AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,536
- 4,513
Hivi vipindi vyao kila mtu akiwepo studio ana control ya Mixer, yaani ni kelele na vurugu tu studio.
Warekebishe huu.
Mtu kipindi cha michezo yupo MWANAIDI SULEIMAN (Mtangazaji)
Paul Mkai (Mtangazaji)
Kawambwa (Mtangazaji)
Sasa who is the main controller hapo. Kila mmoja wao anaongea tu anaingilia mwenzake tu, mradi fujo tu.
Kwa mfano, muda huu kuna kelele zilikuwa studio. Sijui hawa wanapataje access ya kuingia studio na kufanya vurugu hivi?
Mbona Clouds sijawahi sikia.
HEBU WARUDI CHINI MANAGEMENT WATAFAKARI THEIR BASICS.
WATADHARAULIKA KWA KWELI.