Ajinyonga baada ya kugundua ana virusi vya Ukimwi

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,444
7,808
Sophia Charles Odipo mwenye umri wa miaka 23 Mkazi wa Mseto amefariki baada ya kujinyonga chanzo kikiwa ni baada ya kwenda Hospitali kupima afya yake mara mbili na kugundulika ana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema "Huyu Dada alijinyonga kwa kamba mpaka kufa chumbani kwake baada ya kwenda Hospitali na kugundulika ana maambukizi ya UKIMWI"

Millard
 
I see kafa na utamu wake, R.I.P Sophia
 
Hakupata watalaamu wa saikolojia mara baada ya kupima? Hapo hospital lazima unapewa elimu sahihi Kwa ajili ya kupokea aina zote mbili za majibu. Yaani hasi au chanya. Anyways, ameukosa ufalme wa Mbinguni kizembe. Sabato njema.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom