amarina
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 230
- 403
Ninashuhudia walimu wa vyuo vikuu wanawake wakiwa na virus na wengine wakiaga Dunia.
Walimu wa vyuo wa umri kati ya 35-50 sio salama kwa nyie G-zee.
Unalikuta ni linene ni mnene kumbe ni muathirika.
JAMBO lingine bodaboda wamemaliza MTAANI Sasa wamerejea vyuoni. Wanafunzi weng wa vyuo vikuu wakikosa boom msaada ni bodaboda. Bodaboda asilimia 70 wanawanawake wanafunzi wa vyuo vikuu. Ukimwi unasambaa sana.
Bodaboda wakiwa wanaendelea na mahouse girl wake za watu, watoto wenu nk Sasa Wana date na wanafunzi wa vyuoni