Nyimbo za Diamond wa sasa ni takataka tupu na ndio zimepata wafuasi (siyo true fans wa muziki) wengi, maajabu. Nimelinganisha na nyimbo za Chege, huyu bwana ni mwanamziki. Anaimba muziki haswa wenye kila kitu in terms of qualities.
Diamond wa sasa anaimba takataka zinazo haribu vijana wengi...