TAMWA: Elimu itolewe kupunguza ukatili wa kijinsia

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Je wajua kuwa, kiwango cha kufanyiwa ukatili wa kijinsia kwa mwanamke kinaweza kuongezeka kutokana na kiwango cha elimu, dini, kabila, umri, utaifa na hata hata ulemavu?

Elimu itolewe kwa makundi yote ili kufikia malengo ya kupunguza ukatili huu katika Nyanja zote.

TAMWA

who-bears-the-mental-burden-sexual-violence-feature_1320W_RM-1.png

Panapokuwa na watu wawili lazima mmoja awe mtawala na mwingine mtawaliwa ndo mambo yaende vizuri
Wanasema kuna usawa ndo wanamfanya mwanamke aonewe
 
Je wajua kuwa, kiwango cha kufanyiwa ukatili wa kijinsia kwa mwanamke kinaweza kuongezeka kutokana na kiwango cha elimu, dini, kabila, umri, utaifa na hata hata ulemavu?

Elimu itolewe kwa makundi yote ili kufikia malengo ya kupunguza ukatili huu katika Nyanja zote.

TAMWA

who-bears-the-mental-burden-sexual-violence-feature_1320W_RM-1.png
Mbona nguvu kubwa sana inayotumika kufadhili Ke kwa kisingizio cha kunyanyaswa na Me kila siku?

Mashirika mengi tu duniani nayo yamejikita ktk huu ujinga.

Nadhani ule mkutano wa Beijing ulikusudia kutuweka Me ktk ngazi za uzuzu.

Miaka 15 mbele na kuendelea ni Ke watakuwa wahanga sana wa u-single mother, sababu hakuna Me anayejitambua kuwa tayari kupoteza uanaume wake kwa kuwa kichwa cha familia ktk ndoa.
 
Je wajua kuwa, kiwango cha kufanyiwa ukatili wa kijinsia kwa mwanamke kinaweza kuongezeka kutokana na kiwango cha elimu, dini, kabila, umri, utaifa na hata hata ulemavu?

Elimu itolewe kwa makundi yote ili kufikia malengo ya kupunguza ukatili huu katika Nyanja zote.

TAMWA

who-bears-the-mental-burden-sexual-violence-feature_1320W_RM-1.png
Mwenye kutupatia bajeti ya TAMWA 2021/22 ninaona kama tunapigwa
 
Back
Top Bottom