ukatili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    JamiiForums Tanzania HOUSE OF BLOOD: Gazeti la "The Sun" la Uingereza lilivyomuita Rais Samia mchinjaji na juu ya ukatili uliofanyika kwa raia wake

    Vyombo kadhaa vya habari barani Ulaya na Marekani vimeuandika raisi Samia vibaya sana kuhusu azma yake ya kung'ang'ania madaraka ambayo ilimpelekea kuamuru raia wake wauawe na vyombo vya usalama vya Tanzania. Lakini gazeti la The Sun la nchini Uingereza toleo la tarehe 6 Disemba nalo...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania BBC: Habari za Polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zimesomwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa

    BBC: Habari za polisi wa Tanzania kuhusu ukatili wa Oct 29 zime somwa sana kwenye chombo chao hicho cha kimataifa cha BBC.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Waarabu wana asili ya ukatili, unyama na ubwana

    Huyu ni descendant wa waarabu. Gene ya ukatili ipo, imejishihirisha sasa.. kilichofabnyika 29 ni version ya ukatili wa utumwa walivyokuwa wanawafunga minyororo shingoni, leo kwa vile kuna risasi katumia risasi Nyerere alikosea kujifungamanisha na makatili!
  4. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii kauli ya kuwaita watanzania walioandamana ni wahuni na vibaka inatafsiri ukatili na ushetani wa viongozi dhidi ya wananchi

    Hapo vip! Viongozi wa kiafrika wengi huwa wanajiona ni watu special sana na wanauwalali wa kuishi kuliko mwananchi yeyote,hii tabia inatafsiri jamii ambayo bado haijastarabika na ambayo bado haijajikamilishi kuishi kama mwanadamu halisi. Kuna mzungu aliona yale mauwaji ya tarehe 29 Oktoba...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa uyaone,sikuamini kama siku moja nitakuja ishi kwenye huu ukatili niliousoma kwenye vitabu

    Nakumbuka nikiwa mdogo, nilikuwa nikiangali vitabu vya Vita vya Kagera nilikuwa namlaani sana Iddy Amini,nilijiapiza kwa Mungu alaniwe huyu mtu ingawa umri wangu ulikuwa mdogo sana,nilipokuwa nakuwa niliona inchi kama Zaire ya mabutu walivyomtendea Patriki Lumbumba Leo nashuhudia inchi yangu...
  6. mshale21

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa ushahidi wa videos mbalimbali juu ya ukatili wa polisi dhidi ya wananchi Oct 29-31, Naona kisasi kinakuja muda si mrefu

    Kila siku videos zinazotolewa kabatini zikionesha matendo ya kikatili ya askari polisi dhidi ya wananchi, napata wasiwasi kuwa haya maandamano yanayoratibiwa sio tu ya amani kama jinsi inavyoelezwa , lakini pia naiona vita ya kulipiza kisasi kati ya wananchi walioteswa, Walionyanyasika ...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania mauaji na ukatili wa Oktaba 29 hayana dini, eneo wala jinsia

    Naona mashehe wengi ambao ni mashehena wameamua kuugeuza uislam uchawa. Wanatetea ukatili na mauaji ya Oktoba 29 sijui ni kwa sababu ya dini au uchawa na udini. Mie sijui.
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake & Watoto

    Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera .E. Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili (MTAKUWWA II), kilichofanyika tarehe 11 Novemba, 2025 Jijini Dodoma. kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe kutoka Wizara...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache kujidanganya kwamba inahitaji askari kutoka nje kutekeleza mauaji na ukatili wa kutisha kati yetu?

    Kuna maneno au uvumi umekuwa ukisambazwa sana kwamba kuna wanajeshi au askari wa Uganda waliingizwa kutoka nje ili kudhibiti waandamanaji kwa kuwaua na kuwafanyia ukatili mwingine. Huku ni kujidanganya, kujipumbaza na kujifariji kwa uongo. Kwa muda mrefu sana Watanzania wengi wamekuwa...
  10. Criss

    JamiiForums Tanzania Kwa ukatili ulichofanywa na polisi hadharani, ninamashaka kama Waliotekwa wanaweza wakawa bado wapo na roho zao

    Ule ukatili uliyofanywa na police hadharani tena mchana wa jua kali umenipa tafakuri nzito sana. Ule ukatili wao umesababisha hadi niwaze utimamu wa afya za akili za wahusika. Ule ukatili wao umefanya niwaze utimamu wa akili wa aliyewatuma. Ule ukatili wao umefanya niwaze majukumu ya msingi...
  11. Lanlady

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuwafungia watu ndani na kuwazimia internet ni zaidi ya ukatili

    Mara zote nimekuwa nikiwashauri baadhi ya wanasiasa kwamba, watanzania wa miaka ya 90 sio hawa wa miaka ya 2000. Watanzania wa sasa wamekula 'matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya.' Mema wanayajua na mabaya wanayajua. Hawa wa sasa sio watanzania wa kanga na chumvi. Wala sio wa kurubuniwa...
  12. sanalii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukatili wa Samia: Kama wanaosukumana tu kwenye kampeni anataka polisi wawashughulikie, wanaomkosoa je?

    Yani suala la kusema tu hapo mbele msisukumane, anaona suluhisho ni police. Yaani Samia ana kiburi kikali sana kilichochanganyika na unafiki, akiongea utadhani mwema, yaani anahisi kuwa yeye ni mtu special sana, and nothing come close to her. Si ajabu aliechoma picha yake haonekani. Mungu nipe...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Walimu waanza kutoa milio baada ya mwezao kuliwa kichwa kwa ukatili

    GT Hawa wacha wale jeuri yao. Kwanza hawa wanatumika vibaya na maCCM
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Huyu ni mwalimu wa shule gani anayempiga mwanafunzi mateke?

    Check huyu ticha . Naona anawaiga police wa Samia. Ticha ni kilaza na hana maadili ya kazi yake Pia soma ~ Mwalimu wa Shule ya Sekondari Makumbusho (Dar) afukuzwa kwa kosa la kutoa adhabu kali kwa Mwanafunzi
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa Polisi, Kumbukeni tunaishi wote pamoja kwenye jamii hampo mbinguni

    Kwa muda mrefu sasa, Tanzania imekuwa ikishuhudia matukio yanayoacha maswali mengi miongoni mwa wananchi: matumizi ya nguvu kupitiliza na ukiukwaji wa sheria na kanuni za Jeshi la Polisi. Katika matukio mbalimbali ya kukamata waandamanaji, kutawanya mikutano au kufuatilia visa vya uhalifu...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu umebadilika? Kwanini nyakati hizi watawala wanawake wanaonesha ukatili wa kiwango cha ajabu?

    Kimazoe, mwanadamu wa jinsia ya kike, kwa kiasi kikubwa alionekana ni mtu mwema zaidi, mnyenyekevu zaidi, msikivu zaidi, asiye mdhulumaji. Ilikuwa siyo kawaida kumpata mwanamke akiwa jambazi. Lakini siku zinavyoenda mambo yamebadilika sana. Wanawake wa sasa, wengi wao, hasa waliopata nafasi za...
  17. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Ukatili, Unafiki wa Polisi Wanaotetea Wahuni, this ain’t Justice

    Hii dhambi ya kikatili inayofanywa na baadhi ya viongozi na jeshi la polisi kutetea wahuni ni moral decay ya hali ya juu. Mnataka ku-justify mateso, unyanyasaji na harassment ya raia huku mkiwakingia kifua criminals? That’s some straight-up b*tch move. Kwa msingi wa Katiba ya JMT Ibara ya 12(1)...
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke au mwanaume ni ukatili gani ushawai kufanyiwa na mwanamke au mwanamke ni ukatili gani ushawai mfanyia mwanaume

    Tuanze na mwanamke ni ukatili gani ushawai mfanyia mwanaume kiasi hata shetani asingeweza kuufanya Mwanaume ni ugaidi au ukatili gani ushawai kufanyiwa na mwanamke mpaka ukaona huyu mchawi Mimi sija pigwa sana matukio ila niliwai kulipia lodge na demu hakutokea nikasepa home up saa 12
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mwenendo na ukatili wa askari wetu unatafakatisha na kuhuzunisha

    Hakuna asiyejua kwamba mtawala aliyepo sasa ni mkandamizaji na muuaji dhidi ya raia wake wanaokosoa utendaji wake. Analitumia jeshi letu kwa ujumla wake kama jeshi lake binafsi. Tumeona baadhi ya wananjeshi wakivikwa sare za polisi wakati wananchi walipotaka kuandamana kupinga utekaji, utesaji...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kama siyo mchafu unatafuta nini huko CCM maana CCM ni makao Makuu ya Uchafu, maovu, ukatili and the like...

    Nimesoma andiko la Askofu Bagonza. Anasema Wooote, walioshindwa/waliopenya ie walioshinda?? wote ni wale wale. Wote ni waovu., (maharamia, majambazi, wahuni ........nyongeza yangu) WALIOSHINDWA, actually, though it looks strange, washukuru Mungu maana wameepushwa na mauti huko mbele
Back
Top Bottom