ujenzi

  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano na ujenzi wa Airport Terminal Mwanza, Mkuu wa Mkoa afadhaishwa

    Kwa mtindo wa Force Account uliofanyika mahali pengi nchini, sasa upigaji mkubwa unadhihirika kwa hata viongozi wa Mikoakuchoshwa. Siyo rahisi kuyaficha hayo madudu yanayoanza kufichuka kutokana na eti "Kamati za Miradi". Airport ya Mwanza imejengwa kiholela chini ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa, na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Daraja la Berega wafikia asilimia 68 kukamilika

    UJENZI WA DARAJA LA BEREGA WAFIKIA ASILIMIA 68 KUKAMILIKA Na. Geofrey A. Kazaula, Morogoro. Ujenzi wa Daraja la Berega katika barabara ya Berega-Dumbalume Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro unaotekelezwa chini ya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umefikia asilimia...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ikungi na ujenzi wa vyumba vipya 29 vya madarasa

    Mkuu wa wilaya ya Ikungi Jerry C. Muro leo tarehe 14/12/2022 amefanya ziara ya ukaguzi na kupokea taarifa ya ujenzi wa vyumba vipya vya madarasa 29 katika shule 16 za majimbo ya Singida Mashariki na Singida Magharibi ujenzi ambao umegharimu shilingi milioni 580. Muro akiwa pamoja na Mhandisi wa...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Ujenzi CHADEMA: Jengo la chama Iringa, tunaomba michango yenu

    Yaani mjenge ofisi Iringa huku bado mmepanga Ufipa .👇
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa vyumba vya madarasa sekondari kwa fedha za mkopo ni matumizi mabaya ya fedha zetu

    Tatizo kubwa linalosumbua nchi yetu ni viongozi kuamini wanahakili nyingi kuliko wasio viongozi, awamu hii ya sita imekuwa ikipeleka fedha nyingi kwenye miradi ya shule sekondari bila kufanya tathmini kuwa je bado kuna uhitaji mkubwa wa vyumba hivyo? Mbaya zaidi fedha inayopelekea huko ni ya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Uboreshaji sekta ya elimu unaendelea

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inaendelea na lengo lake la kuimarisha sekta ya elimu ujenzi wa madarasa 8000 ya secondary unaendelea. Lengo la ujenzi wa madarasa haya ni ifikapo 2023 wanafunzi wote wa kidato cha kwanza waweze kuanza masomo kwa wakati mmoja bila kuwepo kwa...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi: Mabehewa yaliyokuja siyo ya SGR ni ya MGR

    Behewa ni 22 zilizokuja kwa reli ya Kati MGR na si miongoni mwa behewa za @SGR_tz. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.
  8. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mafundi wengi huikimbia miradi ya serikali ya ujenzi kutokana na mlolongo mrefu wa malipo!

    Wakuu Katika kipindi HIKI cha ujenzi wa madarasa nchini unaoendelea, nimefanya mazungumzo na mafundi wakuu na wakuu wa shule mbalimbali na kukutana na malalamiko kuhusu mlolongo mrefu sana wa upatikanaji wa fedha za malipo kwa mafundi wakuu na vibarua wao! "Unajuta day worker anaomba hela yake...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi una Wizara kubwa mno, sina hakika kama unaimudu

    Waziri wa Ujenzi una wizara kubwa mno, sina hakika kama unaimudu. Enzi hizo wizara hiyo ndiyo ilimtoa Hayati Magufuli mpaka kufikia kujulikana utendajikazi wake kwa Watanzania. Wizara yako inabeba ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji, usimamizi wa TEMESA, TBA, TAA, TANROADS, magari yote ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kinondoni hamtendi haki katika Ujenzi wa Stendi ya Mwenge, mnabomoa miundombinu mali ya Kanisa

    Katika Hali isiyo ya kawaida Manispaa ya Kinondoni imeonesha ubaguzi wa Hali ya juu, hii imetokea katika Mradi wa ujenzi wa Stand Mpya inayojengwa eneo la Mwenge Dar es Salaam, ambapo katika eneo hilo taasisi Mbili za kiislam na kikristo zinamiliki maeneo ya Ibada. Picha na video ni matukio ya...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jengo la TANESCO lilibomolewa kwa Siasa na siyo kupisha Ujenzi

    Wakuu, nimepita mara kadhaa pale kwenye jengo la TANESCO Ubungo Maji nikaishia kushangaa tu kwanini Mwendazake alikomaa sana lile jengo libomolewe na kile kilichoitwa kupisha ujenzi wa 'Flyover' iliyopewa jina la swahiba wake hayati 'Kijazio'. Kimsingi ukipita pale utaona ni kiasi gani motive...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Prof Makame Mbarawa hatoshi Ujenzi na Mawasiliano?

    Kwa Prof Mbarawa sasa majipu yanalipuka kila uchao ndani ya wizara yake. Tumeona ya Precision Bukoba, tumesikia ya ndege za Air Tanzania kuwa grounded. Huko SGR na matreni bado kizungumkuti, mapya si mapya(mi nafikiri mapya). Sasa nimeona clip hii ya ukakasi Airport entrance gates. Management...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mabati ya kampuni ya Taishan nani anayafahamu vizur?

    Wakuu Nina ka ujenzi kanaendelea nimefikia hatua ya kupaua nimeona hii kampuni imefungua ofisi hapa mwanza karibu na site yangu na bei zao sio mbaya wasiwasi wangu ni ubora je kuna mtu anauzoefu na Bidhaa hii?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Gharama Mbalimbali za Ujenzi

    Kwema Wakuu, Nataka nianze ujenzi, ila ujenzi wenyewe ni wa pole pole. Nimepanga nitenge walau 250,000/= monthly iingie kwenye ujenzi. Msingi nimeshaweka bado kunyanyua boma tu. Waiojenga msingi niliwatoa mikoani hivyo wako na bei reasonable ila kuwalaza gesti ilini cost. Nimepanga ninunue...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida itapitia maeneo gani?

    Nimemsikia Waziri Ujenzi, Profesa Mbarawa akisema kunaujenzi wa barabara inayounganisha mikoa mitatu ya Dodoma, Tanga na Singida. Hii barabara mpya itapitia maeneo gani au wilaya zipi ndani ya hiyo mikoa mitatu aliyoitaja? Mwenye uelewa tafafhali ninahisi Prof. ametupiga changa la macho. Au...
  16. tamsana

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya precision kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Air Bulletin Accident)

    Shujaa Majaliwa hatajwi kwenye report hiyo. Jisomee mwenyewe.
  17. Enkaly

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa stendi ya mwendokasi Gongo la Mboto

    Husika na mada tajwa hapo juu, Kimsingi eneo linalosemekana limeandaliwa kwa ajili ya stend ya mabasi ya mwendo kasi kwa maeneo ya gongolamboto, sidhani kama lipo mahali sahihi. Wahusika waliangalie hili jambo kwa umakini kusiwe na upigaji wa kipekee kwa maana kule Pugu stesheni , stend...
  18. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa kituo cha Afya Ikungi - Singida, Mashaka matupu mwaka unaisha ujenzi haueleweki

    IKUNGI-SINGIDA Na Gregory Jumbe Mahanju, Wakati Mama yetu anaendelea kujipambunua kutafuta pesa kwa wahisani ili kutekeleza ilani ya CCM, huko Wilaya ya Ikungi mkoani Singida katika kata za Ntuntu na Irisya tangu pesa zitolewe miradi ya ujenzi wa vituo vya afya katika kata hizo haijakamilika...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hongera Wizara ya Ujenzi! Sasa twende na reli za mijini kwa kutumia sekta binafsi

    Moja ya sababu zilizofanya Tanzania kuwa nyuma kimaendeleo ni suala la sera zetu kuegemea ujamaa yaani kila kitu kufanywa na serikali jambo ambalo limekuwa likifanya tuchelewe sana kupata maendeleo. Jitihada kadhaa zimekuwa zikifanywa kuondokana na haya ila bahati mbaya zimekuwa zikikosa...
  20. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara ya Njia 4 Kibaha -Morogoro kuanza

    Waziri wa Ujenzi Profesa Mbarawa ameyasema hayo akizungumza na wadau wa sekta ya usafirishaji jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo ni Kwambaza barbara hiyo itajengwa kwa utaratibu wa BOT yaani JENGA, ENDESHA, RUDISHA. Ujenzi huo utaanza APRILI 2023. Barabara hiyo ya...
Back
Top Bottom