Kibonzo cha Kipanya leo kina ujumbe gani?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1600846875131.png
 
Chadema washaliwa kichwa na CCM,K.P namkubali sana huwa anasema ukweli.
CCM ashamiliki chumba kizima mpaka kitanda umebaki mto tu na wenyewe muda wowote utamilikiwa na CCM.aisee Chadema kwisha.
 
MASKINI CHADEMA WAPO HOI WAMEKATWA KICHWA HUYO NI LISSU DA
Kuna mgombea wa nafasi ya uraisi wa chama fulani anasumbuwa watu vichwa na kuwakosesha watu usingizi , alafu pia Kuna baadhi ya makada katika chama Fulani niwasaliti ila wamejificha uwezi ukawajuwa yani hawatabiriki Kama Wajumbe. Hii ndio tafasili alisi ya hii picha ya masudi kipanya
 
Maana yake ni
Geto ni nchi na huyo jamaa ndo mtawala anawaza mambo yalivo balaa
hizo rangi ni vyama tofauti ila yake imeonekana kufubaa kuzidiwa na nyekundu hata mto wa kulalia kaazima sio wake ni wa chama chekundu kinachoonekana zaid huku kijani kikififia
 
Mbona maana iko wazi tuu:

1. Hiko ni chumba cha mtu (nchi). Chumba tayari kilikuwa kimepakwa rangi ya bluu. Lkn CCM & CDM wanafosi kupaka upya rangi zao wenyewe (kijani & nyekundu), na kwa kuwa hawana maelewano basi wanajikuta wanachafua ukuta tuu maana hapa rangi ya kijani, mara pale ya nyekundu, kule kijani basi ni vululuvululu tupuu.

2. CCM na CDM wote wanatumia kitanda kimoja (Tanzania) lakini wanakichafua kwa kupaka rangi zao.

3. Shuka lina rangi ya CCM, mto una rangi ya CDM. Kama CCM ni shuka, basi CDM ni mto. Lkn tukumbuke kitanda huwezi kukilalia bila shuka na mto.

4. Wenye chumba/kitanda (wananchi) nao hawana vichwa wapo wapo tuu hivyo hawana la kufanya zaidi ya kuangalia chumba chao kikichafuliwa ovyo.
Unforgetable
 
october 28 2020 tunaingia ikulu mapema asubuhi
Kuna mgombea wa nafasi ya uraisi wa chama fulani anasumbuwa watu vichwa na kuwakosesha watu usingizi , alafu pia Kuna baazi ya makada ktk chama Fulani niwasaliti ila wamejificha uwezi ukawajuwa yani hawatabiriki Kama Wajumbe. Hii ndio tafasili alisi ya hii picha ya masudi kipanya
( by some body bwana yuleeeee!!!!)
 
Mbona maana iko wazi tuu:

1. Hiko ni chumba cha mtu (nchi). Chumba tayari kilikuwa kimepakwa rangi ya bluu. Lkn CCM & CDM wanafosi kupaka upya rangi zao wenyewe (kijani & nyekundu), na kwa kuwa hawana maelewano basi wanajikuta wanachafua ukuta tuu maana hapa rangi ya kijani, mara pale ya nyekundu, kule kijani basi ni vululuvululu tupuu.

2. CCM na CDM wote wanatumia kitanda kimoja (Tanzania) lakini wanakichafua kwa kupaka rangi zao.

3. Shuka lina rangi ya CCM, mto una rangi ya CDM. Kama CCM ni shuka, basi CDM ni mto. Lkn tukumbuke kitanda huwezi kukilalia bila shuka na mto.

4. Wenye chumba/kitanda (wananchi) nao hawana vichwa wapo wapo tuu hivyo hawana la kufanya zaidi ya kuangalia chumba chao kikichafuliwa ovyo.
Unforgetable
Hii tafsiri ndo baba lao.
 
Wamebaki wakiangalia kwa kutumia nini?
Au macho yao yapo kwenye nini mkuu kama kichwa hawana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom