Zitambue bidhaa za ujenzi zinazookoa gharama za ujenzi

Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Sep 18, 2017
610
733
1. "Abraar Hollow Blocks".

Abraar Education Centre licha ya kutoa mafunzo ya kuunda bidhaa za ujenzi pia ni waundaji wa bidhaa za ujenzi za kipekee zente ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu.

Leo tunaanza kuwaletea aina ya bidhaa zetu tunazounda. Licha ya kuziunda bidha hizi, pia tunafundisha namna ya kuziunda kwake, ujenzi wake wa aina tofauti na uliozoeleka. Mafunzo tunatoa kwenye kituo chetu kilichopo Misugusugu, Kibaha, Pwani.

IMG-20220718-WA0072.jpg

Hizo 👆🏾 zinaitwa Abraar hollow blocks.
 
Blocks hizi tunaziunda kwa ajili ya matumizi tofauti kwa ratios mbili kuu tofauti. Zipo za zege (concrete hollow blocks) ambazo tunaziunda kwa kutumia kwenye kujenga msingi, au kuta zenye uhitaji wa uimara zaidi kama vile kuta za kwenye ngazi au kuta za mzunguko wa nje wa nyumba.

Blocks hazipitishi maji na ni bora sana kujengea kuta muhimu, kama muonavyo picha hii hizi za chini.

1658374785529.png
 
Hollow blocks za 4" hutumika kukatia vyumba (partitions). Wengine wengi walioziona uimara wa hollow blocks zetu wanasema hata hizi za 4" tutajengea kuta za nje, sisi hatushauri hivyo, tunashauri za 4" zibaki kukatia vyumba kwa ndani tu.

Chini hapa tutawaletea picha za sehemu tulizokwisha zitumia kujengea, pia tutawaletea namna tofauti za matumizi yake kila tutapopata wasaa.
 
Niko na maswali yafuatayo je hizo tofali Kuna baadh unajengea msingi, nyingine Ni ukuta wa nje na nyingine ni kukatia vyumba ? i maana Zina ubora tofauti? Kingine Bei ya tofar za kawaida na hizo zenu ni tofaut? weka Bei na Cha tatu nahitaji kuona nyumba iliyojengwa na hizo tofar weka picha asante
 
Niko na maswali yafuatayo je hizo tofali Kuna baadh unajengea msingi, nyingine Ni ukuta wa nje na nyingine ni kukatia vyumba ? i maana Zina uboro tofauti? Kingine Bei ya tofar za kawaida na hizo zenu ni tofaut? weka Bei na Cha tatu nahitaji kuona nyumba iliyojengwa na hizo tofar weka picha asante
Ndio na Hapana.

Ndio, kwa sababu kuu mbili, sio sababu ya ubora.

Sababu ya kwanza ni size tofauti, sababu ya pili ni uzito tofauti. Ubora ni ule ule unaokubalika kwa standards za ujenzi bora.
 
1. "Abraar Hollow Blocks".

Abraar Education Centre licha ya kutoa mafunzo ya kuunda bidhaa za ujenzi pia ni waundaji wa bidhaa za ujenzi za kipekee zente ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu.

Leo tunaanza kuwaletea aina ya bidhaa zetu tunazounda. Licha ya kuziunda bidha hizi, pia tunafundisha namna ya kuziunda kwake, ujenzi wake wa aina tofauti na uliozoeleka. Mafunzo tunatoa kwenye kituo chetu kilichopo Misugusugu, Kibaha, Pwani.

View attachment 2298028

Hizo zinaitwa Abraar hollow blocks.
Niliwahi kuisikia " hizi tofari ni sound proof" je Kuna ukweli?
 
Mi naona upande wa hasara kama ifuatavyo!

1. Upatikanaji wake mgumu mambo ya kuweka oda wengi hatupendi usumbufu tunataka pap pap mzigo site

2. Zinahitaji fungu la mkupuo, kwa wajenzi wa kuunga unga kwa awamu sijui

3. Zinabagua mafundi, baadhi ya mafundi wa bei za kunjunga hawaziwezi hasa maungio joint

4. Mafundi umeme wakianza kutindua ukuta sijui kama unahimili nyundo za mafundi bomba plumbing

5. Kama italazimu mafundi umeme waingize bomba watumie matundu (hollow) zinawaongezea usumbufu hivyo ni aghali

6. Kulance ununue tofali za inje na zingine za ndani hili nalo linaongeza usumbufu

Nikichakata usumbufu, mafundi na aina ya bajeti zetu naona huku siyo chaguo sahihi labda tuwaachie matajili
 
Hiyo sementi kuziba uwazi inaongeza gharama maradufu.
Hahaha. Hiyo zege inatumika kwenye msingi tu. Inapunguza sana gharama ukilinganisha na msingi wote kuwa zege tupu. Unaokoa mpaka 40% kulinganisha na zege halilali.

Na ukishatoka juu ya ardhi kutokea kwenye msingi, zinajengwa bila kujaza zege ndani ya hayo matundu.
 
Mi naona upande wa hasara kama ifuatavyo!
1. Upatikanaji wake mgumu mambo ya kuweka oda wengi hatupendi usumbufu tunataka pap pap mzigo site
2. Zinahitaji fungu la mkupuo, kwa wajenzi wa kuunga unga kwa awamu sijui
3. Zinabagua mafundi, baadhi ya mafundi wa bei za kunjunga hawaziwezi hasa maungio joint
4. Mafundi umeme wakianza kutindua ukuta sijui kama unahimili nyundo za mafundi bomba plumbing
5. Kama italazimu mafundi umeme waingize bomba watumie matundu (hollow) zinawaongezea usumbufu hivyo ni aghali
6. Kulance ununue tofali za inje na zingine za ndani hili nalo linaongeza usumbufu

Nikichakata usumbufu, mafundi na aina ya bajeti zetu naona huku siyo chaguo sahihi labda tuwaachie matajili
Mengi ni fikra zako tu kakini sio uhalisia.

Bidhaa zipo na sio lazima uweke order. Tena tunapunguza gharama zako za usafiri tunakuja kuziunda hapo hapo site yako, ni mahesabu tu. Tunapiga hesabu ni upi unafuu kwa mteja, kusafirisha bidhaa mpaka alipo au kwenda kuziunda site yake. Machine zetu ni mobile.

"Hazihitaji fungu la mkupuo" kama unavyodhania. Huo nsingi, hapo juu kwenye picha unajionesha, unaweza kujenga kiasi cha tofari utakazo ukapumua. Sasa nambie msingi wa zege la kawaida unaweza kufanya hivyo?

Kuhusu mafundi, hakuna fundi ujenzi wa Tanzania nnaowafahamu mimi mpaka sasa alieshindwa kuzitumia. Labda hao wako "wa kuunga unga" sio mafundi ujenzi.

Kumbuka kuwa huu ni ujenzi wenye "Ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu". Kama hauelewi maana ya ujenzi bora na ufundi bora basi vifaa na ufundi wetu haukufai kabisa, kaa nao mbali.

Halafu kwa kukufahamisha tu, hicho ni kifaa kimoja tu katika ujenzi wetu, kua na subira, tumeanza na msingi, subiri uone tunavyopanda mpaka kukamilisha nyumba. Utajionea bidhaa zetu zinavyookoa gharama. Tunaokoa kati ya 40% mpaka 60% hadi tunapokamilisha nyumba kwa kiwango cha semi finishing. Gharama za finishing na furnishing zinategemea taste ya mwenye nyumba.
 
Mengi ni fikra zako tu kakini sio uhalisia.

Bidhaa zipo na sio lazima uweke order. Tena tunapunguza gharama zako za usafiri tunakuja kuziunda hapo hapo site yako, ni mahesabu tu. Tunapiga hesabu ni upi unafuu kwa mteja, kusafirisha bidhaa mpaka alipo au kwenda kuziunda site yake. Machine zetu ni mobile.

"Hazihitaji fungu la mkupuo" kama unavyodhania. Huo nsingi, hapo juu kwrmye picha unajionesha, unaweza kuunda kiadi cha tofari utakazo ukapumua. Sasa nambie msingi wa zege la kawaida unaweza kufanya hivyo?

Kihusu mafundi, hakuna fundi ujenzi wa Tanzania nnaowafahamu mimi mpaka sasa alieshindwa kuzitumia. Labda hao wako "wa kuunga unga".

Kumbuka kuwa huu ni ujenzi wenye "Ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu". Kama hauelewi maana ya ujenzi bora na ufundi bora basi vifaa na ufundi wetu haukufai kabisa, kaa nao mbali.

Halafu kwa kukufahamisha tu, hicho ni kifaa kimoja tu katika ujenzi wetu, subira, tumeanza na msingi, subiri uone tunavyopanda mpaka kukamilisha nyumba. Utajionea bidhaa zetu zinavyookoa gharama. Tunaokoa kati ya 40% mpwka 60% hadi tunapokamilisha structure.
Mbona kama unapaniki?

Niambie mafundi umeme na maji wakitindua ukuta ubora wa hizo tofali ukoje?

Weka gharama zake kwa kila tofali ni bei gani kuuzwa au kufyatulia site bei huwa tsh ngapi!

Mfuko mmoja makadirio zinatoka ngapi kwa resho Kali.

Ujenzi wa vipande kwenye maungio ukoje! Kwenye rinta hayo matundu mnayaziba na nini ili zege lisipitilize chini kwenye matundu ya tofali n.k

Hayo ndiyo yakuongea ili kuuza bidhaa yako
 
Mbona kama unapaniki? Niambie mafundi umeme na maji wakitindua ukuta ubora wa hizo tofali ukoje? Weka gharama zake kwa kila tofali ni bei gani kuuzwa au kufyatulia site bei huwa tsh ngapi!
Mfuko mmoja makadirio zinatoka ngapi kwa resho Kali ,
Ujenzi wa vipande kwenye maungio ukoje! Kwenye rinta hayo matundu mnayaziba na nini ili zege lisipitilize chini kwenye matundu ya tofali n.k

Hayo ndiyo yakuongea ili kuuza bidhaa yako
Abdul a :pa "paniki"? ! Unajidanganya, huyo mimi humuita "mtu wa ajabu", nimemsoma juu, kakupa darsa limekuingia vizuri sana, unaonesha wewe ndio umepaniki.
 
Mi naona upande wa hasara kama ifuatavyo!
1. Upatikanaji wake mgumu mambo ya kuweka oda wengi hatupendi usumbufu tunataka pap pap mzigo site
2. Zinahitaji fungu la mkupuo, kwa wajenzi wa kuunga unga kwa awamu sijui
3. Zinabagua mafundi, baadhi ya mafundi wa bei za kunjunga hawaziwezi hasa maungio joint
4. Mafundi umeme wakianza kutindua ukuta sijui kama unahimili nyundo za mafundi bomba plumbing
5. Kama italazimu mafundi umeme waingize bomba watumie matundu (hollow) zinawaongezea usumbufu hivyo ni aghali
6. Kulance ununue tofali za inje na zingine za ndani hili nalo linaongeza usumbufu

Nikichakata usumbufu, mafundi na aina ya bajeti zetu naona huku siyo chaguo sahihi labda tuwaachie matajili
7. Kuna sehemu za kuweka vipande, kwa aina hii ya tofari inakuwa ngumu kukata kipande
 
Back
Top Bottom