ukimwi

  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania FANYENI MAPENZI SALAMA LEO MWISHO WA MWAKA HUU2024 , ILI KUANZA MWAKA MPYA 2025 KESHO BILA UTI, GONORRHEA, KASWENDE AU UKIMWI.

    Anza mwaka mpya 2025 ukiwa na furaha ya afya njema na sio kuchota maradhi kwa ngono zembe. Jizuie na ngono nzembe kuepuka magonjwa ya zinaa ya fedheha kama vile UTI Sugu, gono, kaswende au ukimwi. kwa wewe mwenye UTI au gono, jitibu kwanza na umalize dozi, acha kuambukiza wengine kwa tamaa na...
  2. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Faida za kuathirika na HIV (UKIMWI

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Ndugu yangu leo ngoja nije na faida za kuwa muathirika wa HIV. Kama wewe ni muathirika wa HIV basi tafadhali soma hadi mwisho itakusaidia. Pia kama ulikuwa ukichukua tahadhari juu ya HIV (UKIMWI), yaani bado haujaathirika basi endelea kuchukua tahadhali maana...
  3. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Natafuta wimbo wa UKIMWI ni janga la dunia

    Ulikua ukipigwa kwenye maredio siku ya ukimwi duniani. Sana sana kwenye Rtd sasa TBC. Maneno ya wimbo' Jamani ee Sikilizeni niwaeleze haya, janga la ukimwi halina dawa wala kinga,.
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Njombe: Baba abaka watoto na kuwaambukiza Virusi Vya UKIMWI (VVU)

    Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi katika halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wanadaiwa kubakwa na kuambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) na baba yao wa kufikia. Victor Nyato ambaye ni mwenyekiti wa mtaa wanapoishi watoto hao na mama yao, ambao mmoja...
  5. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kwanini mikoa yenye idadi kubwa ya Waislamu kuna maambukizi machache ya UKIMWI?

    Natafakari sana aisee hivi kwanini mikoa mingi ambayo kuna idadi kubwa ya waislamu kuna maambukizi machache ya virusi vya ukimwi? Tunaona kila mwaka mikoa kama lindi na sehemu kama zanzibar ambapo kuna idadi kubwa ya waislamu kunaripotiwa visa vichache vya amambukizi ya ukimwi je kwamba wana...
  6. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania "Weka mate niteleze" inavyoeneza UKIMWI

    1. Hii kauli mbiu imemaliza vijana wengi Sana maeneo ya Vijijini na visiwa vya ziwa victoria ambako Kondom ni adimu Sana. 2. Kavu sio mpango
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Siku ya Ukimwi Duniani: Tuzidi kuchukua tahadhari

    Desemba 1, 2024, Shirika la Afya Duniani (WHO) linaungana na wadau na jamii kote ulimwenguni kuadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani. Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Chagua Njia Sahihi: Afya Yangu, Haki Yangu!” Kauli hii inalenga kuwahamasisha viongozi wa dunia na wananchi kushiriki katika kuhakikisha...
  8. Dr PL

    JamiiForums Tanzania December 1, siku ya UKIMWI Duniani

    Leo December 1 2024 ni siku ya UKIMWI duniani. Mpaka sasa kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO) kuna zaidi ya watu milioni 39.9 duniani kote wanaoishi na virusi vya UKIMWI (VVU). Ni muhimu kuelewa kwamba si kila mwenye VVU ana UKIMWI. UKIMWI hutokea katika hatua za mwisho za maambukizi...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya, Kagera bado maambukizi ya VVU yapo juu. Tatizo ni nini?

    Leo trh 1/12/ 2024 tunaadhimishi siku ya ukimwi duniani, zaidi ya miaka 50 sasa tangu ugonjwa huu ubishe hodi nchini Tanzania kupitia Mkoa wa Kagera, bado mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera inaongoza kwa ukimwi. Tatizo ni nini haswa kwenye mikoa hiyo ambapo kuna maambukizi makubwa ya vvu?
  10. Z

    JamiiForums Tanzania UKIMWI bado ni ugonjwa hatari duniani kuliko magonjwa mengine

    Tukiwa tunaadhimisha siku ya Ukimwi duniani leo trh 1/12/ 2024, tusidanganyane, bado ugonjwa huu wa ukimwi ni hatari na tishio zaidi kuliko magonjwa mengine. Ukimwi ni mateso hadi kifo, chanzo kikuu cha ukimwi ni ngono. Serikali izuie/ishibiti vyanzo vya maambukizi ya VVU ambavyo ni...
  11. appoh

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio alama za mtu alieathirika na ukimwi kwa macho tu utamgundua

    Hii ni alama inayoonesha mtu huyo ameathirika na virus vya ukimw na hutokea kipind virus vina zaid ya miaka miwil kitaalamu tezi hiz huvimba kama ishara ya kukusanya virus na kuwarundika sehwm moja kutengeneza uvimbe yaan kama dead cell usaha uchafu virus na nk Hii hutokea kwa wanawake na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania UKIMWI na magonjwa mengine makubwa: Je, kipi hatari zaidi?

    Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu hatari za UKIMWI ikilinganishwa na magonjwa mengine makubwa kama figo kushindwa kufanya kazi, kansa, na kisukari. Watu wengine wanadai kuwa UKIMWI si hatari sana ikilinganishwa na magonjwa hayo. Ingawa ni kweli kwamba magonjwa kama figo, kansa, na kisukari...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tukiwa wakweli UKIMWI ni Overrated sana

    Muathirika wa UKIMWI akikubali hali na kufuata masharti tu anaishi miaka mingi sana hata ya maisha ambayo ingebidi aishi .kikubwa kuhakikisha kinga yako iko vizuri iwe kwa dawa -ARV plus lishe ..nk Watu wengi wakufa kwa magonjwa kama Presha ,stroke ,Moyo , Sukari,kansa Ajali na Majanga..nk...
  14. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwanaume mwenye vipele vidogo kwenye kichwa cha uume hawezi kupata UKIMWI na magonjwa ya zinaa

    Nimeona huko walimwengu wakijadili kuhusu vile vipele vinavyozunguka kichwa cha uume, sasa baadhi wanadai kuwa mwanaume mwenye hivyo vipele ana asilimia ndogo sana ya kuambukizwa UKIMWI hasa akiwa na damu group O-, lakini pia mwanaume mwenye navyo hawezi kupata magonjwa ya zinaa. Haya mambo...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Bodaboda, Wavuvi, Migodini makundi mapya kwa Maambukizi ya UKIMWI

    "Kwa Mujibu wa utafiti huu wa mwaka 2022-2023 ambao umefanywa na na Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS) na TACAIDS kwa Kushirikiana na Wadau mbalimbali wa Maendeleo kuhusu Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi Tanzania umebaini makundi mengine maalum ambayo ni hatari kwa maambukizi ya Virusi vya UKIMWI ni...
  16. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Pombe ni UKIMWI wa akili. Hadidu za Rejea ni Uislamu, Zanzibar, na Wachaga

    Ukimwi ni "Upungufu wa kinga za mwili". Virusi vya ukimwi haviui! Vikishashambulia na kuua kinga ya mwili "white blood cells" baaasi! Magonjwa yoooote nyemelezi yanatia timu na kuanza kufanya sherehe ya kukutafuna taratibu mpaka unakufa. Sasa kwa upande wa "pombe" ndivyo ilivyo. Pombe yenyewe...
  17. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Majuto kwa kwa vijana wenye fikra finyu waliozama ndani ya penzi zito kwa hisia

    MAJUTO KWA KWA VIJANA WENYE FIKRA FINYU WALIOZAMA NDANI YA PENZI NZITO KWA HISIA KALI ZA KIMA MAPENZI. Intro. Crazy winner. "nimekuja Doctor naomba unieleze majibu yangu naomba uniambie ukweli" Doctor "Siwezi kukuficha kwakweli we ni muathirika " 🔊 " jannet umeponza mama" penzi lako...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Maisha niliyoishi baada ya kuambukizwa UKIMWI na mpenzi wangu

    Hii hapa simulizi ya kusikitisha inayonihusu mimi, Inspector, ikigusa hisia kutokana na safari yangu ya kiafya: --- Safari ya Maumivu na Tumaini la Mwisho. Inspector nilikuwa kijana mwenye ndoto nyingi, niliyejawa na matumaini makubwa kuhusu maisha. Nikiwa chuoni Arusha, nilijikita katika...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kuna wahenga mnaokumbuka hili tangazo la UKIMWI la kwenye TV?

    Habarini, Lilikuepo miaka ya elf 2 mwanzoni, kulikuwa likianza linaanza na wimbo wenye mistari hii "Dada yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi, Kaka yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi Mama yangu amekwenda, amekwenda amekwenda na ukimwi " Hili tangazo lilikuwa kwenye...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua ukweli wa dokta msigwa anayetibu ukimwi

    Kuna rafiki yangu fulani amenithibitishia kuhusu ndugu yake aliyepona VVU baada ta kunywa dawa ipo kama chai alienda magomeni ama clinic yake kwa dokta anaitwa tr msigwa hata youtube video zake zipo anajinasibu anatibu ukimwi na magonjwa mengine.Binafsi mimi nina mashaka kwani tumefundishwa na...
Back
Top Bottom