TBS wamesema magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania.
Hivyo TBS wamewapa tenda Quality’s Inspection Service Japan(QISJ) kukagua magari yanayotoka Muungano Wa Falme Za Kiarabu(UAE) na EAA Company...
Baada ya kuwepo kwa maneno mengi ya utani na mengine ‘serious’ kuhusu ahadi aliyoitoa kwa kwa baadhi ya wanakazi wa Kawe (Dar es Salaam) kuwa atawapeleka Jijini Birmingham Nchini England, hatimaye akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima...
https://apnews.com/article/middle-east-africa-china-hong-kong-e01b827fd55dd5fba9d13f5e5baabade
Ni nchi za Africa tu ndiyo tuna sign MOU za ajabu . DP world ipo Uingereza watuonyeshe MOU yao.
Wenzetu wa African wapo kwenye makesi
DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni...
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata...
Serikali imesema nchi tano zikiwamo China, Marekani na Uingereza zimeonyesha nia ya kuwekeza kwenye ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) ushoroba wa Mtwara kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP).
Nipashe
Nyota ya Mtanzania, Gibson Kawago imeendelea kung’ara baada ya kutajwa katika kinyang’anyiro cha kuwania tuzo ya ubunifu katika uhandisi Afrika inayoratibiwa na Chuo cha Uhandisi cha Uingereza - Royal Academy of Engineering.
Wabunifu watatu wengine wanatoka Nigeria, Afrika Kusini na Uganda...
Mwendeshaji huyo mkuu wa Feri za nchini Uingereza, aliwafuta kazi wafanyakazi 800 katika Meli zote baada ya kusimamisha safari zake zote. Vyama vya wafanyakazi viliitosha mgomo na maandamano na kuitaka serikali kusitisha kile ilichokiita "usaliti wa kashfa", huku P&O ikipanga kutumia wafanyikazi...
Kampuni ya DP World, ilikabiliwa na tuhuma za kukwepa kodi kutokana na upunguzaji wa thamani wa pauni milioni 80 (244,497,600,000TZS) kwa ardhi iliyo nunuliwa kwa ajili ya bandari kubwa kwenye Mto Thames huko Uingereza. Eneo hilo, linalojulikana kama London Gateway, lilinunuliwa kutoka kwa...
Tumesikia ishu ya bandari kuuziwa mwarabu, mradi wa LNG nao mkataba wake haueleweki wa namna Tanzania itakavyonufaika, barabara ya kibaha moro dodoma kuendeshwa na mwekezaji na kulipiwa tozo kila ukipita, madudu yote yanaendelea lakini Zitto, MBowe na Lissu wako kimya kupaza sauti kuhusu ishu...
Hapo jana jioni makachero wa Mashujaa FC wamebaini mauzauza waliyofanya timu ya Pamba FC kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza kwa kuchimba sehemu za uwanja na kufukia Ndumba.
Maeneo ambayo wamechimba ni kwenye sehemu za kupigia penat kwa magoli yote mawili na upande mmoja ndani ya 18 na...
Pelly Ruddock Mpanzu (amezaliwa 22 Machi 1994) ni mwanasoka wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo Katika klabu ya Luton Town Ambayo Imefanikiwa Kupanda Ligi Kuu ya Uingereza Msimu ujao.
Pelly Alizaliwa Nchini Uingereza ila aliamua kuwakilisha Taifa la Wazazi wake DRC na Anacheza Katika timu...
View Vacancy - Chef (08/23 DAR)
The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all backgrounds. We do not...
Msichana wa Kitanzania, Zamana kutoka kijiji cha Irente Juu, Kata ya Magamba, Wilaya ya Lushoto ameshinda tuzo ya Mfalme Charles III wa Uingereza ijulikanayo kama Prince’s Trust. Tuzo hii ilianzishwa mwaka 2015 na Mfalme Charles III, wakati huo akiwa bado ni mwana wa Mfalme (Prince of Wales)...
Waziri wa Biashara wa Uingereza Dominic Johnson hivi karibuni alifanya ziara mjini Hong Kong, China, akiwa na lengo la “kuihimiza Uingereza kupata uwekezaji na biashara zaidi”. Hata hivyo, bado hakuacha kufuatilia mambo ya ndani ya Hong Kong, na kudhihirisha kuwa ni vigumu kwa Uingereza kuacha...
Kampuni ya Vodafone imetangaza mpango wa kupunguza nafasi 11,000 za kazi katika ofisi zake tofauti duniani kama moja ya juhudi za kurejesha utendaji wake kifedha kwenye hali nzuri. Hatua hii imechukuliwa baada ya kampuni hiyo kukabiliwa na changamoto za ushindani katika sekta ya mawasiliano...
Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Serikali ya Uingereza katika sekta za biashara pamoja na uwekezaji.
Dhamira hiyo imeelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) aliposhiriki hafla maalum ya kutawazwa...
Waziri wa Ulinzi wa Urusi kasema kitendo cha Uingereza kupeleka makombora yake yenye uwezo wa kupiga umbali wa kilomita 250, ni kitendo kikubwa cha kichokozi na kinaweza kuchochea vita hiyo kusambaa.
Urusi imetishia kutumia kila njia kuzima jaribio lolote la kutumiwa makombora hayo yakiwa...
Tangu vita baina ya majirani hawa walili ianze imenifanye niwaze nikwanini Uingereza amekuwa sehemu muhimu sana kutoa msaada wa hali na Mali kwa Ukraine kuweza kukabiliana na urusi, kuanzia magazeti yake propaganda, mafunzo kwa Askari, upishi wa propaganda, silaha hata kutoka makazi kwa...
Waziri wa ulinzi wa Uingereza amethibitisha kwamba nchi yake itaipatia Ukraine makombora ya masafa marefu ili kuweza kupiga shabaha za mbali.
Makombora hayo ya Storm shadow yanaweza piga shabaha hadi 300km huku yakiruka karibu kabisa na ardhi ili kukwepa kuonwa na rada za adui.
Hapo awali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.