1. "Abraar Hollow Blocks".
Abraar Education Centre licha ya kutoa mafunzo ya kuunda bidhaa za ujenzi pia ni waundaji wa bidhaa za ujenzi za kipekee zente ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu.
Leo tunaanza kuwaletea aina ya bidhaa zetu tunazounda. Licha ya kuziunda bidha hizi, pia...
Alisema miaka ya nyuma baadhi ya maeneo nchini yalikuwa na 'mchwa' katika miradi ya umma, lakini serikali imejizatiti kudhibiti matukio hayo.
Dk. Mpango alisema hayo jana wakati akiweka jiwe la msingi la Hospitali ya Wilaya ya Rombo na kuagiza ianze kazi Oktoba mosi, mwaka huu.
"Ninaamini dawa...
Habari wana JF naomba kama kuna wataalam wanipe makadirio ya gharama ya kujenga boma la vumba vi 3 na sebule jiko stoo kwa Mwanza inaweza fika bei gani mpka hela ya fundi?
Salaam wakuu,
Kama heading inavyojieleza. Niende kwenye mada moja kwa moja.
Ninahitaji kuweka pavings kwenye eneo lenye ukubwa wa square meter 165.
Landscape generally ni flat.
Wataalamu na hata wazoefu wa haya mambo naomba nisaidiwe kujua total cost average inaweza kuwa kiasi gani...
KAMATI ZA ULINZI NA USALAMA DAR, PWANI ZASISITIZA ULINZI WA VYANZO VYA MAJI
Na Crispin Gerald
Kamati za Ulinzi na Usalama za Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani zimeonya vikali wananchi wanaoharibu vyanzo vya maji na kusababisha uharibifu kwenye mfumo wa maji.
Akizungumza wakati wa ziara ya...
Kampuni ya kichina ya CHICCO yatekeleza agizo la RC Kafulila, tayari imekamilisha marudio ya barabara yenye urefu wa kilometa 10 zenye thamani ya tzs15bl.
==
Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57, ilianza ujenzi tangu mwaka...
#KutokaManyoni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Martha Gwau ametembelea na kushiriki ujenzi wa Shule ya Wasichana Mkoa wa Singida ya Solya iliyopo Wilaya ya Manyoni.
Akizungumza baada ya kushiriki ujenzi huo Mbunge wa Viti Maalum kwa niaba ya Wanawake Mkoa wa Singida ameishukuru...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa eneo la Kikombo, wilaya ya Chamwino Dodoma, tarehe 12 Julai, 2022.
Hii ni ziara ya pili kwa Waziri kutembelea mradi wa ujenzi. Lengo la ziara hiyo, ni kukagua...
Majuzi nimepita Mbweni nikashangaa kabisa.
Barabara nyingi zilizokuwa hazipitiki sasa ni lami tupu.
Najua huu ni mkakati wa viongozi wengi kujipendelea maana wengi wamejenga huko.
Nimepata tetesi kuwa hata kwa Katibu Mkuu Kiongozi, watu wameamriwa barabara iendayo kwake iwekwe lami.
Tofauti...
Tunauza miti (mirunda) Kwa ajili ya ujenzi wa magorofa , nyumba za kawaida au matumizi mengine tuna mirunda takribani 900 PCs bei yetu ni nafuu sana
Mawasiliano. sangmelina85@gmail.com
Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso kutokana na mgogoro ulioibuka katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe unaotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya Sh2.9 bilioni.
Dk Mollel pia ameagiza Koroso...
AMOS MAKALLA – RC DAR ES SALAAM
Mh. Rais SGR itategemea sana bandari. Nikushukuru sana kwa kutoa fedha bilioni 210 za kuboresha Bandari.
- Bandari zimeboreka, mizigo kibao
Fedha zile ulizozitoa zimeleta manufaa makubwa. Hapa Dar es Salaam wanasema Bandari sasa ni mgodi – yaani ni mgodi kama...
Wataalam wa Ujenzi naomba kujua utofauti wa EPS Panels na EPS Cement Sandwhich Pannels. EPS panels nimeona zimeanza kutumika kujengea Tanzania na kampuni ya Mega Panels Tanzania.
Kati ya materials hizo mbili zipi bora kwa kujengea? Za kwanza ni EPS Pannels zikiwa kwenye ujenzi.
Na hizi...
Habari wana JF,
Naombeni msaada kwa anayejua maswala ya ujenzi nilkuwa nataman kujua nyumba ya aina hii inatakiwa iwe na tofali kuanzia ngapi?
Msingi itakuwa ni tofali ngapi?
Na kupandisha Ni tofali ngapi?
China jana imerusha chombo cha anga za juu cha Shenzhou-14 kilichobeba wanaanga watatu watakaomalizia ujenzi wa kituo cha anga za juu cha China katika jukumu litakalochukua miezi sita.
Wanaanga hao watashirikiana na timu iliyoko duniani kumaliza kuunga na ujenzi wa kituo cha anga za juu cha...
Hafla ya kukabidhi Kituo cha Kimataifa cha Mikutano kilichojengwa kwa ufadhili wa China imefanyika jana katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka..
Akizungumza kwenye hafla hiyo, Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amesema, tangu Zambia ipate uhuru, China imetoa misaada mingi katika juhudi za kuhimiza...
SHAKA AWASHA RASMI MTAMBO WA KUSAMBAZA MAJI PAMOJA NA KUSHIRIKI UJENZI WA SHULE MAALUM YA SEKONDARI YA WASICHANA .
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, leo amewasha mtambo wa maji na tone la kwanza la maji likatoka kwa wakazi wa eneo Mitwero mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.