ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Sh Bilioni 1.4 zatolewa ujenzi wa Daraja la Tembela, Mbeya

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amesema serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa Daraja la Tembela ili kutatua changamoto ya miundombinu ya barabara na madaraja katika eneo hilo. Akikagua miundombinu ya barabara...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Chamwino msaidie Rais miradi ya ujenzi ya shule wilaya ya Chamwino

    Nianze kwa kumpongeza mama Samia kwa kuona mbali lakini aliona umuhimu wa kuipa kipaumbele elimu na afya hizo ndizo nguzo muhimu kwa ustawi wa maisha ya mwanadamu yeyote chini ya jua, lakini pia kimtazamo Rais angependa kuona kile alichokipanga kwa wananchi wake kinatimia na kuonekana machoni...
  3. JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei za vifaa vya ujenzi wapangaji mtarajie mabadiliko pia

    Unakuta mtu uko city centre kulingana na ubora wa nyumba yako anatokea mpangaji anakwambia sijui mbona kwa OMARY anapangisha chumba 50000 na vina umeme na maji wewe tu ndo unapangisha 60000. kwa OMARY kwenyewe ndo hapo👆 alafu uje kwa ABDALAH 👇utake kupanga kwa bei hiyohiyo,,,,,. kwa mfumuko...
  4. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Jinsi mwenye nyumba alivyoshughulikia Chanagamoto ya mpangaji wake ya uharibifu wa nyumba

    Mwezi wa disemba mwaka 2021 nyumba nilipokea simu kutoka kwa msimamizi wa nyumba ya kupangisha. Hitaji la msimamizi na mwenye nyumba huyu lilikuwa ni kujifunza mbinu bora za kupambana na wapangaji waharibifu. Aliendelea kutoa maelezo kuwa hajawahi kutana na changamoto ya kutolipwa kodi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Muonekano 'bab kubwa' wa barabara ya Jiji la Dodoma baada ya kukamilika

    Mwonekano wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilometa 112.3 ambayo Rais Samia Suluhu aliweka jiwe la msingi la ujenzi akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, jana Jumatano Februari 9, 2022. Katika ramani hiyo pia kuna eneo ambalo...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Kijaji, kweli huelewi sababu ya bei ya vifaa vya ujenzi kupanda?

    Serikali yaagiza hatua zichukuliwe wanaopandisha bei za bidhaa Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dk Ashatu Kachwamba Kijaji Serikali ya Tanzania imeziagiza mamlaka zote za udhibiti kuchukua hatua kali dhidi ya walimbikizaji na wauzaji kupitia mlango wa nyuma (black market)...
  7. JamiiForums Tanzania Niliyojifunza kutoka ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza

    Binafsi naamini sana kuwa na sehemu yako ya kuishi bila bugudha ya kodi wala maudhi ya wapangaji wengine. Mambo machacho kuhusu mimi 1. Niko under 30 2. Kipato changu ni kati ya 500k - 550 k kwa mwezi Baada ya kununua kiwanja، nilianza kununua maatofali kidogo kidogo. Mambo niliojifunza 1...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua sehemu yoyote penye ujenzi wa barabara kwa sasa anistue. Mimi sijaona tangu awamu ya 6 iingie madarakani

    Wakuu naona kama tumepigwa. Sijui pesa za serikali na mikopo zinaenda wapi. Mimi kama mtanzania wa kawaida najaribu kutupia jicho huku na kule kuona kama kuna chochote cha maana kinaendela hasa miundo mbinu ya barabara na ambayo ina faida kwa wanyonge. Sisi hatupandi ndege kama wao. Barabara...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea wilayani Songwe kwenye ujenzi wa madarasa kutokana na pesa za Covid. Ni hatari tupu pesa zimeliwa

    Kwa heshima na taadhima ujumbe huu mhe: Rais ukufikikie popote uliopo.Mhe Raisi umekuwa mstari mbele kuhakikisha Nchi yetu inakuwa salama na tunapata maendeleo katika nyanja mbalimbali. Na umefanya jitihada za dhati kuhakikisha Nchi yetu inasonga mbele.Lakini watendaji wako wanakuangusha...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Serikali kutafuta fedha za ujenzi wa barabara ya Chankere - Kagunga mkoani Kigoma yenye urefu wa Kilomita 45

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) ameahidi kuwa Serikali itatafuta fedha za utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Chankere – Kagunga mkoani Kigoma yenye urefu wa Kilomita 45 itakayojengwa kwa kiwango cha zege. Ahadi hiyo ameitoa Mkoani Kigoma wakati wa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ninasikitishwa sana kupanda kwa kasi ya ajabu bei ya vifaa vya ujenzi

    Tunakoelekea siyo kuzuri. Ninasikitishwa sana kupanda kwa kasi ya ajabu bei ya vifaa vya ujenzi. Pamoja na kupanda kwa mafuta haiwezekani bei ya vifaa kupanda kwa kasi vile. Nitoe tu mifano michache. (1) Sheet moja ya alluminium ilikuwa inauzwa hapa Mwanza kwa Tshs.160,000 jana nimeambiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wataalam wa ujenzi, mna maoni gani kwa huu ujenzi?

    Wataalam wa ujenzi, mna maoni gani kwa huu ujenzi? Najaribu kupiga mahesabu yangu ya uwiano hapa, naona yanagoma kubalansi...
  13. JamiiForums Tanzania Vibali vya ujenzi moja ya kichaka cha rushwa Serikali za Mitaa

    Serikali ebu ijaribu kuweka mfumo mwepesi wa kupata kibali cha ujenzi.urasimu ni mkubwa sana na utaratibu mgumu unachukua muda na inapelekaa watu wengi kumalizana na wajumbe tu kwa kutoa chochote na maisha yanaendelea. Yaani ili la vibali kwasasa ndio chanzo kikubwa. Cha Serikali za mitaa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Tanga: Waziri Ummy Mwalimu akagua ujenzi wa shule mpya ya sekondari iliyopo Saruji, Kata ya Maweni

    MHE UMMY MWALIMU AKAGUA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI ILIYOPO SARUJI, KATA YA MAWENI Awapongeza Mkuu wa Wilaya na Viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga kwa kazi nzuri Viongozi waomba iwe Shule ya Wasichana na iitwe Ummy Mwalimu Secondary School. Mbunge wa Tanga Mjini na Waziri wa Nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Kilio chetu wanageita kwa mama.veta ya geita mbona imetelekezwa ujenzi umesimama miaka mingi nini hatma

    Kilio chetu kwa serikali yetu sikivu yenye kupenda maendeleo hapa kwetu geita miaka kadhaa iliyopita kulikuwa kuna ujenzi tulioambiwa ni WA chuo cha veta ambao ulikuwa ukiendelea ulikuja kusimama mpk sasa ni muda sana majengo yanabaki magofu pesa za serikali zishatumika mpk pale ilipo fika...
  16. JamiiForums Tanzania Hizi ni nyumba unaweza kujenga kwa gharama nafuu zaidi mwaka 2022

    Habari wakuu, nimejaribu kuja na baadhi ya options za ramani za nyumba unazoweza kujenga kwa gharama nafuu. Kwanza tulewe kuwa Gharama ya ujenzi wa nyumba haitegemei sana idadi ya vyumba kama baadhi ya watu wanavyochukulia, bali hutegemea zaidi ukubwa (builtup area) na muundo wa jengo husika...
  17. JamiiForums Tanzania Je, hii ramani imekamilika?

    Habari nyingi wakuu.. Katika ujenzi ambao nataka nianze Inshaallah baada ya kumaliza mambo mengine sasa nimechorowe ramani hii hapa kutokana na nyumba yangu nataka iwe hivi. Hivyo basi wakuu humu kuna magwiji wa haya mambo ya ramani pamoja na ujenzi wake.Naomba kufahamu kutoka kwenu je hii...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Temeke kupewa shilingi bilioni 3.14 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa

    ASANTE MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA KURIDHIA WILAYA YA TEMEKE KUPATA SHILINGI BILIONI 3.14 KWA UJENZI WA MADARASA 157 KATIKA SHULE 25🇹🇿 Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Jokate Mwegelo leo tarehe 03 Januari, 2022 amefanya Uzinduzi wa makabidhiano ya vyumba vya madarasa vilivyogharimu...
  19. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Ujenzi daraja la Wami wafikia 70.4%. Kukamilika Novemba 2022

  20. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Reli ya SGR uishie Tabora

    Hela hatuna, tusikope sana ili kupunguza kutumia na madeni. Tabora ni karibu sana na Burundi, Rwanda, DRC, Mwanza na Uganda. Tujenge bandari kavu kuubwa pale Tabora ili watu wa Mwanza, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Kigoma wachukulie Tabora mizigo yao itakayoletwa na SGR hapo. Tukipata faida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…