Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa, Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Bwawa la Julius Nyerere hadi Chalinze pamoja na ujenzi wa Kituo cha kupoza umeme cha Chalinze ambapo ujenzi wa njia ya...
Barabara tajwa hapo juu ujenzi wake ulianza mwaka jana. Ambacho kimefanyika mpaka sasa ni kwamba mkandarasani amesafisha kama KM 5 na ameiacha ameshaondoa vyombo vyake nasikia yuko Manyoni kujenga barabara nyingine.
Eneo lililosafishwa limeshaota majani, jamani Mbulu kunani? Hii barabara ni ile...
ZAYTUN SWAI AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO YA BWENI SHULE YA SEKONDARI YA MKONOO
Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Arusha Zaytun Swai, katika wiki ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa tarehe 08 Machi, 2023 alitembelea Shule ya Sekondari Mkonoo Kata ya Terat Arusha jiji na...
MDAU WA MAENDELEO ACHANGIA UJENZI WA MAABARA ZA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZA MUSOMA VIJIJINI
Leo, Jumatano, 8.3.2023, mmoja wa Wadau wa Maendeleo hapa nchini, NGUVU MOJA SECURITY SERVICES amechangia Tsh 3,520,000 (Tsh 3.52m) kwa ajili ya ujenzi wa MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI (physics, chemistry...
Mbunge wa Umoja wa Wazazi Taifa CCM - Mbeya Mhe. Bahati Keneth Ndingo kwa kushirikiana na Haji Manara ambaye alisoma Shule ya Wazazi Chimala Secondary iliyopo Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya pamoja na Wadau mbalimbali wa Mbarali Mkoani Mbeya wamefanikisha harambee ya ukarabati wa madarasa na...
Kuelekea maadhimisho ya Miaka Miwili ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wananchi katika kata za Ubungo, Tandale, Manzese, Kijitonyama, Sinza Ndugumbi, Mwananyamala na Makumbusho katika Halmashauri za Manispaa ya Ubungo na Kinondoni zinazopitiwa na...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Ghati Zephania Chomete ameendelea na ziara yake katika maeneo mbalimbali ya miradi ya kimakakati mkoani Mara huku akishiriki ziara ya Kamati ya Siasa Wilaya Tarime kuhusu Ukaguzi wa Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika maeneo mbalimbali ndani ya Jimbo la...
SWALI tajwa lahusika. Tupo hapa masaa machache RC anamaliza kukagua mradi wa MAJENGO usiku wa saa 2 kasoro usiku.
Je, kama zipo kasoro katika MIRADI hiyo au MAJENGO.
Je, zitabainika kweli au ndio utaratibu wa ilani na sera ya chama?
DKT. SAMIZI AENDELEA NA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA UJENZI WA VYOO, CHUMBA CHA KUJIFUNGULIA KINAMAMA N.K.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali Jimboni na kuchangia fedha ujenzi huku akisikiliza kero za...
DKT. SAMIZI AFANYA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 3 UJENZI WA NYUMBA YA MGANGA WA KITUO CHA AFYA.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amefanya ziara ya kusikiliza kero za wananchi kata ya Usagara Jimboni ambapo pamoja na mambo mengine ameweza...
JUHUDI ZA MBUNGE WA JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU ZAFANIKISHA UJENZI WA CHUO CHA VETA CHA KISASA CHA BILIONI 2.4 IKUNGI.
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe. Miraji Jumanne Mtaturu mnamo tarehe 22 Februari 2023 amefanya ziara yake ya Kukagua Mradi wa ujenzi wa Chuo cha...
Desemba 22,2022 Mhe. Rais Samia Suluhu alizindua zoezi la kuanza ujazwaji maji kweny Bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere. Hadi sasa mradi umebakiza asilimia 18 kukamilika huku ujazo wa maji ukiwa ni zaidi ya mita 133 kutoka usawa wa bahari.
Ujazo wa Bwawa la Nyerere lina ujazo wa lita...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa kibali cha Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Mtukula hadi Tanga lenye urefu wa km 1147.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), James A. Mwainyekule amesema EWURA imetoa kibali cha Ujenzi wa...
Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu.
Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka.
Pia soma
-...
MBUNGE MHE. NANCY NYALUSI AMETOA SHILINGI MILIONI 10 KUSAIDIA UJENZI WA WODI YA WANAWAKE ILALA SIMBA.
MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Nyalusi ametoa Shilingi Milioni 10 kwa uongozi wa kijiji cha Ilalasimba kilichopo katika kata ya Nzihi kwenye Halmashauri ya wilaya ya...
Habari ndugu zangu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza mm ni quantinty surveyor nimesomea chuo kikuu cha ardhi Dar es salaam hivyo bas napenda kutaarifu jamii kuwa nafanya kazi mabali mbali za kuushu ujenzi wa majengo kama vile
.ukadiliaji gharama za ujenzi mfano kama una raman yako...
Mara nyingi nchi za Magharibi zimekuwa zikitoa kauli ambazo haziendani na ukweli kuhusiana na ushirikiano na uhusiano kati ya China na nchi za Afrika. Nchi hizo zimekuwa zikidai kuwa, China inaibebesha Afrika mzigo mkubwa wa madeni, na hata kufikia kusema kuwa, China inaendeleza ukoloni mamboleo...
Maqam Ibrāhīm ni 'kikanyagio cha Nabii Ibrahim' ni jiwe dogo la mraba lililohusishwa na Ibrahim, Ismail (Ishmaeli) na ujenzi wao wa Al-Kaaba ambapo sasa ni Msikiti Mkuu wa Mecca katika eneo la Hejazi la Saudi Arabia. Chapa kwenye jiwe ilitoka kwenye miguu ya Ibrahimu.
Ilionekana pale Ibrahim...
Serikali jana ilisaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na kampuni ya Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kupokea na kuhifadhi mafuta ya petroli.
Mkataba huo ulitiwa saini na Wizara ya Nishati na wawakilishi wa Shirika la Emirates National Oil Company Group (ENOC) lenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.