ujerumani

  1. Richard

    Kwanini Ujerumani ina idadi ndogo ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa COVID -19? Tanzania tuna cha kujifunza

    Wakati ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha Corona ukiendelea kusambaa na kuua watu wengi duniani, nchini Ujerumani idadi ya watu walokufa ni ndogo kulinganisha na nchi zingine barani Ulaya na duniani kwa ujumla Kwa mujibu wa taasisi ya Robert Koch hadi kufikia Ijumaa asubuhi watu 13,957...
  2. Analogia Malenga

    Italia: Kwa siku ya leo watu 651 wamefariki, Pia Kansela wa Ujerumani yuko karantini

    Idadi ya vifo vinavyotokana na #Covid19 imeendelea kuongezeka huko Ulaya, kwa sasa Italia imetangaza kuwa na vifo 651 kwa siku moja, idadi inayopelekea vifo ndani ya Italia kufikia 5,476 Pia Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amejiweka karantini mwenyewe baada ya kuchangamana na daktari...
  3. Analogia Malenga

    Ujerumani yazuia kusanyika la watu zaidi ya wawili

    Ujerumani yazuia mkusanyiko wa watu zaidi ya wawili katika kupambana na #Covid19 Mamlaka zinasema, zuio hilo ni sahihi zaidi kuliko kuwataka watu wabaki nyumbani Hadi sasa #Covid19 imeua watu 13,500 na watu 313,000 wameambukizwa ugonjwa huo Ujerumani yazuia mkusanyiko wa watu zaidi ya wawili...
  4. J

    Je, Corona itabadilisha Siasa za Tanzania maana imepiga kuanzia Vatican, UK, USA, Uchina hadi Ujerumani?

    Najiuliza tu kwa kuwa hayo mataifa niliyoyataja ndio wafadhili wakuu wa vyama vya siasa nchini kuanzia CCM, Chadema hadi ACT wazalendo. Baadhi ya vyama siyo rahisi kusimama vyenyewe bila ufadhili na hasa ukizingatia ruzuku itakata rasmi mwezi June. Natafakari tu wakuu. Maendeleo hayana vyama!
  5. Analogia Malenga

    Ujerumani yathibitisha mgonjwa wa kwanza wa Corona. Dawa za UKIMWI kuanza kutumika kwa wagonjwa wa Corona

    Mgonjwa wa kwanza wa maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona amethibitishwa nchini Ujerumani. Msemaji wa wizara ya afya mjini Munich, amesema jana jioni kwamba mgonjwa huyo ni mwanaume anayetokea eneo la Stanberg, katika jimbo la Bavaria, kiasi kilomita 30 kusini magharibi mwa Munich...
  6. Nyendo

    Ajira za wageni kurahisishwa Ujerumani

    Serikali ya Ujerumani hapo jana umetia saini mpango wa kuwasajiri wakazi wasio katika Umoja wa Ulaya kwa lengo la kuziba pengo la wataalam katika sekta ya ajira. Hatua hiyo inatekelezwa baada ya mkutano wa kilele uliowakutanisha wawakilishi wa makampuni na vyama vya wafanyakazi. Rasimu ya...
  7. FRANC THE GREAT

    Ujerumani yaziajiri kampuni za Rafael ya Israel pamoja na Atos ya Ufaransa ili kuunda "Uwanja wa Vita wa Kioo" ama "Glass Battlefield"

    Ujerumani yaziajiri kampuni za Rafael pamoja na Atos ili kuunda "Uwanja wa Vita wa Kioo" Kampuni ya uzalishaji wa mifumo ya kijeshi ya Rafael (Rafael Advanced Defense Systems) ya Israel imeshirikiana na kampuni ya Atos (Atos Information Technology) kwenye mradi unaohusu uundwaji wa "uwanja wa...
  8. Victor Mlaki

    Maktaba ya ujerumani (Bavaria) imefikia uamuzi wa kurejesha vitabu vya freemasons vilivyoibiwa miaka 80 iliyopita

    Imekuwa ni sherehe kubwa kwenye imani hii ya freemasons baada ya kurejesha vitabu vilivyoibiwa wakati wa utawala wa Nazi na inakadiriwa kuwa zaidi ya miaka 80 iliyopita. Vitabu hivyo inasemekana vina maelezo kuntu ya matambiko "rituals" ya ibada za ki-freemasons.
  9. FRANC THE GREAT

    EURO 2020: Kundi la kifo, Kundi F kuzikutanisha Ufaransa, Ujerumani na Ureno

    Habari! Tayari baadhi ya timu zimekwisha kupangwa katika makundi kwa ajili ya mashindano ya 'UEFA EURO 2020', droo iliyofanyika mjini Bucharest nchini Romania ingawa bado haijakamilika huku Kundi 'F' likitajwa kama "Kundi la Kifo" litakaloyakutanisha mataifa matatu 'vigogo' wa soka barani Ulaya...
  10. Suley2019

    Mfumuko wa bei waongezeka nchini Ujerumani

    Kiwango cha Bei ya Watumiaji (CPI) kimeongezeka kwa asilimia 1.1 mnamo Novemba nchini Ujerumani. Kulingana na data ya Takwimu ya Shirikisho la Ujerumani (Destatis), mfumko wa bei nchini umeongezeka kwa asilimia 1.1 mnamo Novemba ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana mwezi Oktoba...
  11. Influenza

    Mgomo wa Wahudumu wa Ndege: Shirika la Ndege la Ujerumani la Lufthansa lafuta safari za ndege 1,300

    Shirika la Ndege la Ujerumani Lufthansa limefuta karibu safari 1,300 hapo kesho na Ijumaa kwa sababu ya mgomo uliopangwa na chama kinachowawakilisha wahudumu wa ndege nchini Ujerumani. Chama cha UFO kimewataka wanachama wake kuanza mgomo wa saa 48 kuanzia leo usiku wa manane. Ni sehemu ya...
  12. tutafikatu

    Watanzania wanaosafirisha mizigo toka Ujerumani

    Ndugu yangu anauliza kama kuna watanzania au wana East Africa ambao wanasafirisha mizigo toka Germany hadi Arusha, Tanzania. Anataka kusafirisha rims ambazo kwa usafiri wa kampuni kama DHL au Fedex au EMS utagharimu sana. Msaada tutani.
  13. Lizaboni

    Kwa CHADEMA kuwa Rafiki na Chama cha Kikiristo cha UJERUMANI, Wanafuata Mrengo wa chama hicho?

    Wadau, Wakati wa Kampeni za uchaguzi nchini Ujerumani zikiwa zimepamba moto, tumeshuhudia muungano wa vyama kwa misingi ya itikadi za vyama hivyo. CDU cha Angel Merkel ambacho ni cha Kikristo, kinashirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa kikristo kikipambana na vyama vingine vya mrengo wa...
Back
Top Bottom