Kwa muda mrefu nimekuwa katika shuhuda kwa watu, ndani na nje ya nchi kuhusu mwenendo wa kanisa letu, viongozi wetu katika kanisa na hata kuhubiri mambo ambayo kwayo, KKKT limelelewa miaka mingi iliyopita.
Sishangai mabadiliko ndani ya kanisa, ila mabadiliko yanapokiuka misingi ya dini, imani...