ukatili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    JamiiForums Tanzania TAMWA: Jamii inawajibika kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia

    Kuelekea maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kila mmoja katika Jamii ana wajibu wa kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia na kutoa Elimu juu ya madhara ya vitendo hivyo Usawa wa Haki, Uwajibikaji na Elimu kwa wote ni muhimu kupunguza matukio ya unyanyasaji wa kijinsia TAMWA
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanawake na Vijana wenye Ulemavu hatarini zaidi kufanyiwa Ukatili

    Data ya Kimataifa zinaonesha Wanawake na Vijana wenye Ulemavu wako katika hatari kubwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia, Vitisho, Kutendewa vibaya, au kutelekezwa Nchini Tanzania, Watu wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino), wako katika hatari kubwa ya kufanyiwa Ukatili kutokana na Mila na Desturi zenye...
  3. Emanuel Eckson

    JamiiForums Tanzania CDF yawaweka pamoja Makamishina na Makamanda wa Polisi nchini kujadili Ukatili wa Watoto

    MAKAMANDA wa Polisi nchini wameagizwa kupanga watu sahihi kwenye madawati ya jinsia na kuacha kupanga watendaji wagonjwa na wajawazito ili kupunguza kasi ya ongezeko la matukio ya udhalilishaji wa wanawake na watoto kwenye jamii. Aidha aliwataka baadhi ya watendaji wa madawati hayo kuacha...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania TAMWA: Elimu itolewe kupunguza ukatili wa kijinsia

    Je wajua kuwa, kiwango cha kufanyiwa ukatili wa kijinsia kwa mwanamke kinaweza kuongezeka kutokana na kiwango cha elimu, dini, kabila, umri, utaifa na hata hata ulemavu? Elimu itolewe kwa makundi yote ili kufikia malengo ya kupunguza ukatili huu katika Nyanja zote. TAMWA
  5. beth

    JamiiForums Tanzania TAMWA: Mila kandamizi zinazochochea ukatili dhidi ya Wanawake

    Mila kandamizi zimetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Ukatili dhidi ya Wanawake, na jambo hilo linapaswa kukemewa ili kumaliza Mila hizo Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimetaja baadhi ya Mila hizo kuwa ni pamoja na Wanawake kuzuiwa kufanya kazi Migodini kwa madai wanapokuwa...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa kijinsia kwenye Vyombo vya Habari

    Taasisi husika zinashauriwa kuwa na mpango mkakati wa kutoa elimu za mara kwa mara maeneo ya kazi ili kukabiliana na changamoto ya Rushwa ya ngono katika vyombo vya habari Vilevile ni muhimu kuanzishwa dawati huru la kuripoti kwa siri vitendo hivyo pale vinapotokea
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kumsikiliza mtoto wako ni silaha muhimu ya kumkinga dhidi ya ukatili na udhalilishaji?

    Kumsikiliza mtoto kunaaminika kuwa ndio ngao muhimu zaidi ya kumlinda mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto anayesikilizwa huwa jasiri na muwazi kwa mzazi au mlezi kwa yote anayoyapitia yawe mema au mabaya kwani wanaamini kuwa watachukua hatua kwa ajili yao. Mara nyingi mtoto...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wafugaji watazamwe kwa jicho la pekee dhidi ya ukatili wa wasichana

    Wafugaji ni kundi muhimu sana katika Duniani hii, bila wao hatupati nyama,maziwa,ngozi na mboleya ya samadi. Kwa Tanzania makabila ambayo ni maarufu kwa ufugaji ni Wasukuma,wamasai,wataturu nk lengo langu siyo kuwachafua wafugaji ila nataka jamii ifahamu kuwa kuna baadhi ya wafugaji hawajali...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tiba ya Ukatili kwa Watoto na Saikolojia ya Msichana wa kazi

    Mama ni Tiba nambari moja ya kuzuia Ukatili kwa Watoto na Uponyaji wa kisaikolojia kwa wasaidizi wa kazi za Ndani. Zipo Shughuri nyingi sana zinazoweza kumsaidia mwanamke kuhakikisha chakula kipo nyumbani hata Kama baba kashindwa kusimama kwenye nafasi yake, zipo Shughuri nyingi za kumsaidia...
  10. ItsMi

    JamiiForums Tanzania Komesha ukatili wa kijinsia

    Kila siku Kumekuwa na mashauri mengi mahakamani kuhusu maswala ya ukatili wa kijinsia je? Jamii yako inalionaje na inalichukuliaje hili suala. Kwanza kabisa tunapozungumzia ukatili wa kijinsia ni hali au kitendo kinachofanywa na watu fulani katika jamii yaweza kuwa mwanamke akamfanyia mwanaume...
  11. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Shairi: Hili Neno "Ukatili"

    Salaam! Utenzi huu unabeba dhima ya neno "Ukatili" ambalo limekuwa likitajwa sana, lakini watu wengi wameshindwa hasa kuelewa neno hilo lina maana gani. Shairi hili lipo katika mtindo wa masimulizi kuhusu matukio ya ukatili yanayotokea ndani ya familia, ambapo mabinti yatima mapacha waliokuwa...
  12. escrow one

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iandae Mgombea Urais Mwanamke 2025 kuepuka ukatili wa kijinsia

    Baada ya Mama 'kutangaza' nia yake ya kuingia ulingoni 2025, ni vema chama kikuu cha upinzani kikaanza jitihada za kumtengeneza mwanamke atakayepambana na Chifu Hangaya kuwania kiti namba moja hapa nchini. Kuweka mgombea mwanaume itakuwa ni ukatili wa kijinsia na hoja hiyo itatumika kuwaangusha.
  13. beth

    JamiiForums Tanzania TAMWA yasisitiza ushirikishwaji wa Wanaume katika mapambano dhidi ya Ukatili wa Kijinsia

    TAMWA husisitiza ushirikishaji wa wanaume na vijana katika mapambano ya kumaliza ukatili wa kijinsia. Ni vyema wadau wanaotoa semina juu ya elimu ya ukatilikuzingatia maudhurio ya wanaume na wanawake. Wanaposhirikishwa, inawapa mwanga kujua madhara ya vitendo vya kikatili na hivyo kuwawezesha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

    Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Hii Ina leta maana kwamba wanamuandaa na kumtesa kisaikolojia kufanya ajiskie si chochote, na...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania TAMWA: Jamii inahitaji elimu zaidi kutambua aina za ukatili wa kijinsia

    TAMWA inatambua kuwa ukatili wa kijinsia unaweza kuchukua sura mbalimbali kuanzia ukatili wa majumbani unaohusisha vipigo na matusi, usafirishaji wa binadamu, ukatili wa kingono kwa njia ya mtandao, ndoa za utotoni, ukeketaji na hata mauaji ya vikongwe. Jamii inahitaji elimu kwa kina kuzifahamu...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania TAMWA yahimiza mabadiliko ya Sheria kupunguza Ukatili wa Kijinsia

    TAMWA bado inahimiza mabadiliko ya Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ambayo haiwalindi wasichana dhidi ya kuolewa. Sheria hii inaruhusu wasichana wenye miaka 14 kuolewa kwa (ruhusa maalum ya wazazi), inaruhusu wasichana wenye umri kuanzia miaka 15 kuolewa iwapo umbile lao linaonekana kubwa Hali hii...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Wanawake wapo hatarini kufanyiwa ukatili wanapokosa mapato kukidhi mahitaji yao

    TAMWA imebaini kwamba asilimia kubwa ya wanawake wanakuwa katika hatari ya kufanyiwa ukatili wanapokosa elimu, chanzo cha mapato ya kukidhi mahitaji yao. Katika sikukuu ya shirika la ILO 28 April 2018, Mkuu wa UN Women Phumzile Mlambo-Ngeuka alinukuliwa akisema kwamba; "Ukatili dhidi ya...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Zanzibar ina changamoto kutatua matatizo ya Ukatili wa Kijinsia

    Utafiti uliofanywa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) Juni 2011 hadi Machi 2012; Kuna changamoto kubwa katika Jamii za Zanzibar kwenye kutatua matatizo ya ukatili wa kijinsia. Jamii zinagubikwa na usiri wa kueleza au kuyafikisha masahibu hayo mbele ya sheria na vyombo vya usalama...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania UN: Ukatili wa Kijinsia umeongezeka Afrika wakati wa COVID-19

    Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa, ukatili wa kijinsia barani Afrika umeongezeka maradufu katika kipindi hiki cha mlipuko wa UVIKO-19. Kwa mfano imeelezwa kuwa huko nchini Kenya wanafunzi takribani 4000 walipachikwa mimba wakati shule zilipofungwa kipindi cha zuio la kutoka...
  20. Faith Luvanga

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kisa cha Kweli: Mtoto Aliyebakwa na Baba yake kwa Mwaka Mzima

    Jioni baada ya kutoka shule, Faraja* aliingia ndani na kuona jinsi vyombo vilivyokuwa vimevurugwa na kuvunjwa. Maumivu ya kumbukumbu za ugomvi wa wazazi wake usiku kucha wa jana yalimfanya ashindwe kuvumilia na kuangua kilio. Kwa bahati mbaya, mama yake hakuwepo nyumbani kumfariji, kwani alikuwa...
Back
Top Bottom