uhuru

  1. Kwanini Zanzibar wanaadhimisha mapinduzi badala ya uhuru walioupata tarehe kama ya leo miaka 56 iliyopita?

    Kiini macho na kihoja kuliko vyote ndani ya nchi ya Zanzibar ni kuwa miaka 56 iliyopita tarehe kama ya leo walipata uhuru wao kutoka kwa mkoloni Muingereza. Sijui ni kutokana na mila walizowekewa na yule anayeandaliwa kuwa mwenye heri ila hawajawahi kuadhimisha siku hii. Mwezi mmoja baadaye ASP...
  2. Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Wanabodi. Kila siku najiuliza sipati jibu sahihi kuhusu wasomi wetu wa Tanzania.. Kwa mujibu wa data za World Bank na IMF Tanzania ipo kwenye kundi la nchi 20 maskini wa kutupwa duniani. Baadhi ya nchi zimekuwa masikini kutokana kuwa na vita vya muda mrefu vya wenyewe kwa wenyewe kama vile...
  3. Bavicha yatikisa, Shamsa Ford alipua shangwe, asema wazi kwamba vijana wanaopenda maendeleo wako Chadema

    Habari kamili hii hapa.
  4. M

    Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano. Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
  5. Kilichozuia kufanyika kwa Sherehe za Uhuru wa Tanganyika kwa miaka mitatu iliyopita kimekwisha ?

    Nchi yeyote inayothamini Uhuru wake huadhimisha siku iliyopata Uhuru huo kutoka kwa wakoloni weupe au weusi kwa shangwe kuu iliyotukuka , hii ni siku ambayo nchi husika husherehekea minyororo ya utumwa kukatwa , nchi zilizopambana kupata uhuru huo kwa vita , huwakumbuka mashujaa wao waliokufa...
  6. Uhuru upo kweli?

    Waliohuru huwa na sura hivi? Huku ndio kuwepo Kaanani au tupo Misri bado?
  7. Miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika: Uhuru una maana gani leo?

    Zitto Kabwe Tarehe 9 Desemba 1961 Tanganyika iliingia katika Jumuiya ya Mataifa huru duniani baada ya kupata Uhuru wake kutoka Himaya ya Uingereza. Muda mfupi baadaye Tanganyika ikawa mwanachama wa Umoja wa Mataifa. Safari ya kwanza ya nje ya Nchi ya Mwalimu Julius Nyerere kama Mkuu wa Serikali...
  8. Kama Maswahiba wakubwa Uhuru na Ruto sasa hawaivi tena Chungu Kimoja Je, John na Paulo nao watakuja Kudumu?

    Katika hali ya Kushangaza kabisa na hakuna anayeamini ni kwamba hivi sasa Watu wawili ambao walikuwa ni Marafiki wakubwa mno kiasi kwamba wamefanya ‘ Dhambi ‘ nyingi nchini Kenya ambazo zitawahukumu hadi wakiwa Makaburini na wameshaambiana Siri zao nyingi Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wake...
  9. Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, na nafasi ya Kanisa Katoliki

    Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika yanaweza kutupa sura mpya tusiokuwa tukiifahamu sote, Pengine ni kwa mara ya kwanza Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi ndio kinaeleza uhusika kikamilifu wa Kanisa katoliki duniani katika uhuru wa Bara la Afrika na hasa Tanganyika chini ya shirika nguli la...
  10. Kanisa Katoliki na uhuru wa Tanganyika

    Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika yanaweza kutupa sura mpya tusiokuwa tukiifahamu sote, Pengine ni kwa mara ya kwanza Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi ndio kinaeleza uhusika kikamilifu wa Kanisa katoliki duniani katika uhuru wa Bara la Afrika na hasa Tanganyika chini ya shirika nguli la...
  11. S

    Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

    Kamati kuu ya Chadema kwa kauli moja imeazimia kushiriki katika sherehe za Uhuru zitakazofanyika Mwanza kitaifa.
  12. Sherehe za Uhuru 9/12/2019 kufanyikia Mwanza, wenye maneno anzeni kuisema Kanda ya Ziwa

    Hureee! Ni habari za chini ya kapeti Kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru, sherehe kufanyikia Mwanza
  13. Ni kwanini sasa miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika iadhimishiwe jijini Mwanza?

    Huku kukiwa na lundo la tuhuma kuwa utawala wa awamu ya tano umegubikwa na ubaguzi wa kikanda hatimaye Rais John Pombe Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Sherehe hizo kwa mara ya kwanza zinafanyika nje ya makao makuu ya nchi ukiachilia mbali...
  14. Je, tumekubali na tutahudhuria Sherehe za Uhuru za mwaka huu wa 2019 kama Mgeni Rasmi kwakuwa zitafanyika Mwanza au?

    Kwanini na mwaka huu pia Pesa za Sherehe za Uhuru nazo zisipelekwe/zisielekezwe katika Miradi mikubwa ya Maendeleo ya Wananchi badala yake kwa mwaka huu Sherehe zipo, Mhudhuriaji Mkuu nae atahudhuria ambapo Kitaifa zitafanyika Mkoani Mwanza? Nasubiri majibu yenu Wakuu.
  15. Utashangaa bado kuna Watanzania 'watabisha' kuwa Tanzania hakuna kabisa uhuru wa vyombo vya habari

    “ Katika siku za karibuni kumeibuka tena tabia ya baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kushabikia, kutumika na kuwa mawakala wa kusambaza habari za uongo, uzushi na propaganda dhidi ya nchi yetu kutoka mashirika ya kimataifa au wawakilishi wa mataifa ya nje “. @TZMsemajiMkuu Ndugu zangu wa...
  16. CCM kutawala toka uhuru ni udikteta

    Wanajamvi, kwanza nianze na definition hii hapa chini. “Single-party dictatorships are regimes in which one party dominates politics. In single-party dictatorships, a single party has access to political posts and control over policy.” Kwasababu nchi yetu ni ya kidemokrasia, na inayotakiwa...
  17. Sherehe za uhuru 2019 kitaifa kufanyika jijini Mwanza

    Wakuu habari za wakati huu, kuna taarifa za chinichini japo hazijawa rasmi kuwa SHEREHE ZA UHURU mwaka huu kufanyika kitaifa jijini MWANZA, kiukweli nimeridhishwa na maamuzi haya kuleta sherehe hizi mikoani. Rai yangu kwa SERIKALI isiishie Mwanza tu mwakani waangalie hata KIGOMA huko angalau...
  18. S

    Ifikie mahali tuelewe na kukubali kuwa Rais wa Tanzania ana uhuru wa kuvunja Katiba ya nchi kwa makusudi, na hakuna utaratibu wa kuzuia hilo kwa sasa

    Maneno mengi sana yanasemwa nchini kuwa mara nyingi Rais Magufuli anavunja katiba ya Jamhuri ya Tanzania kwa makusudi. Nakiri kuwa hata mimi kuna wakati nilishazungumzia hilo. Baadae nilijiuliza ikiwa mimi ningekuwa ndio Magufuli, nikijua ninaweza kuvunja katiba kimakusudi na hakuna utaratibu...
  19. Tanzania tuna uhuru wa habari, ila media oga! Tungekuwa mbali sana kimaendeleo, rushwa, uhujumu, ufisadi, ubadhirifu vingeibuliwa kabla

    Wanabodi, wale wenye access angalieni Star TV, kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinachorushwa live na Star TV, kila siku za Jumamosi asubuhi, leo Mtangazaji Mahiri, Leonard Mapuli yuko na Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Press Clubs, UTPC, Aboubakar Karsan, anamwaga nondo za kufa mtu...
  20. J

    IGP Sirro awaonya watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020

    Inspekta Jenerali wa polisi Simon Sirro ametoa onyo kali kwa wote watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020. Kamanda Sirro amesema jeshi lake limejipanga sawasawa kukabiliana na sintofahamu yoyote endapo itajitokeza. IGP Sirro ameyasema hayo jijini Mwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…