Gharama ya ujenzi

Mateja

Member
Mar 13, 2023
10
11
Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya vyumba vitatu master vyote, dinning kitchen store naweza kimlipaje fundi sijui kabisa wanavolipwa but sitak ule mfumo wa kumlipa kwa tofauli
 
Usimlipe kwa tofar mlipe kwa day yan unafanya hiv tafuta fund mtae ivana ndo awe kama msimamiz lakin na yy awe fund af ww ndo uwe kama umeshika hiyo tenda yan usjulikane kam ww ndi bos.

Af uyo fund unamlipa tofaut na mafund wengine ko unakuwa na mafund weng ata 6 na ko we unawalipa kwa siku na shart wakimbie ndo walipwe mf wakianza kupandsha tofar sku yakwanza wakikishe wafike kwa madirisha sku yapili wanaenda ad saiz ya lenta ..... Ko kwa siku chache unamaliza nyumba kwa bei chee

Kuliko kukabidh contractor sjui ya mil.3 bad ayaend lakin ukifanya hv unakimbiza nyumba tena saf
 
Unampoteza mwenzio huo mfumo Sio rafiki Kwa mtu anayetaka kaz Bora na iliyokidh viwango
 
Karibu mkuu tukufanyie kaz Bora na ya viwango call or Whatsapp 0757735884
Instagram highland _decor_solution
 
Tafuta fundi, mpe ramani aiangakie, kadiria gharama ya ujenzi wote unapotaka kuishia. Mafundi wake awalipe mwenyewe, muda wa kazi mpe estimate ili asishike tenda sehemu nyingine. Lakini kadiria bajeti yako isije material yakaisha na huna hela ya kufikia mlipokubaliana.
 
Ok nashukuru
 
Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya vyumba vitatu master vyote, dinning kitchen store naweza kimlipaje fundi sijui kabisa wanavolipwa but sitak ule mfumo wa kumlipa kwa tofauli
Mimi huwa fundi anaangalia ramani, ananiambia msingi hadi kufunga mkanda bei fulani, kusimamisha boma hadi kufumga linta na kozi tatu juu bei fulani. Matank ya maji taka bei fulani. Hivyo ndivyo nafanyaga
 
Skuizi Jf imekua na vijana wa hovyo sana...... tena nyoronyoro mnooo....
 
Mimi ni fundi anaangalia ramani, ananiambia msingi hadi kufunga mkanda bei fulani, kusimamisha boma hadi kufumga linta na kozi tatu juu bei fulani. Matank ya maji taka bei fulani. Hivyo ndivyo nafanyaga
Ok
 
Usimlipe kwa tofar mlipe kwa day yan unafanya hiv tafuta fund mtae ivana ndo awe kama msimamiz lakin na yy awe fund af ww ndo uwe kama umeshika hiyo tenda yan usjulikane kam ww ndi bos.

Af uyo fund unamlipa tofaut na mafund wengine ko unakuwa na mafund weng ata 6 na ko we unawalipa kwa siku na shart wakimbie ndo walipwe mf wakianza kupandsha tofar sku yakwanza wakikishe wafike kwa madirisha sku yapili wanaenda ad saiz ya lenta ..... Ko kwa siku chache unamaliza nyumba kwa bei chee

Kuliko kukabidh contractor sjui ya mil.3 bad ayaend lakin ukifanya hv unakimbiza nyumba tena saf
Acha ujinga
 
Ramani utasoma mwenyewe?.na kuseti itaseti mwenyewe?.

Utajenga banda la kuku baada ya kujenga nyumba
 
Usimlipe kwa tofar mlipe kwa day yan unafanya hiv tafuta fund mtae ivana ndo awe kama msimamiz lakin na yy awe fund af ww ndo uwe kama umeshika hiyo tenda yan usjulikane kam ww ndi bos.

Af uyo fund unamlipa tofaut na mafund wengine ko unakuwa na mafund weng ata 6 na ko we unawalipa kwa siku na shart wakimbie ndo walipwe mf wakianza kupandsha tofar sku yakwanza wakikishe wafike kwa madirisha sku yapili wanaenda ad saiz ya lenta ..... Ko kwa siku chache unamaliza nyumba kwa bei chee

Kuliko kukabidh contractor sjui ya mil.3 bad ayaend lakin ukifanya hv unakimbiza nyumba tena saf
Choko we
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom