Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso kutokana na mgogoro ulioibuka katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe unaotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya Sh2.9 bilioni.
Dk Mollel pia ameagiza Koroso...
AMOS MAKALLA – RC DAR ES SALAAM
Mh. Rais SGR itategemea sana bandari. Nikushukuru sana kwa kutoa fedha bilioni 210 za kuboresha Bandari.
- Bandari zimeboreka, mizigo kibao
Fedha zile ulizozitoa zimeleta manufaa makubwa. Hapa Dar es Salaam wanasema Bandari sasa ni mgodi – yaani ni mgodi kama...
Wataalam wa Ujenzi naomba kujua utofauti wa EPS Panels na EPS Cement Sandwhich Pannels. EPS panels nimeona zimeanza kutumika kujengea Tanzania na kampuni ya Mega Panels Tanzania.
Kati ya materials hizo mbili zipi bora kwa kujengea? Za kwanza ni EPS Pannels zikiwa kwenye ujenzi.
Na hizi...
Habari wana JF,
Naombeni msaada kwa anayejua maswala ya ujenzi nilkuwa nataman kujua nyumba ya aina hii inatakiwa iwe na tofali kuanzia ngapi?
Msingi itakuwa ni tofali ngapi?
Na kupandisha Ni tofali ngapi?
China jana imerusha chombo cha anga za juu cha Shenzhou-14 kilichobeba wanaanga watatu watakaomalizia ujenzi wa kituo cha anga za juu cha China katika jukumu litakalochukua miezi sita.
Wanaanga hao watashirikiana na timu iliyoko duniani kumaliza kuunga na ujenzi wa kituo cha anga za juu cha...
Hafla ya kukabidhi Kituo cha Kimataifa cha Mikutano kilichojengwa kwa ufadhili wa China imefanyika jana katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka..
Akizungumza kwenye hafla hiyo, Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amesema, tangu Zambia ipate uhuru, China imetoa misaada mingi katika juhudi za kuhimiza...
SHAKA AWASHA RASMI MTAMBO WA KUSAMBAZA MAJI PAMOJA NA KUSHIRIKI UJENZI WA SHULE MAALUM YA SEKONDARI YA WASICHANA .
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, leo amewasha mtambo wa maji na tone la kwanza la maji likatoka kwa wakazi wa eneo Mitwero mkoani...
Nikiwa na mamlaka ya kutoa tenda, sitatoa tenda ya ujenzi kwa niaba ya taifa kwa kampuni yoyote ya Kichina. Hata kama pesa zinatoka kwao, nitawaambia warudi nazo kwao.
Katika thread hii nitatoa mifano mingi sana ya ujenzi unaofanywa na Wachina ambao unahatarisha maisha ya watu; kwa bahati nzuri...
Kama barabara hizi hazitatumika kusafirisha mazao, mifugo na bidhaa kwenda na kutoka zinakopita zitatumiwa na wananchi kusafirisha vyuma vya madaraja na alama za barabarani vya barabara hizo vilivyokatwa na kung'olewa na wananchi kwenda kuuza na kujipatia fedha ya kujikimu.
Tunapomimina hela za...
Kutokana na uhuni unaofanywa na mafundi ujenzi, wizi na ubora wa chini wa kazi serikali ianze kutoa leseni kwa mafundi ili tuweze kuwa hold accountable pale wanapohalibu kazi kwa makusudi au kuhujumu project ya mtu wawe wanapigwa faini na leseni kufungiwa pia kuwe kuna records zao ili watu...
Mbunge wa Ukonga kupitia CCM, Jerry Silaa akilia baada ya kumaliza kuchangia mjadala wa kupitisha makadikio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Jijini Dodoma leo.
Silaa amemwaga machozi akieleza kuwa Kampuni ya Syno Hydro iliyopewa zabuni ya...
Huko Kanda Maalum ya Mkoa wa Mara, Mwalimu amefungwa kwa kula hela ya ujenzi wa madarasa ya shule yake.
Haya ndiyo matokeo ya sra zisizo na mashko katika ujenzi.
Badala ya fedha hizo kuonekana kama mtaji wa ujenzi, watu wanageuza kuwa fedha za kula.
Hili limetokea sehemu nyingi sana nchini...
Habari wakuu.
Hapa nimeleta mchanganuo wa KuJenga Apartment yenye nyumba Tano (mbili za vyumba viwili, sebule, jiko na Choo na Tatu za chumba kimoja, sebule, jiko na choo)
Tofali za msingi = 2856 (kwa kozi sita)
Tofali za Boma = 5015
Bati (za 0.9m X 3m) = 175 pc
Nime’attach picha yenye...
Moja kwa moja kwenye mada..
CAG abaini wizi na ufisadi kwenye mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi..
Wazalendo uchwara waje fasta maana 👇
===
Miaka miwili kabla ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi haujakamilika, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amegundua...
Katika pitapita zangu Mkoa wa Shinyanga nimefika kushuhudia mradi mkubwa wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga kwa ujumla mradi unaenda kwa kasi ingawa baada ya kufanya mahojiano na wakazi wa maeneo hayo ya mradi wamesema mradi ulikaa siku nyingi tangu serikali ya awamu ya nne ndiyo...
Kuna hii kampuni ya call centre na BPO inayojenga headquarters yake Kenya ndani ya Tatu city.
Ujenzi utakapokamilika, wataajiri Wakenya 4,000 kufanya kazi ya call centre na BPO.
Biashara hii ya BPO India na Phillipines ndio zimedominate.
=========
CCI Global, the largest international...