GT
Wakuu such a potential person una mficha kwa madhumuni gani. Huyu jamaa kama JPM angekuweoo lazima angepewa nafasi kubwa sana kusimamia serikali.
Najua kabisa moyoni ana majonzi analia kilio cha Samaki but he is a great Man wahuni hawataki kabisa kumsogeza mbele maana hawezi kukubali...
Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani.
Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya...
Duniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia
1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili
2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat
3.Usioe Mwanamke Single mother ambae baba wa mtoto wake yuko hai na akikuambia amekufa ukathibitishe Kabisa kwenye kaburi...
Kama unataka kujijua kuwa Una positive energy. Hizi ni baadhi ya sifa.
-Ukiona unapendwa Sana na watoto wadogo 1-5 , watoto wadogo Mara nyingi wana uwezo wa Ku-sense positive Energy
-Ukiona ukikaa sehemu panastawi na watu unaokaa nao wanastawi pia.
-Ukiona Una uwezo wa kuunganisha watu mfano...
Maisha muruwa, hakuna kulinda au kuzuia uchaguzi.
Ukishapiga kura unaongojea kutangaziwa.
Wapinzani unaweza ukajitolea hali na mali na ukapoteza kila chako siku ya siku anaujiuga ccm na kupata cheo wewe ukiuguza majeraha
KUAMKA KIROHO NI mchakato wa kuamka kutoka kwenye giza ( ujinga) na kutembea kwenye mwanga baada ya kufunguliwa kwa lock zilizoshikilia akili yako ili utembee kwenye Nuru.
Kwenye Giza la kiroho kuna umasikini, matatizo, magonjwa, nadharia za kuogopa wachawi majini mapepo mizimu nk hivi ni...
1;Husiende kumdai mtu /kikundi Cha watu waliopokonya kilicho chako waache wakitumie siku wakikichoka watakurudishia wenyewe
2;Ungana na watesi wako ata kama moyo wako unavuja Damu
3; hakikisha unakuwa mjinga ata kama una kiwango Cha juu Cha uelewa
4; mwisho , subiri miujiza ya wagalatia siku ya...
Asalaam Aleykum
TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi?
Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
Maisha haya hayana ramani. Hakuna aliyewahi kuyaelewa kwa ukamilifu. Kadri tunavyoishi, ndivyo tunavyogundua kuwa yale tunayoyachukulia kuwa kweli—mara nyingi si kweli kabisa. Ni kana kwamba maisha yana kauli yao ya chinichini: “Utakapodhani umeelewa, ndipo tunapokudanganya.”
Katika makala hii...
falsafa za maisha
fikra za kijanja
fikra za kufungua akili
great thinkers
haya
hekima
kazi
mabadiliko
mafanikio
maisha
maisha halisi
maishani
mambo
mawazo mpya
mwanga wa maisha
mwanzo mpya
self awareness
siri za mafanikio
ukitaka
ukweli mgumu
usikate tamaa
usiku
Ukisikiliza wote wanaomjibu Gwajima,hawajibu yale aliyoyauliza muhusika,lakini wanakimbilia kumuatack muhusika,wamesahau hiki kizazi cha sasa siyo wajinga,bali wajinga ni wale wanaomjibu Gwajima kwa kutumia ujinga wao na ndiyo kundi kubwa linalowakilishwa na wana CCM kuanzia Viongozi,wanafunzi...
Wiki iliyopita nchini Kenya mbunge Charles Ong'ondo alishambuliwa na kuuwawa. Leo hii Wauaji wote wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani hapo Kenya.
Picha hii hapa👇
Huku Tanzania;
Mwaka 2017 Tundu Lissu alipigwa risasi 17 kwenye Makazi ya Viongozi wanaolindwa na askari pale Dodoma. Waliofanya...
Hellow wakuu
Tulifundishwa kuishi kwa kutegemeana kwa mazingira,
Kila kiumbe kina nafasi yake ktk ecosystem
Ukiwaua swala wote itatokea competion ya kufa mtu among predators, vitoweo vitaisha simba wataanza kufa mmoja mmoja kwa kupigania au kukosa chakula
Urafiki na umoja wa simba utayumba...
Ni kwanini nchi za Africa haziendelei
Ujinga
Upumbavu
Ubinafsi
CHADEMA kamati kuu imekuja na azimio la No reform No election, kwa maana kua wanataka uchaguzi huru na haki kwanzia kwenye tume ifumuliwe na kusukwa upya,
Kinachofanyika hapa ni CHADEMA inataka suluhusho la kudumu la uchaguzi kwa...
Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe.
Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako wa kike.
#No reform no Election.
Kama unasumbuliwa na panya waharibifu loweka nafaka mfano karanga, mahindi, nk kwenye kinywaji cha energy drink yoyeto iliyochemshwa, kisha weka kwenye njia zao wakila tu hawachukui round utaokota mizoga.
Hata paka au kunguru we loweka nyama au samaki kwenye energy kisha weka sehemu atakayoweza...
MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu.
Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.