Niaje.
Noamben kujua kuna tatizo gani kwa hawa wanaorusha habari za bbc Swahili na Sauti ya Ujerumani siwapat kabisa redion wamefungiwa au?
Halafu pia naomba kujuzwa hawa BBC Swahili na vituo vingine vya habari vyanzo vyao vya mapato ni vipi maana nimezoe kuona huku kwetu radio station...
Waziri wa Afya wa Ujerumani, Jens Spahn amethibitishwa kukutwa na #CoronaVirus na ana dalili kama za mafua
Wizara ya Afya imesema waziri huyo amejitenga lakini watumishi wengine wa wizara hiyo hawatajitenga. Wote waliochangamana naye wameshataarifiwa
Spahn ni mmoja kati ya wanasiasa wa wakubwa...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya bara la Afrika?
Je, ushahidi huu ni udhibitisho mwingine tena wa ule...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu watanzania;
Ujerumani iliwahi kuwaua binadamu zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye uchumi mkubwa zaidi barani Ulaya (European...
Luteni Kanali Vladimir Putin: Afisa muandamizi wa KGB Ujerumani Mashariki na mfadhili wa makundi ya kigaidi Middle East (PFLP, Hezbollah, Hamas)
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the...
Ujerumani imesema inaionya Marekani iache kuwapangia nishati ya kutumia kwani kila nchi ina uhuru wa kuamua itumie nishati gani.
Ujerumani inashirikiana na Urusi kujenga bomba la gesi, Nord 2 kutoka Urusi hadi Ujerumani lakini Marekani ametishia kuliwekea vikwazo hilo bomba lisikamilie au...
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa, Mhandisi Francis Mihayo amevitaka Vituo vya Utangazaji (Radio, Televisheni, Blogs na Online Tv) kuzingatia Kanuni mpya za Maudhui Mtandaoni 2020 na Kanuni Mpya za Redio na Televisheni 2020.
Mihayo ameyasema hayo wakati wa kikao kati...
Mkuu wa zamani wa Kanisa Katoliki, Papa Benedict XVI, anaripotiwa kuumwa sana baada ya kumtembelea kaka yake aliyekuwa mgonjwa nchini Ujerumani mwezi Juni na sasa hali yake ni dhaifu sana.
Gazeti la Passauer Neue Presse la nchini Ujerumani limeripoti kwamba Papa Benedict mwenye umri wa miaka...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu watanzania;
Kwanini ENGINEERS wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni nini hasa...
Hadi kufikia jana Alhamisi, wafanyakazi wapatato 730 katika machinjio ya jimbo la North Rhine-Westphalia (NRW) nchini Ujerumani wamethibitika kuambukizwa virusi vya Corona baada ya kupimwa
Mamlaka za huko zimeamuru kufunguwa kwa kiwanda cha kuchakata nyama cha Kundi la Toennies kwenye eneo la...
Ujerumani imekasirishwa na uamuzi wa rais wa Marekani Donald Trump wa kukata mahusiano na shirika la afya ulimwenguni WHO ikiielezea hatua hiyo kuwa na muvunja moyo na inayorudisha nyuma afya ya dunia.
"WHO inahitaji kufanyiwa mageuzi kama linataka kuleta maadiliko yoyote" aliandika Waziri wa...
Wizara ya Mambo ya kigeni ya Ujerumani leo imemwita balozi wa Urusi kujadili uwezekano wa kuiwekea Moscow vikwazo kufuatia madai ya udukuzi ya mwaka 2015 dhidi ya bunge la Ujerumani, Bundestag.
Taarifa ya wizara hiyo imesema balozi wa Urusi amearifiwa kuwaUjerumani inalenga kuuomba Umoja wa...
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, DK Abdallah Possy aitaka timu ya Simba Sc kutotumia kigezo cha Ugonjwa wa Korona kutaka ubingwa, na hivyo kuwataka waache uoga ili wamalizie ligi
a
Dawa ya Madagascar maarufu kama Covid-Organics inafanyiwa utafiti na wanasayansi wa Taasisi ya Max Planck inayojumuisha ushirikiano wa watafiti kutoka Ujerumani ,Udenmarki na kampuni ya Kimarekani iitwayo ArtemiLife. Uchunguzi huo una lengo la kubaini kama mmea wa Artemisia unaweza kutumika...
Germany plans a shakeup of its foreign aid, limiting its "partner" list to 60 nations and dropping Burundi and Myanmar. Minister Gerd Müller says knock-out criteria will be corruption, rights abuses and poor governance.
Germany is planning to heavily restructure its foreign aid agenda...
Maelfu ya waandamanaji jijini Berlin wameingia barabarani kuandamana kupinga hatua ya serikali kuwafungia ndani
Waaandamanaji hao walikuwa na mabango yalisomeka we want our life back stop humiliating us
Wastani wa waandamani elfu moja walimiminika kuandamana kupinga kuendelea kufungiwa ndani...
Munster ni mji ulioko Magharibi mwa Ujerumani, ni mji unaofahamika kwa kubeba majengo ya kihistoria una idadi kubwa ya baiskeli ambayo ni mara mbili zaidi ya ile ya wakazi
Kutokana na wingi wa baiskeli kumetengwa maeneo ya maegesho ya baiskeli katika maeneo mbalimbali. Kama haumiliki baiskeli...
Afisa wa polisi wa Ujerumani akiwa amevalia barakoa wakati akimkaribia dereva wa gari katika mpaka wa Ujerumani na Uswizi baada ya nchi hiyo kutangaza udhibiti wa mipaka kufuatia ugonjwa wa COVID-19, Machi 16, 2020. [Picha / Mawakala]
Maafisa wa forodha wa Ujerumani wanajaribu kufuatilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.