ukatili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wa-Druze ambao tangia wiki iliopita wamefanyiwa ukatili huko Syria

    Ni Waarabu wenye dini ya kipekee ya Ki-brahamu ambayo hapo awali ilikuwa chipukizi la mbali la Uislamu wa Shia. Waamini Mungu Mmoja kama walivyo wakristo na Waislam, nabii wao ni Yethro / Yitro, kuhani wa Midiani, baba wa Sipora; Yethro ni baba mkwe wa Musa. Wafuasi wasiopungua milioni 1...
  2. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania CCM na Ukatili wa Kimfumo: Taifa Linalozama Katika Giza la Haki Kukanyagwa, Raia Kudhalilishwa na Demokrasia Kugeuzwa Kichekesho

    TUMECHOKA! Kwa herufi kubwa kabisa. Tumechoka kunyanyaswa, tumechoka kuonewa, tumechoka kuishi kama watumwa kwenye nchi yetu wenyewe ilhali tunaambiwa tuna Uhuru wa kuishi, kuongea, na kuamua. Kwani ninyi wa CCM, mko made of what? Si ni binadamu kama sisi? Au damu yenu ni dhahabu na yetu ni...
  3. Soul21

    JamiiForums Tanzania NSSF acheni ukatili na toeni pesa za watu

    Serikali lazima ijue raia tunapambana kujikwamua kimaisha na unakuta mtu ameacha kazi taasisi binafsi na anahitaji mslai yake lakini NSSF wanasema mpaka ufikie umri wa kustaafu. Nauliza pesa za wafanyakazi mnapeleka wapi? Haijalishi mtu amepata kazi Serikalini au lah! Sioni umuhimu wa NSSF...
  4. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili

    Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili** Salamu zangu kwenu nyote! Leo, nimefurahi sana kushiriki na nyie mawazo yangu kuhusu somo muhimu sana: jinsi ya kujilinda na kuepuka athari mbaya za wivu, chuki, ubaya, na ukatili katika maisha yetu. Katika...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wadau wakutana kujadili suala la ukatili wa kijinsia kwa wanawake wanasiasa

    Na Mwandishi wa Habari Hub Zanzibar, Juni 12, 2025 Katika juhudi za kukuza ushiriki wa wanawake katika siasa na demokrasia, Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA-Zanzibar) kimeandaa kikao kazi cha siku mbili kilichowakutanisha wadau kutoka taasisi 15 zisizo za kiserikali...
  6. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukatili wa ajabu wa kwenye Uongozi wa Rais Samia umetoka wapi?

    Wakati wa Magu tulikuwa tunajua ni mtu anayeamini njia yake pekee sio mtu ambaye alikuwa mrahisi kumshauri. Kwa ufupi Magufuli alikuwa mtu wa msimamo mkali. Hivyo haikushangaza sana kwa yake yaliyokuwa yanatokea. Lakini Magufuli alikasirikia kila kitu hadi rushwa na uzembe. Raisi Samia mwanzoni...
  7. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Ukatili katika malezi

    UKATILI KATIKA MALEZI Katika sayansi ya saikolojia ya ukuaji wa mtoto, kuna ukweli mmoja usiopingika: mtoto huchukua sauti ya mzazi wake kama sauti ya dunia. Anaposikia matusi badala ya busara, anapopigwa kupita kiasi badala ya kuelekezwa, anapolaaniwa badala ya kufundishwa,mtazamo wake wa...
  8. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Watekaji na wauaji nawashauri mbadili njia ya kufanya Ukatili, mnajiexpose sana

    Kama ingekuwa Ukatili na kuua na kutesa watu ni best approach ya kufanya Censorship….I think JPM would have been a Champion . Binafsi mnajiexpose sana kitaifa na kimataifa which is not Healthy. Madhara ya kujiexpose hata kwenye ulimwengu wa ki intelligence ni kukaribisha wahuni. hamtoweza ku...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki liitishe maandamano nchi nzima siku ya jumapili baada ya misa kupinga ukatili aliofanyiwa Rev. Kitima

    Ukitaka kujua nguvu ya kanisa ni pale itakapoatangazwa rasmi kanisani kuwa jumapuli baada ya ibada kuwe na maandamano ya amani kupinga ukatili aliofanyiwa Rev Kitima Kuna chawa ni popo,ni waumini watiifu wa kanisa na ni waumini watiifu wa utawala yaani hapo watashindwa wasimame wapi Kanisa...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Siyo CCM wote tunapendezwa na huu Ukatili wa kikundi Kidogo Chenye kufaidi Cake ya Taifa

    Hapana. Msituchukie wote. Mimi nina kadi ya CCM mwanachama toka mwaka 1985 madogo wengi wamekuja wamenikuta akina mwashamba hawa akina Tlatlaa, huyu mamasamia2025 ni mdada ambaye amekuja ccm miaka hii akidhani naye ni mwanasiasa. Mimi nlipinga mambo ya hovyo ya kuuza nyumba za Serikali kwa bei...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wakristo washerehekea Pasaka chini ya kipigo kikali cha mayahudi huko Gaza.70 wafa kote.

    Siku ya Pasaka ni moja ya siku za kuheshimika kwa wakristo kote duniani.Lakini kwa watu wa Gaza wa madhehebu ya kikristo na waislamu imekuwa ni moja ya siku chungu kwao baada ya watu zaidi ya 70 kuuliwa kwa siku moja maeneo mbali mbali ya ukanda huo wa Palestina. Katika siku hiyo ya Pasaka...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa Dini Shinyanga Wakemea Ukatili dhidi ya Watu wenye Ualbino Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Kuelekea katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 viongozi wa Dini mkoani Shinyanga wamekemea vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa watu wenye Ualibino ikiwemo mauaji ambayo hushamiri wakati wa uchaguzi yahusishwa na imani za ushirikiana kwa dhana potofu ya kupata uongozi. Tamko hilo limetolewa na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO.

    UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO. Matukio ya kushangaza kwenye mahusiano sio ya kusubiri bali karibu kila siku tunaamka na matukio yenye kushangaza kama sio kujinyonga basi ya mmoja kumuua mwingine au ubakaji wa watoto. Nimekuwa...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kazi na Utu: hii slogan itawaondoa watu waliotumiwa kudhalilisha utu kazini

    Slogani hii inaenda kuleta ubinadamu, utu, upendo, heshima katika kazi. Ushalilishaji, uonevu, ukandamizaji katika kazi sasa umefikia mwisho. Iwe katika kilimo, bei nzuri ya mazao, viwandani na ma ofisini, udhalilishaji ukome, mambo ya kusimama jukwaani kudhalilisha watumishi au...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kati ya Januari - Februari 2025 simu 169 zimepigwa kuripoti matukio ya Ukatili kwa Watoto Nchini

    TAMKO LA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA (TEN/MET) NA LHRC JUU YA MATUKIO YA KUJERUHIWA NA KUUAWA KWA WANAFUNZI KUTOKΑΝΑ ΝΑ ADHABU KALI YA VIBOKO MASHULENI Dar es Salaam, Machi 11, 2025. Ndugu waandishi wa habari Tarehe 26 Februari 2025 ziliripotiwa taarifa kupitia vyombo vya habari za kufariki kwa...
  16. Inside10

    JamiiForums Tanzania Video: Kijana afunguka alivyofanyiwa ukatili wa kutisha na mwenyekiti wa kijiji Uleling'ombe, kilosa

    Tazama video inasikitisha sana... Yapo baadhi ya mambo ukiyasikia unaweza kudhani pengine uko ndotoni! Siku kadhaa zilizopita, liliripotiwa tukio la kushangaza, kustaajabisha, na kuhuzunisha kuhusu vijana wawili wanaodaiwa kufanyiwa ukatili wa kutisha na Mwenyekiti wa Kijiji cha Uleling'ombe...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Sekondari ya Mwilibona awapiga wanafunzi 2 na kuwavimbisha mikono sababu ya kuchelewa kufika shuleni

    Mwalimu Kisogi wa shule ya Sekondari Mwilibona awapiga wanafunzi wake 2 na kuvimba mikono na damu kumwagika kisa wamechelewa kufika shule. Wanafunzi wao wamesema walikuwa wanakwenda kusaini ofisini kwake kwa sababu walikuwa wanakosa shule. Kwahiyo walitakiwa kila siku wasaini saa moja na nusu...
  18. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Serikali ya DRC, kwa ukatili huu, inastahili nini???

    https://x.com/andrewmwenda/status/1893355999680921990?s=46 Watu wakichukua silaha zao, wengine wanavimba na kutunisha misuli.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kiwango kilichopitiliza cha Ukatili kwa watoto

    Sidhani kama dini inataka hivi. Oneni wenyewe. Aione Dkt. Gwajima D
  20. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kuna ukatili unafanyika kwenye wanyama wanaofugwa kama Mbuzi, Ng'ombe

    Hivi kwa jua hili, mbuzi au ng'ombe anafungwa juani kuanzia asubuhi hadi jioni. Hii sio sawa kabisa, kama mtu hawezi mkatia majani basi aende akachunge. Unakuta mnyama anahema mpaka unamuonea huruma. Na pengine hata maji hawapewi hadi hio jioni. Hili suala ni la kuliangalia, hawaviumbe nao...
Back
Top Bottom