ukimwi

  1. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa kuna idadi kubwa ya wagonjwa wa sickle cell,Asthma na ugonjwa wa virusi vya ukimwi

    Ukifuatilia vyanzo vingi sana vya utafiti not about vyanzo mimi pia ni shahidi kwasababu mimi nimefanya kazi kanda ya ziwa nimekuja kugundua kanda ya ziwa hasa hasa mikoa ya shinyanga,Mwanza,Geita na Tabora japo Tabora si kanda ya ziwa ila kuna idadi kubwa ya wasukuma magonjwa kama asthma na...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Elimu juu ya ugonjwa wa UKIMWI haitolewi ipasavyo mashuleni

    Katika zama hizi hamasa ya kutoa elimu juu ya maradhi/gonjwa hatari la ukimwi haitolewi mashuleni. Jambo hili linapelekea watoto kushindwa kujiepusha na njia hatarishi za maambukizi ya ukimwi. Tunaomba wizara husika Tamisemi na walimu wote watoe elimu kwa kina kwa wanafunzi juu ya maambukizi na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Amchoma mkewe tumboni kisha kunywa sumu baada ya kugundua anatumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Tingi, wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za kumchoma mke wake tumboni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada ya kugundua kuwa Mke wake alikuwa anatumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI (ARV) kwa siri...
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Wabunge na wake za watawala waachie posho na mafao ya UKIMWI na NHIF

    Ili kupata fedha za kununua dawa kwa wagonjwa wa UKIMWI, ukoma na kifua kikuu, watawala wa CCM wameamua kuwakamua raia mamilioni ya shilingi. Licha ya kuwa tayari wananchi wanaendelea kukamuliwa tozo za trab and tat baada ya kushindwa kuhamia Burundi, bado serikali ya CCM hairidhiki. Inataka...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hii inamaanisha tukiacha kununua magari watu wa UKIMWI tutawapoteza?

    Ina maana madawa ya ukimwi yanategemea kodi ya magari sasa. Kwa nini kusitafutiwe vyanzo na ubunifu mpaka mkafikiria huko.
  6. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China yasaidia Afrika kukabiliana na tishio la UKIMWI

    Desemba Mosi kila mwaka ni Siku ya UKIMWI Duniani. Kaulimbiu ya mwaka huu ni “Imarisha Mwitikio, Tokomeza UKIMWI”, ikisisitiza umuhimu wa kuimarisha mifumo ya afya ya umma, huku ushirikiano wa kimataifa ukikabiliwa na changamoto. Afrika ni bara linaloathiriwa zaidi na UKIMWI. Hivi karibuni...
  7. Think2

    JamiiForums Tanzania Ifahamu mikoa yenye ushamiri mkubwa wa maambukizi ya VVU Tanzania 2025

    Tanzania inakadiriwa kuwa na watu 1,700,000 wanaoishi na virusi vya Ukimwi. Amesema kati yao, zaidi ya watu 1,500,000 wako kwenye huduma za matibabu na matunzo. Dkt. Sumba amesema hayo katika mahojiano kwenye Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 leo Desemba Mosi 2025, siku ambayo pia ni Siku...
  8. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Kama ugonjwa wa UKIMWI unapatikana kwa kujamiiana. Mtu wa kwanza kuupata aliupataje?

    Kuna vitu vinafikirisha sana . Yaani kama ugonjwa wa ukimwi uligundulika kwa kujaamiana je !mtu wa kwanza kuupata/aliupataje?
  9. Wagumu Tunadumu

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini UKIMWI una nyota ya kupata hela?

    UKifatilia katika jamii zetu wale vijana waliopata ukimwi mapema chini ya miaka 40 wengi wao lazima wawe vizuri kiuchumi Bado hata watu wazima wengi na mishangazi,kila mshangazi wenye mapene ukiifatilia vizuri unagundua tayari imeshawaka Naanza kuamini ukimwi utakuwa na nyota ya hela
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya Dawa za UKIMWI (ARV) hutumika Kufubuza Ugonjwa wa Homa ya Ini

    Nimekutana Na Chapisho Kwenye Mtandao Wa Facebook likielekeza Kuwa Dawa Ya Kufubuza Ukimwi ARV Inaweza Tumika Kutibu Ugonjwa Wa Homa ya Ini.Jamii check je Ukweli wa Hoja Hizo ni zipi. Mfano Wa Chapisho Hilo Ni kama Unavyo onekana... Sio kila anae tumia (ARV) Ni Muhathirika wa virus vya Ukimwi...
  11. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Bora UKIMWI kuliko Siasa

    Bora Ukimwi sio siasa inavyo ondoka na wengi
  12. OLS

    JamiiForums Tanzania Ukiagiza gari unatozwa tozo ya UKIMWI

    kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha. Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
  13. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Kupima Afya ni Jambo Zuri (UKIMWI)

    Habari wakuu. Kuna wakati flani nilikuwa naona nyuzi ya UKIMWI Sana hapa jukwaani asee ilikuwa inanikata Sana sababu najua nilikuwa nauza mechi Hadi nikapewa ugomjwa WA gono na demu mmoja hivi video Queen ilikuwa (2023) kiufupi nakula bila kondom sababu nikitumia kondom nachelewa kumwaga...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Wanangu wa TMK, dawa za VVU zimerejeshwa bure

    Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, ameeleza kuwa dawa za Virusi vya Ukimwi (VVU) zipo na zinatolewa bure nchini. Soma pia: Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na vvu
  15. ANOLD MEDIA

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, hiki kirusi kweli kama media zinavoripoti?

    JE NI KWELI HIKI NI KIRUSI CHA UKIMWI? KAMA BAADHI MEDIA ZINAPOST INSTAGRAM ZIKISEMA HIKI NI KIRUSI CHA UKIMWI KIKIWA KIMEKUZWA KWENYE ELECTRONIC MICROSCOPE BY ANOLD MEDIA
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Nurdin Babu, atahadharisha jamii kuhusu ngono zembe na kuendelea kujikinga na UKIMWI

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro (RC), Nurdin Babu ameitaka jamii kuendelea kuchukua tahadhari kwa kuacha ngono zisizo salama na kutumia kinga ili kuepuka na au kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (HIV):’’Kwani ugonjwa huu bado upo.’’ Mkuu huyo wa mkoa amesema hayo jana Alhamisi, Julai...
  17. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali yatoa bilioni 298 kugharamia matibabu ya Kifua kikuu, UKIMWI na Malaria nchini

    Serikali ya Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2024/25 na 2025/26 imetoa jumla ya Dola Milioni 114 sawa na Shilingi Bilioni 298 za kitanzania kuongeza manunuzi ya dawa na vifaa tiba ili kufidia fedha zilizokuwa zikitumika kupambana na magonjwa ya Kifua Kikuu, UKIMWI na malaria nchini. Hayo...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa kibamia hakifiki IKIMWI ulipo

    Kama we ni mwanaume mwenye kibamia na unajiona mnyonge kutokana na maumbile yako basi ondoa shaka Tafiti zinaonyesha wanaume wenye uume mdogo(kibamia) ni vigumu sana kupata magonjwa ya zinaa ikiwemo UKIMWI pindi wanapofanya ngono na mwanamke kwasababu ni vigumu kupata michubuko wakati wa tendo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mkaa na kuni yanaua Watanzania wengi kuliko UKIMWI

    MATUMIZI YA NISHATI SAFI YANALENGA KUPUNGUZA VIFO VYA WAMAMA WANAOPIKIA MKAA NA KUNI, UTAFITI UNAONESHA KILA MWAKA WAMAMA ZAIDI YA 33,000 KILA MWAKA WANAKUFA KWAAJILI YA KUPIKIA KUNI NA MKAA WENGINE WAKIITWA WACHAWI. == Rais Samia kwa kutambua kwamba vifo vitokanavyo na nishati hafifu ya mkaa...
  20. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Mikoa gani ambayo inaongoza kuwa na wakazi wengi wanaoishi na virusi vya UKIMWI ?

    Swali langu ni fupi sana, Hivi ni Mikoa gani ambayo inaongoza kuwa na wakazi wengi wanaoishi na virusi vya UKIMWI ? ukitaja top 3 inatosha. Lakini usitaje tu kwasababu unachuki na watu wa Mkoa fulani, bali taja kutokana na research ambayo ilifanyika / imefanywa na Idara fulani.
Back
Top Bottom