TAMWA yahimiza mabadiliko ya Sheria kupunguza Ukatili wa Kijinsia

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
TAMWA bado inahimiza mabadiliko ya Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ambayo haiwalindi wasichana dhidi ya kuolewa. Sheria hii inaruhusu wasichana wenye miaka 14 kuolewa kwa (ruhusa maalum ya wazazi), inaruhusu wasichana wenye umri kuanzia miaka 15 kuolewa iwapo umbile lao linaonekana kubwa

Hali hii ina athari kwa maendeleo ya Taifa.

Sheria ya Makosa ya Kujamiiana ya mwaka 1998 Sura ya Pili Kifungu 21 inamaanisha kuwa mtu yoyote atakayepatikana amemkeketa kisiri msichana mwenye umri wa miaka chini ya 18 atahesabiwa kuwa ametenda kosa la ukatili kwa watoto.

TAMWA inaendelea kutoa wito kwa serikali kuwachukulia hatua watekelezaji wa mila hizikandamizi.
 
Back
Top Bottom