ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Ubunifu waibeba Arumeru ujenzi wa madarasa

    Naibu waziri ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe David Lusinde (Mb) amesema kitendo cha ubunifu wa ujenzi wa shule tatu za mchepuo wa kingereza ambazo zitakuwa zinamilikiwa na Serikali kupitia Halmashauri ya Arusha Dc zitasaidia kuchochea kasi ya Ujenzi wa madarasa kutokana na mapato ya shule hizo kila...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini watu huzungusha mabati site wakati wa ujenzi?

    Hapo vip! Binafsi najua baadhi ya sababu za kuzungushia mabati katika saiti ya ujenzi ila ningependa kufahamu sababu zingine kutoka kwako?
  3. JamiiForums Tanzania Mtendaji wa Kijiji cha Hydom amshindilia makonde mwanakijiji. Asimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Taarifa zinaonesha kwamba Mh Mtendaji anaitwa Adella na ni Mtendaji wa kijiji cha Hydom kilichopo Mbulu , mkoani Manyara. Cha kushangaza ni kwamba Mwananchi aliyedundwa ndiye ameshtakiwa mahakamani kwa kumshambulia Mtendaji. Nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazalendo waliorekodi tukio hili la...
  4. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Shule ya sekondari ya Ihungo umegharamiwa na serikali ya Tanzania au UK?

    Nimesoma sehemu jana inasema kwamba shule ya Sekondari ya Ihungo imejengwa na serikali ya Tanzania baada ya kuharibiwa na earthquake. Lakini leo katika ufunguzi nimemwona kuna mzungu fulani nadhani ni balozi wa UK Tanzania akiwa kwenye msafara lakini kama anapotezewa vile. Hii imeni-prompt...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kamata kamata michango ya ujenzi wa shule Kagera

    Mabibi na mabwana hii imekaa je. Pana habari tokea pande za wilaya ya Ngara kuwa wanakamatwa watu hovyo kisa 10,000/= michango ya ujenzi wa shule hasa pande za kule Rusumo. Sheria zipi zinazohalalisha unyanyasaji huu? Au ni moja ya zile amsha amsha katika ziara ya lile jembe letu mkoani Kagera...
  6. JamiiForums Tanzania Engineer wa Ujenzi natafuta kazi

    Wakuu naleta kwenu maombi yangu ya kazi za ujenzi, nimesota mtaani miaka mitatu. Nimefanya vibarua vya kujitolea kwenye miradi ya kampuni ndogo sijafanikiwa kupata ajira. Naweza kusimamia Site iwr ya mradi wa Majengo, Barabara au Maji, naweza kufanya Design, naweza kutumia Software za...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yaanza mchakato wa ujenzi wa Mradi Mkubwa wa Umeme Mto Ruhudji Njombe

    Timu ya Watalaamu wa Serikali imefika na kufanya ukaguzi wa kwanza katika maporomoko ya mto Ruhudji katika kijiji cha Itipula mkoani Njombe ambao unatarajiwa kujengwa mradi mkubwa wa umeme utakaozalisha megawats 358 za umeme. Mradi huo ambao utajengwa katika kipindi cha miezi 36 unaotarajiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Balcony inachukua nafasi kubwa ya eneo, unaweza kujenga ghorofa bila balcony

    Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom. Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika kiwanja cha kawaida cha 1/4 eka unaweza kujenga hii nyumba na nyuma ukapata nafasi ya banda la kuku...
  9. JamiiForums Tanzania Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

    CHATO STADIUM KUJENGWA HIVI KARIBUNI‬ ‪Waziri Medard Kalemani amesema Serikali ipo mbioni kujenga Uwanja wa mpira wa Chato Stadium ambao amedai utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na hasa Watalii wanaotoka nje ya Tanzania --------- Serikali imetangaza kujenga uwanja mkubwa wa mpira...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania imelipa kampuni za China wastani wa $1B kwa mwaka kwa ujenzi pekee

    Kwa maelezo ya Raisi Magufuli mwenyewe Tanzania imelipa kampuzi za China $10B kwa miaka 10 iliyopita! hii ni wastani wa $1B kwa mwaka. Hii inashutusha kwa jinsi tunavyotoa wahandisi kwenye vyuo mpaka sasa bado kazi nyingi zinafanywa na makampuni ya China. Kazi nyingi kama za majengo, visima...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kuchangia Ujenzi wa madarasa ni maendeleo ya Vitu au Watu?

    Nauliza tu maana hapa Kihesa Iringa kuna watu wanasuasua kuchangia ujenzi wa madarasa kwa madai kuwa hiyo siyo sera ya chama chao. Binafsi nimeshachangia mifuko 10 ya cement. Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka. Maendeleo hayana vyama
  12. JamiiForums Tanzania Nimeanza kuichukia CCM rasmi baada ya Serikali kuanza kuwatia ndani ndugu zangu kisa hawana pesa ya kuchangia ujenzi wa shule

    Nimekerwa sana na watendaji wa Serikali huko Shinyanga hususani wilaya ya Kishapu kuanzisha michango mikubwa, ndani ya wiki mbili mkulima analazimishwa kutoa elfu 70. Mheshimiwa Rais hivi ni kweli hii ni agizo lako? Maana wanasema ni maagizo kutoka juu. Kama ndivyo ilivyo, Mimi kuanzia Leo...
  13. JamiiForums Tanzania Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja

    Miezi kadhaa nyuma niliomba ushari kuhusu ujenzi. Leo narudi tena kwenu. Wazoefu na wajuzi mnisaidie. Nitatumia tofali za kuchoma na ntajengea tope mpaka lenta ambapo ntamalizia kwa cement (ushauri wa fundi ni kwamba wakati wa upauaji tope halitahimili gonga gonga) Nimeanza na msingi na kesho...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya 300 walio nje ya nchi (diaspora) waungana na kuwekeza kwenye ujenzi wa majengo ya kifahari

    Yaani hii ni zaidi ya akili kubwa, hongereni sana ndugu zetu, tuijenge hii nchi yetu kwa pamoja maana ndio nyumbani kwetu, mkiwa huko mnafanya makubwa sana nyumbani. ======== A group of at least 300 Kenyans currently living in the United States of America has teamed up to embark on a...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

    TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA) Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
  16. JamiiForums Tanzania Sikubaliani kabisa na utaratibu wa Serikali kuwataka wananchi kuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa ilihali imetumia bilioni 700 kujenga daraja

    Huu ndiyo ukweli wangu. Binafsi naumia sana kuona mipango mhimu kama elimu inafanywa bila utaratibu. Majengo mengi yaliyojengwa na wananchi yapo chini ya kiwango na bado Serikali inaendelea na utaratibu huu wa hovyo. How can we be safe? Pesa za umma zitumike kwenye elimu, afya na ulinzi...
  17. JamiiForums Tanzania Katavi: Watumishi wa Serikali matatani kwa kulipana posho fedha kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mnyagala wilayani humo

    Watumishi katika Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, wameingia matatani baada ya kudaiwa kulipana posho Sh. milioni 16.177 ambazo ni kati ya Sh. milioni 200 zilizotolewa na Rais John Magufuli kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mnyagala wilayani humo. Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Juma Homera...
  18. JamiiForums Tanzania Kishapu michango ya ujenzi wa sekondari ukikosa unapigwa bangiri

    Jamani jamani jamani, msitufanye tuanze kumuelewa sasa mzee wa miga convection featuring na braza Amsterdam kuwa walikuwa sawa. Mkulima sasa hivi anapigania angalau alime ,leo hii unataka atoe elfu 70 ndani ya week mbili na bado anawanafunzi wanahtaji mahitaji ya shule kuanza muhula wa masomo...
  19. U

    JamiiForums Tanzania China yajitosa Ujenzi wa SGR ya Tanzania

    Imeripotiwa na gazeti la Mwananchi la leo, januari 6; Chato. Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya China, Wang Yi anatarajiwa kutua nchini Tanzania kesho Januari 7, ambapo pamoja na mambo mengine atashuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa awamu ya tano ya reli ya kisasa (SGR) inayotoka Mwanza...
  20. JamiiForums Tanzania Video: Kenya kuanza ujenzi wa daraja linaloelea baharini kuunganisha Mombasa na Likoni

    Nadhani hii idea inaweza kutumika hata pale ferry kuinganisha Dar na Kigamboni. Picha na video vina maelezo ya kina
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…