ukitaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Fanya haya ukitaka kuwa na mahusiano yenye furaha katika jamii

    USIMPIGIE MTU SIMU ZAIDI YA MARA 2 MFULULIZO - labda kama ni jambo lenye haraka sana, subiri mpaka wakupigie. UKIKOPA, LIPA! -Rudisha kabla hata hujaoulizwa au kukumbushwa UKITOLEWA DINNER AU LUNCH -Usiagize vyakula vya gharama sana na mara nyingine ununue wewe KUWA NA UTU -Kwa wahudumu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuuteka moyo wa single mother mpende mwanaye kuliko yeye

    Mbinu ya kivita nawapa ukitala kuuteka moyo wa single mother mpende mwanaye kuliko yeye
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kumjua mtu mstaharabu mpime katika chakula, hasa hawa wanawake

    Kiukweli wanawake wanakuaga na njaa Sana Jinsi Ahsubui wanavyogombana na watoto wakigombea Upolo Unakuta Mama mtu mzima anawafokea watoto wake kisa ajawekewa Upolo sad Wanawake badilikeni mmezidi ndo maana hampendi wageni tatizo Ni uroho unawasumbua . Maaajabu wanaume Ni mara chache Sana...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuona raha ya pesa yako tafuta chawa

    Ukitaka kuona raha ya pesa yako tafuta chawa ,akyanani utajiona upo peponi.
  5. TAWIK

    JamiiForums Tanzania Ukitaka pesa fanya hivi kijana!

    Habari wanajamvi hili na poleni pia hongereni kwa majukumu yenu ya kila siku. Leo nimekuja kushika mkono vijana ambao kila kukicha wanahaha kuzitafuta pesa kila pande za dunia. Utakuta kijana anahangaika Mara kubeti Mara ajira Mara kuiba Mara hivi Mara vile miaka nenda rudi. Sasa kijana naomba...
  6. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kufanya biashara, Anzia kuifanya Kichwani mwako na si usubiri ukiwa na Mtaji mkononi

    Huwa nasikitika sana ninapotoa ushauri kwa watu wenye mitaji mikononi,hasa wale wanaotoa na kuandika thread kuwa wana kiasi "flani cha pesa" Je wafanyie nini? Ukweli ni kwamba kila mtu hapo alipo ktk chochote anachofanya kumuingizia kipato anajua hela anayoitafuta anataka kuifanyia kitu...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua jamii Fulani inajitambua, angalia Maeneo Yafuatayo

    Kabla jua halijazama niseme hili; Ukitaka kutambua jamii Fulani inajitambua, basi tembelea Maeneo Yafuatayo; 1. Makazi Yao. Makazi Yao yapo kwenye mpangilio. Kuna miti ya kutosha ya hewa, Bustani na Maua yakupendeza. Kuna sehemu maalumu za kuhifadhia taka, pia Choo kipo cha kiungwana. Makazi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali ukitaka kubadilisha kada ya utumishi baada ya kujiendeleza kielimu

    Naomba kusaidiwa hatua za kufuata kubadilisha kada kwa anayefahamu na pengine amepitia hatua hizo.
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hii habari ya kulazimika kudhaminiwa na chama cha siasa ukitaka kugombea nafasi yoyote inatakiwa ikome

    Hii ishu siyo ya kidemokrasia kabisa. Kwanza inamnyima haki ya kidemokarisia mwananchi mpaka alazimike kuwa kwenye haya magenge ya siasa. Pia inawanyima wananchi kuchagua wampendae, badala yake ni kama kwa sehemu wanachaguliwa na haya magenge. Fikiria kuna wagombea labda 3. Kila mtu/watu...
  10. Eric Cartman

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure; ukitaka kuwajua wanadamu fanikiwa

    Mipango yako unaipanga wewe, elewa changamoto za wivu zipo kwenye maisha. Good morning JF. Mod I expect you to delete this nonsense if not I can live with the message. Happy new year JF
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kwenda mbali, nenda na wenzako - Mahusiano ya kidiplomasia

    UKITAKA KWENDA MBALI, NENDA NA WENZAKO - MAHUSIANO YA DIPLOMASIA Matokeo Chanya ya Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yashusha neema kwa Watanzania leo tunashuhudia Ujumbe wa Wawekezaji zaidi ya 120 kutoka Nchini Misri hii imetokana na Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mwezi Novemba...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fanya yafuatayo ukitaka usivamiwe sana na vibaka au hata wakuokoe kwenye hatari

    1. Penda Kujichanganya nao kupiga stori ukiwa na muda 2. Ukibakiza vichenji chenji wape 3. Ukijua wanavuta Bangi au Pombe siku ukiwa nazo mfukoni wanunulie 4. Ukisikia Mmoja wao kakamatwa onyesha hata kinafiki tu kuwa unampambania Kumtoa 5. Wakosoe kwa kuwajenga na siyo kwa Kuwadhalilisha na...
  13. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ukitaka kuwa mzalendo kwa nyakati hizi basi cha kwanza lazima uwe mbumbumbu haswaa.

    Ndio, ni lazima uwe mbumbumbu asiyeweza kupata taarifa ya mambo yanavyoenda hapa nchini hasa upande wa siasa, na hata ukizipata basi usiwe na uwezo wa kuchenjua mbivu na mbichi. Uzalendo ni kama imani, ili uwe na imani thabiti pale mbele kwenye usukani lazima akae undisputed role model...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukitaka kupiga hatua katika maisha lazima uwe sugu na mwenye msimamo

    Naomba nitambulike hivi hivi kama Mzee wa Old School. Story nitakayo waeleza hapo chini ni ya kweli hivyo ni vizuri ndugu unaesoma usiishie kusisimkwa, kuhuzunika ama kucheka, bali fanyia kazi ili kukabiliana na changamoto mbali mbali katika maisha kwa sababu siku zote 'maisha ni vita' kimwili...
  15. A

    JamiiForums Tanzania If you want to destroy any nation without war, destroy their education system

    Watz wanawasiwasi na chanjo ya uviko 19 kutoka kwaabeberu. Hata hivyo vitabu vyote vya elimu mashuleni, vya mitaala, kiada kwa miaka zaidi ya 10 vinafadhiliwa na pesa za mabeberu. Ukitafakari kwa kina utaona kabisa ule usemi wa kimombo usemao if you want to destroy any nation without war...
  16. James Martin

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni bora uwe mpole tu uendelee na mambo yako lakini ukitaka kushindana na shemeji yako utaumbuka

    Habari wana Jamìi Forum popote mlipo. Nilitaka tu kumpa ushauri wa bure Askofu Gwajima kwasababu naona huko anakoelekea atakuja kujuta. Nilianza kuona viashiria tangu wiki za nyuma baada ya watu mbalimbali kuanza kumuongelea Askofu kuhusu chanjo ya Uviko. Sasa nasikia waziri wa afya, Dk...
  17. JAMBONIA LTD

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitaka kusoma Open University Tanzania (OUT) lazima kupata ruhusa ya Muajiri?

    Habari wakuu, Naomba kujua ukiwa mtumishi wa serikali na ukataka kujiendeleza kupitia Open University of Tanzania ambapo bado utaendelea na majukumu yako ya kazi, ni lazima uombe barua ya ruhusa ya mwajiri ya kujiendeleza kimasomo? Au unaweza kupiga kimya kimya tu haiana haja kama ya wale...
  18. Mangole Valles Michael

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwatawala masikini, wafarakanishe

    Ameandika ndugu Christopher Ukitaka kuwatawala masikini, unawagawa tu. Unahakikisha wale masikini wajingawajinga unawapa mamlaka ya kipolisi, unawapa bunduki, au upendeleo kidogo tu, halafu unawaambia hawa wenzenu (masikini wenye akili akili) ni wachochezi hawaitakii mema nchi yetu. Halafu...
Back
Top Bottom