Ukitaka kumuwin mwanamke yeyote chukua code hizi

Ukitaka kumuwin mwanamke yeyote chukua code hizi

Baba mtakatifu91

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
3,332
Reaction score
6,887
Usiku mwema wadau.....Leo nimeona niwape siri mojawapo ya kuwawin hawa viumbe. Kwa maligendary hii haiwahusu sana labda muongeze maarifa tu.

Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Jimmy na Suzzy (mfano)

Hayae twende sawa;

Jimmy: Mambo vipi mrembo

Suzzy: Safi tu Jimmy uko poa

Jimmy: Niko poa tu mrembo

Suzzy; Basi fresh

Jimmy: Mrembo samahani kuna jambo nawiwa nikwambie ila moyo unasita nahisi kama nitakukwaza

Suzzy; Jambo gani tena hilo Jimmy ujue we mchokozi

Jimmy; Yaani Suzzy ujue nilivokuona tu nimetokea kuvutiwa sana na wewe

Suzzy; Jamani kwa kipi tena mbona kawaida

Jimmy; Kiukweli umeumbika kinoma yaani I wish ningekuona mapema yani kwa uzuri ulionao huwezi fanana na yeyote

Suzzy; Ahsante

Jimmy: Natamani tuongee zaidi ya hapa unaweza nipa namba yako kama hutojali

Suzzy; Hayae 0769XXXXX8

Jimmy; Ahsante Suzzy

Baada ya hapo ukifika home mpigie mara moja au mtext tu kumjulia hali halafu mkaushie mkaushie kaushia mkaushie mkaushie na ujikeep buzy wanawake wanapenda wanaumee strong wanaoweza kucontrol hisia zao. Usimshobokee sana tulizana tu.
Mbinu hii inaitwa resilient trick

Yaani asipokukubali aisee jiite mbwa koko.
 
IMG-20260415-WA0114.jpg
 
Back
Top Bottom