Siku hazigandi. Kama unashindwa kutoka kwenye ukata ufuta ni wakati wa kubadili gia angani. Utadhani ni jana tu kumbe miaka 7 tayari ishakatika!!
Ungepanda migomba kwenye pori la ekari 4 kijijini kwenu sasa hivi ungekuwa ushajikomboa kiuchumi ila sasa uko town unabishania Man United mwaka wa 7...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonnite Tanzania, Dkt. Nelson Kisale, amesema hofu inayotawala mioyo ya watu sasa ni zao la matendo yetu hata kutufikisha Kwenye yaliyotokea Oktoba 29 na siku zilizofuata.
Akihubiri kwenye ibada ya Noeli leo Desemba 25, 2025 mkoani Mara, Dkt. Kisale ameshangaa kuona...
Jana nilisikia space ya Maria , insta live ya Nuru vazi na za TikTok nasikilizaga.
Nikichogundua kuwa wako very disorganized yaani hakuna kiongozi watu wanaongea hovyo mpaka wengine wanagombana kabisa.
Kuna kundi Wanataka maandamano ya Amani mabango bila fujo huku wengine wakitaka wasipangiwe...
VITU VYA KUZINGATIA PINDI UENDAPO KUNUNUA SABUFA (RADIO)
Je, huwa unazingatia nini ukitaka kununua sabufa?
leo nimekuja na elimu bora ya kuwajuza vitu vya kuzingatia ukitaka kununua radio.
wengi wenu hudhani kuwa radio yenye watt kubwa ndo radio bora.
ukweli ni kwamba Watt peke yake haitoshi...
Wenzenu wanaikimbizia mars,
Nyie bado mnakanyagana kisa mafuta.
Wenzenu wanabunu security system za kujilinda na kujihami,
Nyie bado mnakatana vichwa kwa jina la mungu.
Wenzenu wanajaribu ku-share intelligence na aliens kurahisisha maisha,
Nyie bado mnalalimikia ugumu wa maisha ni kutokana na...
Wakuu,msada kwenye tuta tafadhali,kama kichwa kilivyojieleza hapo juu,niko mtupu kabisa kwenye engo hiyo,nmejaribu ku gugo sjapata chochote cha maana.
Naomba wakuu mnisaidie hili.
Nawasilisha
"Ndonger,mkongwe kwenye jukwaa"
Waswahili waliposema ukivuliwa nguo chutama hawakuwa wamekosea kabisa.
Muda mchache ujao Msemaji wa Serikali anaenda kuongea na Waandishi. tena baada ya CNN kutoa habari ya kutisha kuhusu mauaji yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama wakati na baada ya Uchaguzi wa mwaka huu.
Tuhuma...
Ukishaitambua Serikali ni nini hakika hutaweza kuanza kuleta mawazo mgando.
Kona zote za nchi Serikali inafanya kazi, Sasa hivi serikali inaundwa kila kitu kitakuwa mahali pake. Vijana wa Gen Z watashangaa kuona babu zao wanawasaliti. Wataingizwa kwenye mkenge. Wazee wamekaa kwenye migawahawa...
Kusajili Kampuni ya Construction Kuna procedures zake ambazo hazijaachana sana na Kampuni ya kawaida, ila hapa nitakuandikia in details procedures hizo;
1/5 Company Registration
Hapa utafuata taratibu zote za brela kama kuandaa documents, kufanya application na kulipia fee, baada ya usajili wa...
Hapo vip!
Huyu dada ameongeo ukweli kabisa ila anapingwa na wanaume wenye rangi ya shetani na wanawake waliolewa na majitu mabaya.Huo ndio ukweli penda usipende.
Waafrika huwa wanautamaduni wa kupingana na kupiga vita vitu vizuri huku moyoni wakitaka vitu hivyo hivyo vizuri..ndio maana ni...
Hapo vip!!
Wasichana au wanawake wengi wanabaki masingle mothers na kutelekezwaa kwasababu anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda..wanawake wengi huwa wanawazaliwa wanaume wanaowapenda wakifikiri ndio njia ya kuolewa kumbe ameamua mwenyewe kuwa single mother kwasababu mwanaume anamuoa...
Hapo vip!!
Wasichana au wanawake wengi wanabaki masingle mothers na kutelekezwaa kwasababu anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda..wanawake wengi huwa wanawazaliwa wanaume wanaowapenda wakifikiri ndio njia ya kuolewa kumbe ameamua mwenyewe kuwa single mother kwasababu mwanaume anamuoa...
Wiki ya mwisho wa mwezi wa Saba nilikua namsaidia mteja wangu kufanya process za kuuza Kampuni yake, haya ni mambo ya kuzingatia ukitaka Kuuza Kampuni;
1. Elewa unauza Nini
Kuna mambo kadhaa yanawezwa kuuzwa kwenye Kampuni
1.1 hisa za Kampuni
1.2 Assets au Mali za Kampuni
1.3 Kampuni yote...
Tatizo huwa ni nini hasa kwa wafuasi wa CDM kwamba ukiwauliza swali ili ujifunze unapewa matusi
Ukienda kinyume na maono yao unashambuliwa
NB mimi sio mfuasi wa chama chochote mimi ni mtu huru😅
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.