Komesha ukatili wa kijinsia

ItsMi

Member
Sep 13, 2021
66
31
Kila siku Kumekuwa na mashauri mengi mahakamani kuhusu maswala ya ukatili wa kijinsia je? Jamii yako inalionaje na inalichukuliaje hili suala.

Kwanza kabisa tunapozungumzia ukatili wa kijinsia ni hali au kitendo kinachofanywa na watu fulani katika jamii yaweza kuwa mwanamke akamfanyia mwanaume au mwanaume akamfanyia mwanamke inategemameana lakini hiyo hali ni ukatili pale mahali ambapo huyo mwanamke au mwanaume atamnyanyasa kimwili Kihisia au kisaikolojia. Mtendewa huyo.

HivyoYapo mengi ya hayo yanayojitokeza katika jamii zetu ikiwa ni pamoja na ubakaji, Ulawiti, Kutukanwa matusi, Mara nyingine kipigo,kudhalilshwa, Kujeruhiwa na hata kupelekea kifo kwa mtendewa.

Hivyo nadhani mengi Kati ya hayo yaweza kuwa husababisha na ukosaji wa elimu kwa baadhi ya watu lakini pia mengine mtu anaweza kuwa anajua yote hayo lakini akafanya vitendo vya ukatili kwa sababu ya mabavu yake
Hivyo ni ombi letu kwa wizara husika zinazopambana na kukemea mabaya hayo na hata pia jeshi la polisi liweze kuweka ulinzi katika mitaa na kuwadhibiti wale wote ambao ni kikwazo kwa jamii. Kwa pamoja tutaweza kulifutilia mbali tatizo hili

Hivyo ukiona unyanyasaji wa kijinsia unafanyika msaidie mhanga wa jambo hili ili kumnusuru na baya linaloweza kujitokeza na kumkamatisha kwa polisi mtu huyo anaye mtendea ukatili wa kijinsia mwenzake.

Hivyo siku zote tupo pamoja ambapo lengo letu kubwa ni kudumisha imani na amani ya taifa letu ili tuweze kujiamini na kusonga mbele na kuyafikia mafanikio zaidi.
 
supported
 
Back
Top Bottom