Baada ya kipindi kirefu cha uhaba wa pesa, madeni na stress mara paah mchongo huu hapa inabidi nisafiri mpaka Border Tunduma nakabidhiwa kibunda kwa ajili ya safari na kazi, what a wonderful day nafanya clearance ya madeni yangu na tayari kwa ajili ya safari nakutanishwa na suka wa Scania R440...