ujasusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Israel yasema imemuua Waziri wa ujasusi wa Iran, Esmail Khatib

    Iran’s intelligence minister Esmail Khatib Israeli Defense Minister Israel Katz says Iran’s intelligence minister Esmaeil Khatib was eliminated in an overnight strike in Tehran. Katz warns of “significant surprises” expected today across multiple arenas, signaling further escalation against...
  2. R

    Raia wa Ufaransa ahukumiwa Azerbaijan miaka 10 jela kwa kosa la Ujasusi

    Mahakama nchini Azerbaijan Jumatatu imemhukumu raia wa Ufaransa, Martin Ryan, kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya ujasusi kwa niaba ya Paris, tuhuma ambazo alikiri kwa sehemu, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Urusi RIA Novosti. Mamlaka ya mji mkuu Baku...
  3. R

    Tujikumbushe Pegasus, programu ya udukuzi kutoka Israeli iliyodukua wakuu wa nchi na ilivyohusika na mauaji ya Jamal Kashoggi

    Fikiri mfano huu: umeshika simu yako, ghafla tu unasikia imeita, kabla hata hujapokea inakatwa. Unaachana nayo. Hujabonyeza chochote. Lakini!! Simu yako ndio imeshadukuliwa hivyo!! Meseji zako zote za kawaida na za whatsapp, zinasomwa. E-mails zako zote zinasomwa! Simu zako zote zinasikilizwa...
  4. Imefichuka kuwa Wafanyakazi wa Mossad walivamia mtandao wa kamera za trafiki za Tehran kwa miaka kadhaa

    Imefichuka kuwa Wafanyakazi wa Mossad walivamia mtandao wa kamera za trafiki za Tehran kwa miaka, wakifuatilia harakati za Ayatollah Ali Khamenei,walinzi wake, na maafisa wengine wakuu wa Iran kabla ya mauaji yake, kulingana na ripoti. Israel ilipata ufikiaji wa karibu kamera zote za jiji...
  5. Kumbe ilikuwa ni CIA waliofanya ujasusi dhidi ya Ayatollah na wenzake!

    https://youtu.be/OGPcWKBWiz0?si=LN83QgAZlt2Zufl6 Kama nilivyokuwa nahisi, kazi ya ujasusi dhidi ya Ayatollah ilifanywa na CIA ya USA. CIA kumbe walikuwa wanamfuatilia kwa kipindi kirefu tu ili kuijua mienendo yake. Na ni CIA hao hao ndo waliowapenyezea IDF taarifa za kwamba Bw. Ayatollah...
  6. Q

    Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza

    Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa...
  7. Ujasusi sebuleni kwetu: Itabaki kuwa thread yangu bora ya Wakati wote hapa JF

    Hii thread ililetwa humu miaka kadhaa nyuma na from nowhere kama coincidence nilikutana nayo. Hapo ndipo nilipo fall in love with jeiefu🤌🤌😎 Nadhani aliyeileta alikuwa anajiita bold. Sijui amepotelea wapi. Wewe thread yako Bora ya Wakati wote hapa jeiefu ni Gani?
  8. F

    Dhana kwamba jasusi lazima awe “mtu safi” ndiyo inaua ujasusi wa Afrika

    Nchi nyingi za Afrika zimejifunga kwenye dhana potofu kwamba ili mtu awe jasusi lazima awe na tabia njema, rekodi safi ya kisheria, asiwe na “makovu” ya maisha, na aonekane kama askari au mtumishi wa serikali wa mfano. Dhana hii si tu ya kizamani ni hatari kwa usalama wa taifa. Ujasusi si...
  9. Z

    Global Religous Scam: VATICAN VS MAKKA — kiwanda cha ujasusi na utapeli duniani

    Wakuu, leo nawapasulia jipu la mwisho. Kama unajua akili yako imeshikiliwa na itikadi, usisome. Hii ni kwa ajili ya binadamu wanaotumia UBONGO kudadisi "The Hidden Truth." 🧠🚫 📍 1. VATICAN: THE WORLD'S OLDEST INTELLIGENCE AGENCY 🇻atican 🕵️‍♂️ Wakatoliki mnadhani mnaongozwa na "Mtakatifu," kumbe...
  10. Ijue programu ya ujasusi PRISM na XKeyscore

    Program maalumu inayorekodi mazungumzo ya watu kwenye simu (yaani actual voice/content ya mazungumzo, sio tu metadata kama nani alipiga nani na muda gani) ni tofauti na PRISM na XKeyscore kulingana na maelezo yaliyotolewa na Edward Snowden na ripoti za baadaye. Hii hapa ufafanuzi rahisi na wa...
  11. Ujasusi: Herbert Curkus muuaji aliyeuliwa na kuhifadhiwa kwenye sanduku la kusafiria

    Kwenye kituo kimoja cha treni ndani mji wa Rotterdam, alionekana mwanaume mmoja akiwa amevalia miwani nyeusi ya jua huku amekamata begi aina ya briefcase mikononi mwake. Bwana huyu kama ungebahatika kumuona siku hii alikuwa ni jamaa fulani hivi mwenye umri wa makamo kama miaka 40 hivi ambaye...
  12. Mitandao ya kijamii na Hapa JF ndio tunawapa ujasusi wao wa kipuuzi kuna jambo tukiweka mjadala ndio tunawapa kujipanga

    Kuna mada kuhusu mipango mibovu ambayo CCM na serikali yake wovu naona ujifunza na kutafuta mbinu za kukabiliana nalo palo wanapojiona wametumia akili kubwa. Mfano hii picha Usije shangaa hata hizo nyumba zinazoangalia hiyo sehemu inawezekana zikabadilishwa au kubadilishwa ili wapoteze mada...
  13. Napendekeza Mange Kimambi awe Mkuu wa Idara ya Upelelezi na ujasusi wa Gen Z

    Habari. Napendekeza Mange Kimambi awe mkuu wa idara ya upelelezi na ujasusi wa Gen Z. Tukishamteua, naye atateua/atapndikiza agents katika idara nyeti kama jeshini, polisi, uhamiaji hadi ikulu ambao watakuwa wanampa habari. Pia, napendekeza au nasharu kuwe na viongozi wa Gen Z katika mikoa...
  14. Trump aendelea kuwatia nyavuni wakosoaji wake, John Bolton ashitakiwa kwa makosa ya ujasusi na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri

    Balozi John Bolton aliyekuwa mshauri wa masuala ya ulinzi wa Trump kabla ya kutofautiana pakubwa na kugeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Trump na utawala wake ameshitakiwa kwa makosa mazitio yanayohusu ujasusi dhidi ya nchi, umilikaji na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri za serikali.
  15. Ramaphosa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Ujasusi, Imtiaz Fazel, kwa madai ya kuingiliwa kisiasa na rushwa ndani ya Jeshi la Polisi

    Rais Cyril Ramaphosa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Ujasusi, Imtiaz Fazel, baada ya malalamiko kuwasilishwa dhidi yake. Katika taarifa iliyotolewa Jumatano jioni, msemaji wa Ikulu Vincent Magwenya alisema kuwa Fazel amesimamishwa kazi hadi uamuzi utakapofikiwa kuhusu uchunguzi wa...
  16. Edward Snowden sio mjinga kufahamu ujasusi mnajua taarifa za CCM zipo nchi zote wanaweza kutumia kuwa tumia wanavyotaka

    Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi. JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
  17. Umewahi kujiambia ‘sina cha kuficha hata wakiniibia sina cha kuogopa’?

    Tujifunze kuhusu Umuhimu wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi Kutoka kwa Historia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Ujerumani Wanaojua historia miongoni mwenu watakuwa wanajua kwamba baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Ujerumani iligawanywa katika maeneo manne ya uvamizi chini ya Allies na USSR, na...
  18. Israel vipaji maalum wanafanywa Watunga Sera na kuajiriwa Taasisi za Ujasusi. Sie kipaji maalum kiko Jela halafu tunalalamika

    Mwaka jana na mwaka huu dunia imejifunza uwepo wa kikosi maalum kwenye Taasisi za Intelejensia za Israel kinachoitwa Unit 8200. Umaarufu wa kikosi hiki haujaja kwa bahati mbaya bali ulianza kutikisa dunia baada ya shambulio la vifaa vya mawasiliano vya Kundi la Kigaidi za Hezbollah. Kikosi...
  19. Mwanajeshi wa Marekani ahukumiwa kwa kufanya ujasusi kwa ajili ya China

    Baharia wa Jeshi la Wanamaji la Marekani huko California amehukumiwa kwa kosa la ujasusi kwa kuuza siri za kikosi hicho kwa afisa wa China ambaye alimsajili kupitia mtandao ya kijamii. Jinchao Wei, 25, alipatikana na hatia ya mashtaka sita, ikiwa ni pamoja na ujasusi, njama ya kufanya ujasusi...
  20. Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka

    Usifute kichwa cha habari JF:Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka yani wewe ni Mr pimbi wa gazeti la sani. Ukisoma vitabu vyake unaweza kujua huyu jamaa ni jasusi hatari ila ukirudi nyuma ni mr pimbi wa gazeti la sani. Mimi naogopa sana watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…