ukimya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza kitu ukimya ni hekima na silaha ya kumjibu mjinga

    Haya hapa mambo 10 yaliyozingatiwa mkataba wa bandari Dar Mama nilishakuambiaga piga kazi usisikilize kelele za makondakta wanakulazimisha gari la kupanda wakati umekata ticket na basi lako unalijua. Au Kelele za chura zisikutishe wewe kunywa maji mungu akujalie hekima zaidi ya ulizonazo.Watu...
  2. Russia is not your enemy

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati Mgogoro wa CWT dhidi ya Wanachama wake

    Ukimya sio Jibu, Serikali iingilie kati Mgogoro wa CWT dhidi ya Wanachama. Ni miaka zaidi 20 Serikali na wanachama hawajatulia na CWT wanatoa majibu mepesi. Nakumbuka CWT ilijinasibu kuwatekelezea walimu mahitaji yao ikaahidi mambo mengi sana kama benk yao, majimbo yao, nk. Katika vikao...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Drake na DJ Khaled kwenye mgogoro wa Israel na Palestina wawakera Mastaa

    DJ huyo amehoji sababu za Mastaa hao wa Hip Hop kutozungumza chochote kuhusu Mapigano yanayoendelea kati ya Majeshi ya Israel na Kundi la HAMAS ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya Watu 2,000 na majeruhi wanaokadiriwa kufikia 10,000 Vlad ameandika kupitia X "Je, kuna mtu yeyote aliyeona...
  4. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Ukimya uliogubikwa na kupoa kwa upinzani nchini

    Pilikapilika na vishindo vya upinzani nchini vimepoa mno kwa sasa. Ni aina mpya ya kijipanga ama ni maandalizi ya comeback ya tofauti na kivingine? Tutegemee muendelezo wa madai yaleyale ya tume huru ya uchaguzi, katiba mpya au bandari? Ama kuna jingine jipya? Ni matokeo ya reporti ya CAG au...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan avunja ukimya kuhusu yanayo endelea mtandaoni

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ahutubia Kamati ya Vyama vya Siasa Jijini Dar es Salaam Dar es Salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alitoa hotuba muhimu leo katika mkutano wa Kamati ya Vyama vya Siasa uliofanyika jijini Dar es Salaam. Hotuba...
  6. Quimica

    JamiiForums Tanzania Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

    Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini Lakini Kama kuna pesa wasanii wenzake siwangeenda Pia Dah inauma sana ,bora wajitokeze watu wamsaidie TABLE TURNS...
  7. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Ukimya ni silaha ya hatari anayotumia Samia aidha kwa kujua au kutokujua

    Silence is polite, silence gets people’s attention, further more, silence at the wrong time could be crushing weakness. Tunaweza kufahamu ujinga wa mtu kwa kutazama anachokiongea. Tunaweza kufahamu huyu mtu anawaza Nini au alikuwa anawaza nini kwa kusikiliza anachokiongea. Hivyo mtu akikaa...
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa mstaafu Kikwete tulidhani ni busara kumbe hamna kitu

    Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini. Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara. ====== Edo Kumwembe: Wakati...
  9. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

    Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Rais Samia anasifiwa kwa ukimya upi?

    Jambo la kushangaza ni kwamba watu wanageuza mada walianza na kuupiga mwingi . Mara mtulivu. Sasa anapongezwa kwa ukimya . Upi huo maana bila kuvuja mkataba wa bandar haya tungeyajuaje si alikiwa kimya pia. Lakini tunajua alivyo ng'aka pale ndugai aliposema nchi inauzwa ..mama hana majibu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ya akina Slaa yakitulia: "tutaukumbuka ukimya wa marafiki zetu."

    Enyi vyama vya upinzani, nyote kabisa pasipokuwa na exception, huu ndiyo ulio ukweli mchungu: Tafsiri halisi kuwa: Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi Hii ni pasipo na kujali kuwa yeye Slaa aliwahi kuyasema yaliyo fyongo haya: Ikumbukwe hatujawahi kuwa na rafiki wala adui wa...
  12. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Baraza la Maaskofu na BAKWATA dhidi ya Watuhumiwa wa Uhaini unashangaza

    Friends and Our Enemies, Nashindwa kabisa kuvielewa hivi vyombo viwili vya dini ambavyo kwa kiasi kikubwa vimekuwa mstari wa mbele kuikemea serikali kwa niaba ya jamii ya watanzania iliyogawanyika katika kiwango kikubwa katika iman hizo kubwa mbili za Uislam na Ukristo. Nasema,nashindwa...
  13. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Suala la Viza ya Marekani na Canada Serikali ya Tanzania ivunje ukimya, foreign affairs watimize majukumu yao

    Wakuu kuna hili swala la viza ya Marekani na Canada nadhani si la kukaliwa kimya. Ni kweli hizo nchi zina haki na mamlaka ya kuamuwa wanavyotaka lakini waziri wetu wa foreign affairs linapotokea jambo linawakwaza hana budi kukaa kikao na Mabalozi wa hizo nchi mbili hili kuondowa changamoto...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usiongee lolote juu ya suala la DP World kwa sasa. Ukimya wake unawatesa mno, acha waendelee kuteseka huku ujasiri na matokeo vikikubeba

    Kwa kuwa kuna pande mbili zinazotofautiana kwenye uwekezaji wa bandari na pande hizi zimeonesha wazi ni pande za kisiasa. Upande wa wanaopinga uwekezaji wakiongozwa na CHADEMA na upande unaokubaliana na uwekezaji wakiongozwa na CCM. Pande zote mbili zinapenda kusikia lolote kutoka kwako hasa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sababu kwanini ACT Wazalendo hawazungumzii mkataba mbovu wa bandari

    Leo nilikuwa na kiongozi mmoja wa kitaifa wa ACT ambaye amenitonya haya kuhusu ukimya wao kuhusu issue ya makataba wa bandari na DP World. 1. Mapema June walikuwa na mikutano ya chama wakizinguka maeneo mbalimbali ya nchi. Ni katika kipindi hicho suala la bandari lilikuwa linaanza kushika...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Yanga yavunja ukimya kuhusu kuondoka kwa Fiston Mayele

    Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema kuondoka kwa Fiston Mayele ni hatua ya kukua kwa soka ndani ya timu yao na watampata mbadala wake kwa kuwa maisha ni lazima yaendelee. Mayele mchezaji na mfungaji bora msimu uliopita 2022/23 ametambulishwa rasmi juzi na klabu ya Pyramids ya nchini Misri na...
  17. The Boss

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Philip Mpango na Mwigulu kwenye ishu ya DP World unashangaza

    Hawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana? Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"? Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja? Au hao ndo kuna mmoja wao "kaagizwa" ..akae mbali asichafuke na wale "wazee" wanaosimamia "project" ya "Chafua...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa UVCCM kwenye mkataba wa Bandari ni uzalendo au kulinda maslahi?

    Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hawa vijana wakijitokeza haraka kutetea au kufanya maandamano kupongeza kunapotokea sintofahamu hasa yanapoguswa maslahi ya serikali ya CCM na viongozi wao wakuu, lakini tofauti na sasa ukitoa tamko la Mwenyekiti wao Kawaida sijawasikia au kuwaona wakiandamana mkoa...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujiuliza kuhusu ukimya wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na uuzwaji wa Bandari za Tanganyika?

    Utangulizi: Ukisoma katiba ya JMT ibara ya 59 (1) imeanzisha ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, na ibara ndogo ya (3) ya ibara hiyo ya 59, inaeleza wajibu mkuu ni kuishauri serikali katika mambo yote yanayohusu sheria, zaidi sana ibara ya 59 (5) kwa hadhi ya ofisi yake mwanasheria mkuu...
  20. Prince mimi

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Waziri Mkuu Majaliwa katika sakata la Mkataba wa Bandari

    Habari Wakuu! Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali. Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson...
Back
Top Bottom