake asitumie jina lao. Hakuna mtu binafsi ambaye anamiliki jina na koo yoote . Haya majina ya koo yalikuwepo miaka mingi sana na wengi hata hawajui yametokea wapi. Hakuna mtu ambaye ni...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ianzishwe Simba halisi, Mo Dewji abaki na Simba yake ya ukoo

    Ni kitu kinachowezekana, hasa katika hali ya sasa, Kucha za Mo zilizojificha zinaonekana hadharani. Simba original ianzishwe kwa jina la Simba OG, timu ambayo ipo ligi kuu au imepanda inunuliwe kwa bei chee ibadilishwe jina, Mwamwedi abaki na simba yake ya kunyanyasa wafanyakazi. Kuhusi Pesa...
  13. ommytk

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kupost bahati mbaya picha au video ya ngono kwenye group la familia au ukoo?

    Yaaani unatamani kuvunja simu lakini ndio huwezi yaaani unabaki kuleft tu.
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ndiye ukoo wangu, ndugu huna nyongeza yoyote

    Niende kwenye hoja, kumekuwa na desturi za ndugu na jamaa kuingilia mambo ya NDOA za watu na kutoa ushauri utadhani wao walisoma vyuo vya ndoa. Ninavyojua mimi ndoa haiwezi kua na amani maisha yenu yote kuna siku mnatofautiana. Mtu unamsema mke wa mwenzio vibaya sara siyo lika lako mara ni...
Back
Top Bottom