ukimwi

  1. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania A night in Tunduma, Pombe wanawake na ukimwi

    Baada ya kipindi kirefu cha uhaba wa pesa, madeni na stress mara paah mchongo huu hapa inabidi nisafiri mpaka Border Tunduma nakabidhiwa kibunda kwa ajili ya safari na kazi, what a wonderful day nafanya clearance ya madeni yangu na tayari kwa ajili ya safari nakutanishwa na suka wa Scania R440...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama: Taifa lina dawa za kujitosheleza za kufubaza virusi vya ugonjwa wa ukimwi

    Waziri wa Afya Jenista Mhagama amesema kuwa kutokana na madiliko ya kisera ya Nchi ya Marekani baada ya kuingia madarakaini Serikali mpya ya Rais Trump kuathiri Sekta ya Afya Serikali imefanya Tathimini ya kina ambapo wamepata majibu kuwa Taifa lina dawa za kujitosheleza za kufubaza virusi vya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mungu aliumba vimelea vya magonjwa kama EBOLA, UKIMWI, KANSA, MALARIA ambavyo vinaua mamilioni ya watoto wadogo wasio na makosa yoyote?

    Habari wadau Kwa nini Mungu mwenye upendo, muumba wa kila kitu, ameumba vimelea vya magonjwa hayo yanayotesa na kuua sana watu, imagine mtoto mdogo anateseka na kansa ya ubongo ama ukimwi
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya Adam na Hawa inafanana na Dhambi ya mtu wa kwanza aliyeleta Ukimwi Duniani

    Katika dunia ya sasa, kuna hali nyingi zinazoonyesha mateso ya watu wasiokuwa na hatia kwa sababu ya matendo ya wengine. Mfano wa wazi ni ugonjwa wa UKIMWI, ambao umeathiri maisha ya watu wengi wakiwemo watoto wachanga, wake wa ndoa waaminifu, na wengine wasiokuwa na uwezo wa kujizuia. Hii...
  5. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Mwaka jana niliponea chupuchupu kuupata Ukimwi, ila mwaka huu nimeangukia kwa Penzi la Mshangazi, nifanyaje kuoa

    Wadau, Napenda kupata tu ushauri, ninachotaka kufanya sifanyi na ninachofanya sio ninachotaka kufanya.. ... Nisikuchoshe ni hivi, mwaka jana nilishawahi kulala na mwanachuo fulani kumbe ni muathirika na baada ya kutumia PEP niliponea shimo la moto kwani mpaka wa leo mimi ni mzima wa...
  6. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Nchi Kumi Zinazoongoza kwa Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Barani Afrika

    Wadau Leo tupate mawili matatu kutoka kwenye huu uzi: Pale Kinondoni kwa Mama Ntilie, jua kali linawasha kama pasi ya mchina. Kwenye meza ya mbao iliyozungukwa na viti vya plastiki vimepoteza rangi, jamaa mmoja anaitwa Shomari alikuwa anapiga stori kali na washikaji wake Bonge, Mimi, na Mzee...
  7. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Je, Ni Kweli au si kweli Unaweza "Kula" Mwenye UKIMWI Usiambukizwe?

    Uchambuzi wa Kisayansi wa Kauli Kuhusu Maambukizi ya VVU/UKIMWI Makala hii inachunguza kauli inayosema: "Unaweza ukala mwenye ukimwi na usiupate mkuu nimeishi na mwenye ngoma miezi Tisa bila kujua na mpaka Leo nipo sawa tu huu mwaka wa nne mkuu." Katika uchambuzi huu, tutatumia maarifa ya...
  8. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Ninatokwa na vipele vingi usoni na kwenye ulimi, inaweza kuwa ugonjwa Nini?

    Anaomba Ushauri ". Mambo vipi ndugu zangu mimi nikijana wamiaka 30 ila nimetembea na mtu mwenye maambukizi ya virusi vya Ukimwi. Tangia nitembee nae ishapita miezi miwili lakini naona mabadiliko kwenye Mwili wangu naona ulimi wangu...
  9. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Safari yangu CTC

    Kwa msiojua CTC ni kituo cha kuchukulia dawa za kudhibiti virusi vya HIV (UKIMWI). Anayechukua dawa hizo anaweza kuwa ni mtumiaji wa muda mrefu au yeyote yule anayejiona ameingia kwenye hali hatarishi ya kupata maambukizi. Sasa juzikati harakati za maisha zilinifikisha kwenye moja kati ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya Afya, UKIMWI yaipongeza Barrick Bulyanhulu kuzingatia kanuni za afya

    Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa. Mwenyekiti wa Kamati, Hassan Mtenga. Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha akiongea katika kikao cha wajumbe wa Kamati na Uongozi wa Barrick Bulyanhulu. Mkuu wa wilaya ya Kahama Mboni Mhita. Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu Victor...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Ukimwi bado upo, Vijana wenzangu acheni kutembelea Rim

    Serikali imewatoa hofu watanzania wote wanaoishi na virusi vya ukimwi, kuwa dawa zipo na serikali tayari imesha andaa bajeti ya fedha zitakazo tumika kuhakikisha watanzania wanapata dawa hizo. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa...
  12. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Umezaje kuzaa watoto wasio na virusi na wewe una UKIMWI??

    Richa ya kua kuna huduma za PMTCT lakini kuna watoto wengine huwa wanapata maambukizi licha ya kua wamezaliwa kituoni. Hai galantii kwamba kwasababu wazazi wako positive na wanatumia ndio watazaa mtoto asiye na maambukizi?!! Nataka njia au evidence based stories za hawa watu
  13. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Mimi ni VVU, mtoto pekee wa kiume wa mzee UKIMWI

    HOTUBA YA VIRUSI VYA UKIMWI (MTOTO PEKEE WA KIUME WA MZEE UKIMWI) VVU amesimama jukwaani mbele ya wanadamu, anasema; "Najua mnanijua ila leo nataka mnijue zaidi. Watu wengi huko mitaani wamenipachika majina ya utani wananiita miwaya, taa, ngoma, kisiki, gonjwa kubwa, na majina mengine...
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na kondomu, neti na dawa za kufubaza makali ya UKIMWI; aina gani ya msaada mingine kutoka USAID?

    Japo gharama za kupata ARV zipo juu Ila sifikirii Kama tutashindwa kulipia hizo dawa. Je, kwanini mnamlaani Trump?
  15. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Waziri Mambo ya Nje ya nchi Dr Balozi Kombo tolea ufafanuzi kukatwa Msaada ya TB, Malaria na UKIMWI kwa Tanzania

    Mheshimiwa huu ni wakati wa wewe kuitisha Mkutano na kufafanua mambo ya Kimataifa ikiwamo usitishwaji wa Msaada kwa Tanzania. Nataarifiwa EU nao wapo mbioni.
  16. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Weusi tulilala sana kupata mbadala wa dawa ya UKIMWI (ARV), Trump katuamsha

    Wakuu Kwanza mtanisamehe. Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu sisi weusi yanapokuja mambo yanayohitaji tuwe siriazi, tumekuwa sio kabisa. - Mtu mweusi ana shida sana. - Naungana na wanaosema weusi tuna IQ ya chini mno. - Mweusi anaishi kwa LEO yake. - Anadeal na yanayomsibu LEO. - Hayo ya...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

    Ukimwi sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa (Syndrome), na magonjwa yote hayo yanatiba kamili zinatambulika na kufahamika vyema katika ulimwengu wa kitabibu. Nani anabisha? - Magonjwa haya husababishwa na kushuka kwa kinga ya mwili (upungufu wa kinga mwilini), lakini unaweza kuyapata...
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI

    Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI wa mwaka 2022/23 unaonesha kuwa, kiwango cha maambukizi katika Mkoa Njombe ni 12.7% kiwango hiki kimeongezeka kwa 1.3% ukilinganisha na 11.4% ya utafiti uliofanyika mwaka 2016/17. Lengo la kongamano hili ni kujenga uelewa wa maswala ya VVU na UKIMWI kwa vijana...
  19. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Alikufa kwa ngoma

    Alikufa kwa ngoma.
  20. Mr-Njombe

    JamiiForums Tanzania Kuna walioanza mwaka 2025 kwa kupata magonjwa baada ya kufanya mapenzi kizembe

    Poleni sana, ni muhimu kujifunza kujali afya kwanza kabala ya starehe. Tazama sasa maumivu unayopitia, gharama na muda unaotumia kujitibu kwasababu tu ya starehe ya muda mfupi. Jifunze kutumia kinga na kuepuka kufanya ngono zembe kiholela. Baki njia kuu. Kunywa pombe kupita kiasi ni hatatari...
Back
Top Bottom