ujenzi

  1. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Ujenzi rahisi kwa kutumia interlock blocks, jenga popote, jenga sasa

    Interlock blocks au bricks ni aina ya tofali zinazofungamana kwenye ujenzi bila kutumia zege(motor) kuziunganisha,zinapigwa kwa saruji na udongo wenye mfinyazi kiasi. Tofali hizi zinatumia saruji kidogo sana(10%) tu ya udongo. Hizi tofali zipo miundo mingi sana lakini nitazungumzia aina ya...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa viwanda vya kubangua korosho na neema kwa Watanzania

    Serikali ya Tanzania imesema iko katika hatua za mwisho za majadiliano na Serikali ya Vietnam kujenga viwanda vitakavyobangua Korosho hapa nchini (Tanzania) ili kuiongezea thamani badala ya kuiuza ikiwa ghafi kama inavyofanyika kwa kiasi kikubwa hivi sasa. Taarifa kutoka Kituo cha uwekezaji...
  3. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yathibitisha rasmi kuiogopa Tanzania katika biashara. Yakataa kuidhinisha ujenzi wa kiwanda cha gesi cha Rostam

    Kenya has frozen plans by a Tanzanian billionaire to set up a gas plant and storage facilities at the Mombasa port, threatening a trade spat between the two neighbouring countries. The Energy regulator has declined to clear the application by Taifa Gas, which is owned by tycoon Rostam Aziz...
  4. Abdul Ghafur

    JamiiForums Tanzania Zitambue bidhaa za ujenzi zinazookoa gharama za ujenzi

    1. "Abraar Hollow Blocks". Abraar Education Centre licha ya kutoa mafunzo ya kuunda bidhaa za ujenzi pia ni waundaji wa bidhaa za ujenzi za kipekee zente ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu. Leo tunaanza kuwaletea aina ya bidhaa zetu tunazounda. Licha ya kuziunda bidha hizi, pia...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mhandisi II (civil daraja la pili) wizara ya ujenzi na uchukuzi ni shillingi ngapi kwa anae fahamu

    Kwa anaefahamu mshahara wa mhandisi II civil wizara ya ujenzi na uchukuzi anisaidie hapa. Nashukuru
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango azindua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo

    Alisema miaka ya nyuma baadhi ya maeneo nchini yalikuwa na 'mchwa' katika miradi ya umma, lakini serikali imejizatiti kudhibiti matukio hayo. Dk. Mpango alisema hayo jana wakati akiweka jiwe la msingi la Hospitali ya Wilaya ya Rombo na kuagiza ianze kazi Oktoba mosi, mwaka huu. "Ninaamini dawa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya gharama ya ujenzi wa nyumba

    Habari wana JF naomba kama kuna wataalam wanipe makadirio ya gharama ya kujenga boma la vumba vi 3 na sebule jiko stoo kwa Mwanza inaweza fika bei gani mpka hela ya fundi?
  8. dongbei

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu eneo la sqm 165 total cost kuweka pavings!

    Salaam wakuu, Kama heading inavyojieleza. Niende kwenye mada moja kwa moja. Ninahitaji kuweka pavings kwenye eneo lenye ukubwa wa square meter 165. Landscape generally ni flat. Wataalamu na hata wazoefu wa haya mambo naomba nisaidiwe kujua total cost average inaweza kuwa kiasi gani...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanaoharibu vyanzo vya maji na kusababisha uharibifu kwenye mfumo wa maji, kushughulikiwa

    KAMATI ZA ULINZI NA USALAMA DAR, PWANI ZASISITIZA ULINZI WA VYANZO VYA MAJI Na Crispin Gerald Kamati za Ulinzi na Usalama za Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani zimeonya vikali wananchi wanaoharibu vyanzo vya maji na kusababisha uharibifu kwenye mfumo wa maji. Akizungumza wakati wa ziara ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania RC Kafulila awanyoosha wachina wa CHICCO, ni wale waliotaka kutupiga TZS 15BL kwenye ujenzi wa barabara ya Mwigumbi-Maswa kilometa 57 kwa TZS 75BL

    Kampuni ya kichina ya CHICCO yatekeleza agizo la RC Kafulila, tayari imekamilisha marudio ya barabara yenye urefu wa kilometa 10 zenye thamani ya tzs15bl. == Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57, ilianza ujenzi tangu mwaka...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Martha Gwau ametembelea na kushiriki ujenzi wa Shule ya Wasichana Mkoa wa Singida ya Solya

    #KutokaManyoni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Martha Gwau ametembelea na kushiriki ujenzi wa Shule ya Wasichana Mkoa wa Singida ya Solya iliyopo Wilaya ya Manyoni. Akizungumza baada ya kushiriki ujenzi huo Mbunge wa Viti Maalum kwa niaba ya Wanawake Mkoa wa Singida ameishukuru...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Stergomena atembelea Mradi Ujenzi Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa eneo la Kikombo, wilaya ya Chamwino Dodoma, tarehe 12 Julai, 2022. Hii ni ziara ya pili kwa Waziri kutembelea mradi wa ujenzi. Lengo la ziara hiyo, ni kukagua...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mbweni inapendelewa ujenzi wa barabara, Mbezi kwa miaka nenda rudi barabara hazijengwi

    Majuzi nimepita Mbweni nikashangaa kabisa. Barabara nyingi zilizokuwa hazipitiki sasa ni lami tupu. Najua huu ni mkakati wa viongozi wengi kujipendelea maana wengi wamejenga huko. Nimepata tetesi kuwa hata kwa Katibu Mkuu Kiongozi, watu wameamriwa barabara iendayo kwake iwekwe lami. Tofauti...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tunauza Miti (mirunda) Kwa ajili ya ujenzi au matumizi mengine

    Tunauza miti (mirunda) Kwa ajili ya ujenzi wa magorofa , nyumba za kawaida au matumizi mengine tuna mirunda takribani 900 PCs bei yetu ni nafuu sana Mawasiliano. sangmelina85@gmail.com
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara Paul Koroso, aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”

    Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso kutokana na mgogoro ulioibuka katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe unaotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya Sh2.9 bilioni. Dk Mollel pia ameagiza Koroso...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashuhudia utiaji saini Ujenzi wa SGR kipande cha Nne (Tabora - Isaka 165km), aeleza kutoridhishwa na utendaji wa TPA

    AMOS MAKALLA – RC DAR ES SALAAM Mh. Rais SGR itategemea sana bandari. Nikushukuru sana kwa kutoa fedha bilioni 210 za kuboresha Bandari. - Bandari zimeboreka, mizigo kibao Fedha zile ulizozitoa zimeleta manufaa makubwa. Hapa Dar es Salaam wanasema Bandari sasa ni mgodi – yaani ni mgodi kama...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi CDF Mabeyo anaweka jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi Uwanja wa Gofu

  18. king kan

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Kutumia EPS na EPS Cement Sandwich Panels

    Wataalam wa Ujenzi naomba kujua utofauti wa EPS Panels na EPS Cement Sandwhich Pannels. EPS panels nimeona zimeanza kutumika kujengea Tanzania na kampuni ya Mega Panels Tanzania. Kati ya materials hizo mbili zipi bora kwa kujengea? Za kwanza ni EPS Pannels zikiwa kwenye ujenzi. Na hizi...
  19. Jitu la mtumba14

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba hii unachukua tofali kiasi gani?

    Habari wana JF, Naombeni msaada kwa anayejua maswala ya ujenzi nilkuwa nataman kujua nyumba ya aina hii inatakiwa iwe na tofali kuanzia ngapi? Msingi itakuwa ni tofali ngapi? Na kupandisha Ni tofali ngapi?
  20. L

    JamiiForums Tanzania China yarusha chombo cha anga za juu kumalizia ujenzi wa kituo cha anga za juu cha China

    China jana imerusha chombo cha anga za juu cha Shenzhou-14 kilichobeba wanaanga watatu watakaomalizia ujenzi wa kituo cha anga za juu cha China katika jukumu litakalochukua miezi sita. Wanaanga hao watashirikiana na timu iliyoko duniani kumaliza kuunga na ujenzi wa kituo cha anga za juu cha...
Back
Top Bottom