Tiba ya Ukatili kwa Watoto na Saikolojia ya Msichana wa kazi

Kyagi

New Member
Sep 15, 2021
3
45
Mama ni Tiba nambari moja ya kuzuia Ukatili kwa Watoto na Uponyaji wa kisaikolojia kwa wasaidizi wa kazi za Ndani.

Zipo Shughuri nyingi sana zinazoweza kumsaidia mwanamke kuhakikisha chakula kipo nyumbani hata Kama baba kashindwa kusimama kwenye nafasi yake, zipo Shughuri nyingi za kumsaidia mwanamke aweze kuwa na muda pia wa kulea Watoto wake kwa ufasaha au hata kuwa na muda wa kumsaidia dada majukumu yanayomkabili nyumbani na wote kwa pamoja mkajenga ukaribu utaosaidia binti wa kazi kuwa huru Kama mwanafamilia sio mfanyakazi tena.

Jamii hujengwa na Wazazi wanaoweza kusimama katika nafasi zao kifamilia na si ki Elimu au Ajira yenye mshahara mkubwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom