Pindi ambapo migogoro inakomeshwa juu juu bila kushughulikia chanzo chake kama dhuluma, ukandamizaji, utekaji, mauaji, ubaguzi, umasikini au kunyimwa haki, hali ya utulivu inayopatikana huwa ya muda mfupi tu. Watu wanaweza kunyamazishwa au kuchoka kupigana, lakini maumivu, hasira na kutoridhika...
Balozi Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuandikia ujumbe huu nikikuomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa uvunje ukimya ulisaidie taifa. Nchi yetu inaelekea kubaya kumeibuka wimbi kubwa la matamko yanayolenga kuwagombanisha wakristo na Serikali...
KUNA UKIMYA UNAITWA KUKUBALI KUTOKUKUBALIANA
Waswahili husema kubali yaishe, JAMBO hili linaweza likawa na AFYA kwa SIASA za Africa? SIJUI.
Ukimya uliolazimishwa ni kama hewa chafu — inaua taratibu. Lakini sauti huru, hata kama ni dhaifu, hubeba nguvu ya kubadilisha dunia.
Labda ni mimi tu. Labda mimi ndo tatizo. Labda nina uwezo mdogo wa kuelewa mambo.
Labda ni hivi au labda ni vile.
Labda nategemea mambo flani flani toka kwa watu ambao sipaswi kutegemea chochote au lolote toka kwao.
Kuna ukimya wa ajabu sana kutoka kwa baadhi ya watu na taasisi ambazo mtu...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amekuwa katika yadhifa za uongozi kwa muda mrefu sasa, kwa nafasi ambazo ameshika, anafahamu kwamba kuna mambo yanayohitaji mipaka.
Kabla sijaendelea niweke wazi kuwa ni vizuri kwa kiongozi kuwa Mbunifu, lakini si vyema kuvuka mipaka kwa...
Anonymous (e667)
Thread
alama
bandarini
jeshi
maalum
magari
makonda
matumizi
raia
ukimya
wengine
Hakika tunapita katika kipindi ambacho janga kubwa la kibinadamu siyo vita wala majanga ya asili ila ni janga lisilotajwa mara kwa mara ambalo nimelipa kichwa kufugwa kwa akili ya Binadamu. Hili ni janga kubwa kuwahi kufikia hatua lilipofikia.
Mifumo mikubwa ya kidunia na kijamii (Dini, Elimu...
Comrade PolePole popote ulipo tunaomba upunge lau mkono ili sis wana CCM wenzako wenye uchungu kama wewe mioyo yetu ipate kutulia
Yaani tokea Yule Samia kachukua Form pale idodomya upo kimya sana, sasa tunaingiwa na wasiwasi kuhusiana na usalama wako.
Tafadhali Ndugu, Polepole Jitokeze Manake...
Ni wakati sasa wa kuweka wazi na kwa lugha ya kisheria dhuluma inayofanywa kwa wapagazi (porters) wa Mlima Kilimanjaro. Hili si jambo la hisia tu, ni jambo la haki, ni jambo la sheria. Na ni jambo ambalo ukimya wa serikali, taasisi husika na wadau wakuu wa sekta ya utalii hauwezi tena...
Jamii nzima ya Tanzania na ulimwengu kwa ujumla mnapaswa kufunguka masikio, kufumbua macho na kusikiliza kwa makini kilio hiki kinachotoka kwenye mioyo ya wale ambao wamesahaulika – Wapagazi (porters), wapishi na magwiji wa milimani (guides) wa Mlima Kilimanjaro.
Hawa ndio watu ambao kwa mikono...
PART 16
JINSI UKIMYA ULIVYONIPA NDOA
Kwanza pale pale kanisani baada ya kuaga Mama yangu wa kambo na Ndugu zangu wakanifwata na siku hiyo Baba alikuwepo ibadani, akaniambia kila laheri mwanangu Mungu akutangulie, angalau ubadilishe mazingira upate na mwanaume wa Kijijini huko akuoe. Aliongea...
Inaonekana sababu CHAUMMA wamekuwa “kimya” ni kwamba hawajakuwa na shughuli za kampeni au matukio makubwa ya vyombo vya habari hivi karibuni. Katika miezi ya hivi karibuni:
Chamsha taarifa tu kuhusu uteuzi wa safu ya uongozi wao (wakati huu kumekuwa na uteuzi wa kaimu Mwenyekiti) .
Pia...
Huyo mweshimiwa mtajwa hapo juu alikua so vocal kupinga utekaji ,ukandamizaji democrasia wakati wa utawala wa rais Magufuli na yuko kimya sana bila ukosoaji wa yanayo endelea sasa Tanzania.
Alisikika mara moja Kijana wake Nondo alipotekwa ,kuteswa , lakini yupo kimyya kabla na baada ya hapo...
Nafurahi kuona serekali yetu inachukuwa hatua za kimya kimya kushughulikia wote wanaojihusisha na matendo ya utekaji na matendo yote yasiyo mema,
Napongeza kwa hatua ya ukimya huu, na pia kwa sasa watanzania wakae na kujidai kifua mbele, taarifa za siri zinaeleza baadhi ya watekaji...
Tunawakaribisha waKenya na wana Africa Mashariki wote kwa ukarimu, upendo na heshma kubwa sana Tanzania.
Lakini pamoja na hayo, ni lazima utaratibu wa kisheria na ustaarabu wa kimataifa ufuatwe na kuzingatiwa vilivyo.
Njooni mfanye mambo yenu ya kiuchumi na kijamii kistaarabu kama ambavyo...
Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa...
Katika historia ya mataifa yote yaliyojikomboa kiutawala, sauti ya wananchi ndiyo iliyovunja minyororo ya uonevu na ukandamizaji. Lakini hapa Tanzania, tunaishi katika kipindi ambapo ukimya wa wananchi umegeuka kuwa baraka kwa watawala dhalimu. Viongozi wanakiuka haki, wanatumia vibaya madaraka...
Tumezoea kuona hizi balozi za nje mfano Marekani, EU n.k zilizopo hapa nchini zikitoa matamko ya kulaani pale zinapoona kuna uminyaji wa demokrasia nchini, lakini hawamu hii tangia kukamatwa mwenyeketi wa CHADEMA taifa Tundu Lissu na kuwekwa kolokoloni ni kimya kimetawala hamna ubalozi uliotoa...
Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo waliokuwa wamezuiwa kuingia nchini Angola wamerejea Tanzania usiku wa Machi 14, 2025, saa 9:40.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa ACT Wazalendo leo Machi 14, 2025, Mwanaisha Mndeme, viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.