ujumbe

  1. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa mkuu wa chuo DIT na waziri wa Elimu Prof. Ndalichako

    Kwanza nichukue fursa hii kuipongeza serikali yetu chini ya Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli ambae anapambana usiku na mchana kuhakikisha nchi inasonga kwa kasi usiku na mchana. Pili niwapongeze baadhi ya watendaji wake akiwemo waziri wa Elimu Prof Ndalichako kwa kuendana na kasi ya Rais wetu...
  2. JamiiForums Tanzania Uingereza: Premier League yalaani ujumbe ulioonyeshwa uwanjani

    Wakati wa mechi kati ya Burnley na Manchester City, iliyochezwa Jumatatu, Juni 22 katika uwanja wa Etihad, kuna ujumbe uliosema “White Lives Matter” ulipitishwa uwanjani hapo kwa ndege Ligi ya Uingereza ilionyesha kuunga mkono juhudi za watu wanaoendelea kupinga ubaguzi wa rangi unaoendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka Tundu Lissu kwa wote wenye mapenzi mema

    na #TUNDU_LISSU Kuhusu sarakasi za Mahakama ya Kisutu, nina haya ya kusema; Acheni hofu. Kama nitakamatwa na kuwekwa mahabusu, hilo litakuwa ni jambo jema kuliko jambo lingine lolote Magufuli na watu wake watayatendea mapambano ya kudai demokrasia katika nchi yetu. Wakifanya hivyo basi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Siku ya Baba Duniani: Lady Jaydee akerwa kukithiri kwa rushwa ya ngono kwa wasanii wa kike. Ujumbe uwafikie Takukuru

    Mwanamziki mkongwe Lady J Dee; ameonesha kukerwa Sana na tabia ya mapromoter, sponsor na mapresenter Kuwataka kingono wasanii wa kike! Adai tabia hiyo inaua Sana ndoto za wasanii hususani chipukizi kuingia kwenye gemu! Salam ziwafikie: Waziri wa Habari na Michezo Takukuru BASATA Swali ni je...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe wa wazi kwa wanademokrasia Tanzania: Uchaguzi uwe huru na wa haki au la, washindi watapewa ushindi wao. Hakuna haja ya kuwa wanyonge!

    Nawaambia haya, kwa uzoefu wangu ndani ya Serikali, CCM na kwenye Idara Nyeti za nchi hii. Nisikilizeni na muelewe: 1. Uchaguzi mkuu wa Tanzania ni zaidi ya uchaguzi kati ya CCM na vyama vya upinzani. Uchaguzi hubeba mustakabali wa nchi kiusalama, kiuchumi na kadhalika. Kuuchezea uchaguzi ni...
  6. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa leo

    You cannot know every single details of your life, just because you know the last moment. We may face a painful day with trouble in our lives, but if we keep living in happiness just as we did today, it wont be as painful as the first and we wont be as worried as had been
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nifikishie ujumbe huu kwa Askofu Dr Bagonza. Askofu wa Dayosisi ya Karagwe

    Askofu Bagonza nakusali katika jina la Yesu. Nimesoma jumbe JF ukimlaumu Mh. Kangi Lugola kwa kumfananisha Rais Magufuli na Yesu. Hukuishia hapo , umetoa mifano mingi sana iliyotendwa na watu waovu katika kutete shutuma zako. kifupi , naomba nikujulishe yafuatayo. Kwanza, punguza chuki juu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mama yake mpenzi wangu hataki Mgeni kwake baada ya kusikia Mshenga anaenda kupeleka Ujumbe wangu

    Nina mpenzi wangu ambaye tumependana kwa miezi 10 sasa, kaja kwetu Msoma kututembelea kutoka kwao Arusha ikiwa ni njia ya kujuana kiundani alikuja akakaa week 1 hotelini Baada ya kumshawishi aache kazi ili nimuoe, hii ni kutokana na kazi alokuwa anafanya ya counter kwenye Lounge fulani Dar es...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Japo wako kimya, Mkapa na Kikwete wanaridhika na hoja ya kutaka kumuongezea muda Magufuli?

    Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba. Sasa iwapo walitamani lakini wakasita, au hawakutamani ila waliamua tu kuheshimu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania fuatilieni mazishi ya George Floyd kuna ujumbe muhimu unatolewa kwa wanasiasa duniani kote!

    Tukio la mazishi liko live Al Jazeera, BBC na Sky news. Lugha ni English na lugha ya alama. Kama una nafasi jaribu kufuatilia ni tukio la kusisimua kwa wale wenye kuthamini utu wa binadamu. Up dates;
  11. JamiiForums Tanzania Ubalozi usiwe tena ni eneo la kuwapa makada wa CCM waliokosa vyeo

    January mwaka huu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof Palamagamba Kabudi alisema bila juhudi za Rais John Magufuli, fursa za kufundisha lugha ya Kiswahili Afrika Kusini in getupita… “Fursa hiyo ingepita si kwasababu nyingine yoyote ile, uzembe wetu wenyewe” Aliyasema...
  12. JamiiForums Tanzania A good Lord has only ten, Ujumbe kwa Wanaharakati

    "A good Lord has only ten" George Clemenceu alisikika akimkosoa Rais wa marekani Woodrow Wilson kwenye mkutano wa Versaille treaty mwaka 1919. Hii imetokana na Rais wa marekani wa wakati huo Woodrow Wilson kuja na sheria 14 kwenye mkutano huo akiwa kama mwenyekiti. George kutoka ufaransa...
  13. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tibor Nagy kuja Tanzania kwa namna Serikali inavyolichukulia janga la COVID -19

    Huyu aliyenena haya ni Tibor Nagy naibu wa mwanadiplomasia wa wizara ya nje Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika. Hatimaye mabeberu yameona usanii wetu.
  14. JamiiForums Tanzania Ujumbe huu kwenye PC una maana gani?

    Wakuu PC yang window 7 inatumia. Haifungui program baadhi ikiwemo virtual DJ na zingne nimeistall vizuri ila wakati wa kuopen inaandika hivi. "Dorectx failed to initialize please install the correct drivers for your video card " Naomba kueleweshwa maana nimeweka UC mini browser imekubali mbona...
  15. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

    Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine. Pia soma: 1). Dar, Kinondoni: Yaliyojiri...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apinga uamuzi wa Spika kuwataka Wabunge watoro kurejesha posho na kutolipwa mshahara

    === Kufuataia sakata la Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Ndugai kuwataka Wabunge watoro wa vikao vya Bunge kurejesha posho na kutolipwa mishahara yao Mh. Tundu Lissu atoa neno lake. Lissu ameanza kwa kuhoji kuwa je Wabunge hao wa Chadema wanaotakiwa kurejesha hizo pesa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania VETA na double standard salary

    Pole na kazi Mkuu! Ni imani yangu u mzima wa afya na unaendelea vyema na kuchapa kazi ya kujenga nchi yetu na ni imani yangu pia ujumbe huu utaupata na kuufanyia kazi. Kwa ufahamu wangu mdogo nimeona hii ni platfom nzuri kwangu kuweza kukufikishia malalamiko yangu kama siyo yetu sababu sina...
  18. JamiiForums Tanzania Siku yako ya kuzaliwa halafu mpaka Saa Saba mchana hujaona ujumbe wowote wa kukupongeza kutoka kwa mpenzi wako...

    Tukiwa bado tunaendelea na kupiga nyungu tusisahahau kuendelea kuchukua tahadhari nyingine dhidi ya adui yetu Corona. Kwa kuwa kila mtu kazaliwa, basi kuna siku moja katika mwaka huwa inajirudia kwa maana ya tarehe na mwezi. Kwa wale wenzetu mliopo kwenye mahusiano, najua inapofika siku kama...
  19. JamiiForums Tanzania Avatar yangu ina ujumbe mzito

    Hii avatar yangu naweza kusema ndio avatar ya mwaka 2020/2021.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wote waliounga mkono juhudi...

    Kwenu nyote mliohama vyama vyenu (haijalishi ni chama gani ulikotoka na chama gani ulihamia) naomba jibu swali hili (ukipenda); 1. Kitu kipi kilikufanya uwe kwenye chama ulichokuwa nacho kabla hujajiunga kwingine? 2. Na ulipoamua kuunga mkono juhudi; kipi kilichobadilika ulipotoka na kule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…