Kwa nini ukimwi ulianzia mkoa wa kagera?

Kwa nini ukimwi ulianzia mkoa wa kagera?

Inasemekana kwa Afrika hili gonjwa lilianza kupiga hodi mitaa ya Museveni, Kwa Museveni na Kagera ni pua na mdomo.

Maambukizi yalienezwa mikoa ya kanda ya ziwa na mwisho wa siku Tanzania nzima.
 
Wale watu wanapenda sana mbususu bila kuwasahau waganda.

Na ile style yao ya kukausha kipapiro kwa katelero na akatanyukile ilichagiza sana kueneza maambukizi.

Bila kusahau biashara ya magendo kuvuka kwenda uganda kuchukua nguo za "juliana" ilichochea maambukizi mijini na vijijini ukizingatia kuwa wahaya wanaumme hawakuwa na utamaduni wa kutahiri.
 
Back
Top Bottom