Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,700
- 4,741
Kwenye ujasusi Mkuu wa operesheni ,kiongozi wa serikali akitaka
kujua kama Afisa usalama au jasusi anamletea taarifa za uongo au za ukweli unatumia mbinu hii.
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
**Unatuma maofisa wa usalama au majasusi tofauti kama 5 bila wao wenyewe kujuana ili kuchunguza taarifa Moja inayofanana π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£.
**Kitendo hiki kinaitwa Cross-checking au independent corroboration.
**Misingi ya mbinu hii ya maofisa Kutofahamiana au kujuana
kama kuna mtu mwingine anayefanya kazi ambayo wamepewa lengo ni kuzuia kupikwa taarifa kwa pamoja,Hii njia inaitwa #compartmentalization
**Pia njia hii inasaidia Kupima Ukweli (Collusion Prevention), maana inazuia mawakala kula njama au kupotosha ukweli kwa pamoja.
**Mkuu operesheni hulinganisha taarifa kutoka Kwa mawakala wote ambapo Taarifa ikifanikiwa kufanana au kuendana kutoka vyanzo visivyowasiliana au kufamiana huaminika kuwa ya ukweli.njia hiii inaitwa #corroboration
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Njia hii unaweza kutumika kwenye maisha yetu ya kawaida mfano
*Unataka taarifa za masoko juu biashara unayofanya kutoka eneo fulani unaweza kutumia watu 6 tofauti ambao hawafamiani na hawajuani kukupatia taarifa then utalinganisha hizo kama Zina ukweli.
*Pia njia hii unaweza kutumika kupata taarifa za mtu unayetaka kumuoa unatumia watu 5 ambayo hawafamiani na Kufatilia huyo mtu ili waweze kukuletea taarifa ambapo utalinganisha hizo taarifa na kufanya maamuzi ..