ujenzi

  1. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo awachana Mbinga Vijijini na kuwapongeza Mbinga Mji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amekerwa na utendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mbinga vijiji kwa kuchelewa kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya Mapera. Jafo ametoa siku 17 majengo yote ya kituo hicho yawe yamekamilika. Kituo hicho kilipokea fedha mwezi Mei 2019 na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Chato, Geita: Rais Magufuli afungua jengo la Mahakama ya Wilaya na kuweka jiwe la msingi jengo la Zimamoto

    leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita. Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi. Prof. Ibrahim Juma...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CCM yakutana Mwanza: Yampongeza Rais Magufuli, Walio hama vyama vya Upinzani waongeza Ruzuku ya chama hadi Bil 13

    Kamati kuu ya CCM imekutana jijini Mwanza na kuongozwa na Mwenyekiti wake Dr Magufuli. Kamati kuu imempongeza Rais Magufuli na serikali yake kwa ujenzi wa miradi mikubwa inayoendelea nchini. Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kwa sasa hakuna kikwazo chochote kinachoweza kupunguza kasi ya...
  4. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Uwekaji Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Sherehe zinazofanyika Katika Bandari ya Igogo Jijini Mwanza.
  5. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri wakati wa hafla jiwe la msingi ujenzi wa meli mpya, chelezo na ukarabati wa meli Ziwa Victoria za Mv Victoria na Mv Butiama

    WATU na taasisi wameguswa na uamuzi wa serikali kujenga daraja la aina yake la Kigongo-Busisi wilaya Misungwi kwa kumhakikishia Rais John Magufuli kuwa naye bega kwa bega wakimsihi aendelee kuchapa kazi bila kujali kelele. Aidha, daraja hilo refu kuliko yote katika Afrika Mashariki na la sita...
  6. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Upembuzi yakinifu ujenzi wa reli ya kuunganisha Tanzania na Rwanda wakamilika

    Tanzania na Rwanda zinakamilisha mchakato wa ujenzi wa reli itakayounganisha mataifa hayo mawili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Hayo yamesemwa Jana Jumatano November 27, 2019 na Rais Magufuli wakati akizungumza na wananchi wa Isaka Mkoani Shinyanga. “Nimeshazungumza na Rais Kagame...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Magufuli aagiza wananchi walipwe bilioni 3.4

    Rais John Magufuli ameliagiza Jiji la Dodoma kuanzia Desemba mosi mwaka huu lianze kulipa fidia kwa wananchi wa Kikombo Dodoma ambao maeneo yao yamechukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi Tanzania. Ametoa agizo hilo leo muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo na...
  8. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa agizo kuhusu ujenzi wa Hospitali Chamwino

    Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuharakisha ujenzi wa hospitali ya Wilaya Chamwino mkoani Dodoma na kukosoa ushauri uliotolewa na Wakala wa Majengo nchini (TBA). Ametoa kauli hiyo leo baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo...
  9. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Ujenzi barabara Kimara hadi Kibaha wafikia 52%

    UJENZI wa upanuzi wa barabara ya Morogoro kwa njia nane kuanzia Kimara hadi Kibaha, umeelezwa kuwa unaendelea kwa kasi na mpaka sasa umefi kia asilimia 52.85 ya ujenzi. Kwa upande wa muda uliotumika kutekeleza mradi huo unaotarajiwa kukamilika Januari 20, 2021 ni asilimia 51.04. Meneja wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Serikali inastahili pongezi kwa kufanikisha ujenzi wa jengo la kisasa la ofisi za makao makuu ya BAKWATA

    Wakati akitolea ufafanuzi wa miradi mbalimbali iliyotekelezwa na serikali ya CCM ndani ya miaka minne RC Makonda amelielezea pia jengo la makao makuu ya Bakwata. Mh Makonda amelielezea jinsi jengo hilo litakavyokuwa la kisasa kabisa na namna alivyopendekeza ofisi ya mufti iweje. Kwa...
  11. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Ujenzi meli ya kisasa Ziwa Victoria wafikia asilimia 35

    UJENZI wa meli mpya ya kisasa Ziwa Victoria umefikia asilimia 35, ambao unatarajia kugharimu Sh. bilioni 86 hadi kukamilika kwake. Hayo yameelezwa juzi jijini Mwanza na Kaimu Mhandisi Mkuu wa Kampuni ya Huduma za Meli (Mscl) Mwanza, Abel Gwanafyo, kwa niaba ya ofisa mtendaji mkuu wa huduma hizo...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Makonda atembelea mradi wa ujenzi wa njia nane kutoka Morocco hadi Mwenge

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa barabara nne mpya kutoka Morocco hadi Mwenge ambapo kukamilika kwa njia hizo kutafanya idadi ya barabara kufikia nane jambo linalotarajiwa kupunguza na ikiwezekana kumaliza tatizo la foleni kwenye...
  13. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa Meli mpya na Chelezo washika kasi

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi alitembelea mradi wa ujenzi wa meli ya kisasa ambayo ni meli kubwa kuliko zote katika Ukanda wa Afrika Mashariki pamoja na ujenzi wa chelezo kwa ajili ya matengenezo na marekebisho ya meli mbalimbali ikiwa...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania RC Makonda aagiza Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kutopewa mradi wowote ndani ya Dar

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amewapiga marufuku Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kuipa mradi wowote Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza ndani ya mkoa wa Dar RC Makonda ametoa maagizo hayo baada ya Kampuni hiyo kutumia miezi 12 kujenga Barabara ya Kilometa 3.2 ya Kitunda-Kivule ya kiwango cha...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya ujenzi

    We are registered company deals with; House plan design and certify, Site consultation and supervision, Design and Installation of building services (water supply and waste water system, AC, CCTV, smoke detectors etc) Environmental impact assessment and Audit. For any clarification or further...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo ampa siku 14 DC wa Iringa Mjini kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Wilaya

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesikitishwa na viongozi wa mkoa wa Iringa kushindwa kujenga hospitali ya wilaya kwa wakati. Mh Jaffo amempa siku 14 mkuu wa wilaya ya Iringa mh Kasesela awe amekamilisha ujenzi huo kwa 100% vinginevyo wasilaumiane. DC Kasesela ameahidi kukamilisha ujenzi huo ndani...
  17. Nendubotho Sunguya

    JamiiForums Tanzania Kuchangia kwa hiari ujenzi barabara ya Msongola jimbo la Ukonga

    Habari wanajukwaa. Kwa dhati ya moyo wangu ninalileta jambo hili mikononi mwenu nikiamini linawezekana. Kama unatokea Mbagala kuna kipande kutokea Mbande mpaka Msongola (kilimo) ambacho sio kwamba tu hakina lami bali ni mashimo na makorongo yasiyohimilika kabisa. Kero hiyo ya barabara...
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu TARURA na Wizara ya Ujenzi

    Habari ndugu wana jukwaa, Napenda kutoa ushauri kwa serikali iangalie uwezekano wa kuihamishia Tarura chini ya wizara ya ujenzi na uchukuzi kutoka Tamisemi na kuondoa mambo ya mawasiliano kutoka wizara ya ujenzi kupeleka wizara ya habari Ili kuleta ufanisi masuala ya barabara yawe chini ya...
  19. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Pendekezo Chanya: Rais Magufuli aanzishe Mfuko wa Ujenzi Mpya na Maendeleo wa Taifa (MUMT)

    Mkazi wa Kijiji cha Nohli, Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma akihifadhi mazao juu ya paa la nyumba kama alivyokutwa kijijini. PICHA: IBRAHIM JOSEPH (Nipashe) Na. M. M. Mwanakijiji Tumekuwa tukiona mara kwa mara Rais John Magufuli akiagiza utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Na tumeona...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza ujenzi a garden / bustani kubwa viwanja vya Jangwani

    Painuliwe juu vizuri, pawekwe level, pachimbwe mitaro mipana iliyoenda chini vya kutosha na ijengewe vizuri (water drainage canals). Padizainiwe garden moja kali sana, yawekwe mabenchi ya zege mazuri kabisa, watu wawe wanapunga upepo na kufanya picnic. ______________________________...
Back
Top Bottom