ujenzi

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CCM,Mrisho Gambo aanza kazi kwa kishindo kwa kununua nondo zenye thamani ya milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa sekondari

    Mrisho Gambo amekabidhi Nondo hizo zitakazotumika kujenga Sekondari ya Ghorofa maeneo ya Unga Limitedi Jijini Arusha Tuliahidi Tunatekeleza
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA Makambako waanza ujenzi wa ofisi ya Jimbo

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka huko Makambako, hii ni baada ya shughuli za kilichoitwa Uchaguzi mkuu kumalizika, ambapo wanachama na viongozi wa CHADEMA wa Jimbo hilo wameanza rasmi kuimarisha chama chao.
  3. JamiiForums Tanzania Uchimbaji na ujenzi wa shimo la choo la kisasa kwa bei rafiki

    Hello, Watanzania habari? BYRA TOILET CONSTRUCTORS Tunachimba na kujenga shimo la choo kwa mfumo wa kisasa usiojaa maji taka wala kutoa harufu kwa mda mrefu sana..kwa gharama zifuatazo: 1,200,000/= kwa mkoa wa Daresalaam 1,500,000/= kwa mikoa mingine Note: KWA BEI HIYO KILA KITU NI JUU YETU...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  5. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, nataka nianze ujenzi

    Wakuu heshima kwenu! Ninakiwanja mkoa wa pwani maeneo karibu na halimashauri, ukubwa wa kiwanja no sq 600, sasa usawa wa magu ni mgumu,ila kujenga kunahitajika......nimeenda kuuliza wadau maeneo hayo wakanipa point zifuatazo Mchanga unaweza kuchukua kwa Bibi Fulani kwa gharama 15000, kwa ndoo...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Majaliwa Kasimu: Tutaanza ujenzi wa SGR nyingine Mtwara

    Akizungumza Jana mjini Mtwara bwana majaliwa amedai kuwa "uchambuzi wa kimazingira umekamilika na punde tukiingia madarakani tutaanza ujenzi wa reli mpya toka bandari ya Mtwara hadi liganga na mchuchuma zaidi ya umbali wa 1000km" Chanzo China Radio international kiswahili (CRI kiswahili)...
  7. JamiiForums Tanzania Fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba nipo hapa

    Mimi ni fundi mahiri wa ujenzi. Nifundi mzoefu na mbobezi kwenye kujenga:- Nyumba za makazi (single storey na double storey house) Nyumba za biashara Ujenzi wa mabwawa na Mfumo wa kisasa wa maji taka ambao haujazi shimo uchafu PIA Nafanya renovation ya kubadili nyumba...
  8. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kufa kwa Sekta Binafsi na Makampuni ya Ujenzi ya ndani ndio kunanifanya nimpe kura Lissu

    Mpaka 2015 private sectors zilikuwa zinashamiri. Jakaya aliacha mazingira mazuri na bora kabisa kwa sekta binafsi kukua na kuboreka. Ila tokea 2016 makampuni ambayo idadi yake haijulikani yamefungwa katika nchi hii, na bado yanaendelea kufungwa. Vijana lukuki wamepoteza ajira katika makampuni...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sera ya ujenzi wa shule kwenye Ilani za Vyama vya Siasa ikoje?

    Shule za mkoloni zinaonesha kuchoka na kulegea. Watoto wa kusoma wanaongezeka kila mwaka shule haziongezeki. Kanda ya ziwa hakuna chuo kikuu cha serikali ni vijitawi tu. Jana nilimuona mgombea anasema ataongeza madarasa matatu kweye shule yenye madarasa 10 na wanafunzi 3300+ nikapenda kujua...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Daraja La Muda Kwa Ajili Ya Kupitishia Vifaa Mbalimbali Vya Ujenzi Wa Daraja La Kudumu La Kigongo - Busisi

    Ujenzi huu ni maalumu na wa kimkakati ili kurahisisha Ujenzi wa Daraja la Kudumu la Kigongo - Busisi lenye urefu wa Kilometa 3.2 Matumî sahihi ya Rasilimali huleta Matokeo Mazuri Kwetu Sote
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ujenzi kwenye kiwanja chenye sqm 473

    Habari za wakati huu wadau, natumaini mpo salama. Naomba kufahamu kwa ukubwa wa kiwanja che nye sqm 473 ninaweza kuje nga nyumba yenye vyumba vingapi na nafasi ikabakia ya kutosha. Ninataraji kuanza ujenzi siku za karibuni. natanguliza shukran zangu za dhati.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam, kazi Inaendelea kwa kasi kubwa

    Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu Huleta Matokeo Mazuri Kwetu Sote
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anakaguaje ujenzi, maendeleo na uhai wa chama usiku? Je, sheria inaruhusu?

    Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama Je, isingewezekana mkutano wa CHADEMA Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana? Majibu Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Waziri Magufuli alipotoa waraka wa mafanikio ya Rais Kikwete kwenye mambo ya ujenzi kuanzia mwaka 2005 hadi 2015

    Mwaka 2015 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi , ambaye leo ni Rais wa Tanzania ndugu Magufuli, alitoa waraka wa mafanikio ya ya serikali ya awamu ya Nne ya ndugu Jakaya Kikwete, katika mafanikio hayo aliorodhesha mamiradi mengi mengi tu yaliyofanywa na serikali ya Mzee Kikwete. Sasa najiuliza kama...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe akagua ujenzi wa Kituo cha Afya Maneromango

    Mh Jokate Amekagua Ujenzi Wa Kituo Cha Afya Cha Maneromango Wilayani Kisarawe. Matumizi sahihi ya Rasilimali zetu huleta Matokeo Mazuri kwetu Sote.
  16. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aridhishwa na Ujenzi wa Kivuko cha Mafia

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ameridhishwa na ujenzi wa kivuko cha Mafia ambacho kitatoa huduma za usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo kati ya Nyamisati na Mafia. Ujenzi wa kivuko hicho chenye urefu wa mita 36 na upana mita 12, umefikia asilimia 95 na kina uwezo wa kubeba abiria 200 na...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Wanyonge, bei ya vifaa vya ujenzi yapaa maradufu, kunani?

    Ewe Serikali ya wanyonge nini kinajiri huko kwenye viwanda vya vifaa vya ujenzi? mbona Bei inapaa sana na hatusikii tamko la serikali kuhusu kupaa huku kwa bei? Mathalani, kanda ya ziwa Cement ilikuwa inauzwa sh. 18500, baadae ikapaa hadi 19000, baada ya siku 5 ikapaa hadi 19500, baada ya siku...
  18. JamiiForums Tanzania Looking for Serious Investor kwenye kampuni ya ujenzi (Civil & Building Construction)

    Natafuta mtu mwenye interest ya kuingia kwenye construction industry. Kampuni ilipata usajili brela 2014, baada ya kuhangaika mwaka mzima 2015 kutafuta miradi hatimae mwaka 2016 kampuni ilianza kupata projects mbalimbali. Tumefanikiwa kupata projects za majengo, barabara, na maji. Projects...
  19. JamiiForums Tanzania Ujenzi holela majengo katikati ya Jiji la Mwanza vibali vyatolewa kwa Tsh. Milioni 50

    Ujenzi holela majengo katikati ya Jiji Mwanza vibali vyatolewa kwa Tsh. Milioni 50 Jiji la Mwanza chini ya Mkurugenzi wake, Kiomoni Kibamba limezidi kuchafuka na kukithiri kwa majengo yanayojengwa kiholela kutokana vibali vya ujenzi kutolewa kinyume na utaratibu. Jiji hilo kupitia Idara ya...
  20. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa msingi wa Mawe na msingi wa Tofali

    Wadau wa ujenzi napenda kujua kwanza kabisa gharama (affordability) na pili ubora (uimara) kati ya msingi wa mawe na tofali kama malighafi zote zinapatikana kwenye eneo la ujenzi. Msingi upi ni nafuu na bora kuliko mwingine?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…