daaah kwa hyo sisi tunataka kuwauwa wazungu ndo maana tumewapa jina BEBERU[emoji849]Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya.
Wakikupa msaada au wakikusifia unawaita wadau wa maendeleo ila wakikusoa unawaita mabeberu.
If you want to kill a dog,kill his master first.
OKWakikupa msaada au wakikusifia unawaita wadau wa maendeleo ila wakikusoa unawaita mabeberu.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Beberu auliwe na jike linalomtegemea kwa kila kitu?