Je;
1. Umejenga mfumo wa kizamani ila unataka kuubadili kuwa wa kisasa na wa kuvutia zaidi? (Mfano; Nyumba ya chini kuwa ghorofa, Nyumba za paa za kuonekana kuwa za kujificha)
2. Unataka kukarabati Jengo la zamani na kuifanya kuwa kama mpya?
3. Ulijengewa vibaya na unahitaji kurekebishiwa...
Ripoti ya CAG mwaka 2017- 2018 ilibaini kuwa TTCL ikiidai Wizara ya Ujenzi, Uchukuz na Mawasiliano rakribani Bilion 20.63 kama marejesho ya gharama za ujenzi wa mkongo wa Taifa.
2021 CAG Report inasema TTCL inadai Tsh Billion 21 ila haijui inaemdai! Imekuwaje tena hapa?
Wananchi na viongozi wao wa Wilaya ya Nyasa wameamua kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha ujenzi wa uwanja huo wa Michezo unakamilika kwa wakati.
Ukanda wa ziwa Nyasa umebarikiwa kuwa na vipaji vya kweli vya mpira lakini wanakosa daraja la kupitia kwa hoja ya kuendelezwa.
Nimesoma kwenye Ripoti ya Ukaguzi ya CAG Kichere.
EXTRACT YA RIPOTI INASEMA
"Kampuni ya Reli Tanzania (TRC) kama wakala wa utekelezaji wa mradi, iliingia makubaliano na mkandarasi mshauri kwa mkataba Na. PA/003/2013-13/C/15 kwa ajili ya upembuzi yakinifu na muundo wa awali wa ujenzi wa reli...
Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli
Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani
=========
Na Waandishi Wetu...
Wizara ya ujenzi inaweza kuandaa mkakati wa kuibua wakandarasi wadogo, hasa wanaomaliza vyuo na kuwa na uzoefu ambao wataona unafaa.
Wawatake kuunda kampuni, na wawape kipaumbele Cha tenda za ujenzi za kiwango fulani wakati wakikua kama kampuni. Kampuni hizo ziorodheshwe, na iwe sharti kuzipa...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo tarehe 07/04/2023 amemtuma Katibu wake Bi. Dorice Nsekela kumwakilisha kwenye msikiti wa Ijumaa na wa wilaya ya Kibondo ambapo alifanikisha kutoa ahadi aliyoahidi ya kuchangia seruji mifuko 50.
Pia, Mbunge wa Njombe...
MHE. SEIF GULAMALI: "MILIONI 225 KWA AJILI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU JIMBO LA MANONGA, TABORA
Mbunge wa Jimbo la Manonga, Mhe. Seif Khamis Gulamali amesema kuwa tayari wamepokea fedha Shilingi Milioni 225,000,000/= kutoka Serikali Kuu za Ujenzi wa Nyumba za Waalimu na kukamilisha...
Tunauza mbao za dawa na zisizo na dawa kwa bei rafiki kabisa mbao ndefu za dawa 2*4 ni shilingi 13,000 mbao za futi 12 za 2*4 ni shilingi 5000,2*2 za dawa ni 2800 ofisi zetu zipo mbezi mwisho karibuni sana
Kwema Wakuu,
Ujenzi umekua gharama sana sababu ya kuongezeka kwa bei za bidhaa kunakoendana na ongezeko la bidhaa zingine zisizo za ujenzi pia.
Kwa aliejenga miaka 10 nyuma gharama hizo hizo akitaka kujenga sasa kwa nyumba ya aina ile ile anaweza asifike hata 60% ya nyumba aliojenga mwanzo...
Habari jamani, naombeni kujua gharama au makadirio ya ujenzi chumba kimoya choo na kijiko cha mchongo.
Kiwanja nnacho kipo Kibaha, Pwani.
Maji yapo karibu.
Mfano wa ramani ni kama unavoiona hapo chini.
Kuna kipindi nyumbani tulikuwa tunajenga nyumba ya familia, Ikaanza kila tukinunua sementi unakuta mifuko inapungua, kumbe kibarua akichanganya mchanga na sementi, anapakia mchanganyiko kwenye mifuko anaifukia chini kisha usiku anaibeba anaenda kuwauzia watu.
Sasa siku moja wakati akiwa...
Wakati Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ukieleza sababu ya ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani kuchelewa, ujenzi huo unatarajiwa kukamilika Aprili 15 mwaka huu.
Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 19.2 unaofanywa na kampuni...
Nimemsikiliza waziri wa Ujenzi, Prof Mbarawa, juu ya mikataba ya Ujenzi juu ya aina ya mikataba ya ujenzi.
Alikuwa akiongea na ITV wakati wa ziara ya Kamati ya Miundombinu ya Bunge.
Ati kuna Fixed Price Contracts na Contracts zenye variations. Prof Mbarawa si mhandisi wa Ujenzi wala kisomo...
Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini umepokea Tsh 75,796,000 (Tsh 75.8m) na fedha zote hizo zimeelekezwa kwenye ujenzi na ukamilishaji wa Maabara za Masomo ya Sayansi (Fizikia, Kemia & Bailojia) kwenye Sekondari za Kata za Musoma Vijijini.
Lengo letu la sasa ni Musoma Vijijini kuwa na High Schools...
KAMATI YA MIUNDOMBINU YAHIMIZA NGUVU ZAIDI TAASISI YA TEKNOLOJIA YA UJENZI - ICoT
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiagiza Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, kuongeza nguvu kwenye Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT), kwa kuitengea fedha za kutosha ili iweze kujiendeleza kwa kuwa na...
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Profesa Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi Bilioni 266.7 kugharamia ujenzi wa mradi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko mkoani Lindi.
Profesa Shemdoe amesema bandari hiyo ya uvuvi ikikamilika itakuwa msaada...
Ni hivi, barabara zote za kuelekea barabara ya Morogoro zina marundo ya vifusi. Geti pekee kwa wakazi wenye magari la kuingia Magomeni Kota ni lile lililo mkabala na Turiani Sekondari. Kwa maelekezo ya TBA na walinzi wake, geti hilo sharti lifungwe saa 6 usiku.
Hawa ni watu na siyo mifugo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.