Aliyelewa ujumbe wa Kipanya leo atusaidie.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1601448759421.png
 
Japo bata ni mkubwa na ana nguvu nyingi kulicho chura, atakae angamia ni bata maana kanyongwaa. Chura yeye anauwezo wa kuishi kwa mda fulani sehemu ambayo hakuna hewa.

Pamoja na hujuma zote na nguvu zote zinazotumiwa na hii serikali kumdomfisha mtu ambae hana hata jeshi bado amewakaba koo, hawapumuiiiii hata mate hawamezi. Ngoma bado mbichiii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom